aibu

Saki Aibu (相武 紗季, Aibu Saki, born June 20, 1985) is a Japanese actress. She is represented by Box Corporation.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Uhusika wa vyombo vya dola kwenye siasa

    Naomba wajuvi wa sheria mtufafanulie Inawezekana labda hatujui sheria au labda tunalalamika na kunung'unika bila sababu
  2. JamiiForums Tanzania Mwendesha Mashtaka Mkuu wa ICC mbakaji, Karim Khan hatimaye atimliwa kwa aibu

    Jumla ya nchi 82 kati ya 125 wanachama wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) zilipiga kura muda mfupi uliopita kuunga mkono kuondolewa kwa Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Ubakaji, Karim Khan, ambaye alitoa hati za kimataifa za kukamatwa dhidi ya Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu na Waziri wa...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kutoka Rio Ferdinand hadi DJ Khaled: Kwanini diplomasia yetu ya utalii inafeli na kutia Taifa aibu kimataifa?

    Wana-JF salam, Hali ya mambo mitandaoni imezidi kuchafuka baada ya picha na video zikisambaa zikimwonyesha msanii na prodyuza nguli wa Marekani, DJ Khaled, akiwa ameshika jezi ya timu yetu ya taifa (Taifa Stars) yenye nembo ya "Visit Tanzania". Kurasa nyingi za udaku, huku zikipewa nguvu na...
  4. JamiiForums Tanzania Messi aendelee kupewa Ballon d'Or mpaka pale atakapoamua kuacha kucheza soka ni aibu kumpa mtu kama Dembele ile tuzo

    Mimi sina mengi sana kwa namna ya uchezaji wake ni dhahiri kwamba hakuna mtu yeyote kwa soka la sasa kumlinganisha naye. The real GOAT
  5. JamiiForums Tanzania BAKWATA SAA ZINGINE WANATIA AIBU MPAKA BASI . Inamaana suratul hujurat aya ya 6 hamuijui???

    Kufuatia suala la sheikh Walid km kawaida yao wamekurupuka km wanavyokurupuka kwenye muandamo wa mwezi Huenda ni maelekezo kutoka juu ila suala la siasa life nguvu kwa muda Haya Allah tabaraka wataala anasema katika verse no.6 katika suratul hujurat kama ifuatavyo يَا أَيُّهَا الَّذِينَ...
  6. JamiiForums Tanzania Aibu nyingine inatokea usiku wa leo

    Baada ya France kufungwa na kupigiwa mpira mkubwa sasa kesho ni zamu ya Argentina ambaye kuanzia group stage mpaka quarter final amekuwa akicheza na vibonde pamoja na kubebwa na marefa Sasa kesho bigwa wa mbinu na bigwa wa knockout Tomas Tuchel atawaonesha ubovu wa Argentina
  7. JamiiForums Tanzania Aibu ya Kuzomewa Jana, Leo Ma CCM hayajaonekana BSS

    Millennials na GenZ Shikamooo 🤣🤣🤣
  8. M

    JamiiForums Tanzania Aibu wameona wao, mabosi wanaochangia tone kwa tone wana imani kubwa sana na Heche, wamuomba Heche atoe account binafsi nje ya shughuli za chama

    Baada ya Heche kutengenezewa script na watu wanaodhani anawachelewesha "kulamba asali," wakaibuka na propaganda ya kumchafua wakidai kuwa anakula michango. Kilichotokea ni tofauti kabisa. Maboss wa Tone kwa Tone, ambao ndio wachangiaji wakuu, hawakutikiswa hata kidogo na hizo script. Badala...
  9. JamiiForums Tanzania Msikilize IGP wa Kenya. Aibu utaona wewe sasa

    Huyu ni IGP wa Kenya akitoa usia kwa askari wake. Ametulia anaongea kirafiki na kwa kujiamini bila kutaka jikomba kwa wanasiasa. Akitoa wito wa Polisi kutumia akili. Halafu pata muda msikilize IGP wa Tanzania. Unamwona tu akili hana, elimu hana na anawaza kumwaga damu all the time.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kwa serikali na CCM kwaogopa Chadema kwa kiasi hiki!

    Yaani imefika wakati sasa wafanya maamuzi wa siasa za nchi ni Polisi Waziri anasimamisha mikutano ya kisiasa kwa kutumia Polisi kwa kushindwa hoja. Tuombe kesi ya Mama iende haraka tuondokane na huu ujinga
  11. JamiiForums Tanzania Aibu inaweza kuchelewesha kupona tatizo lako la Nguvu za kiume

    Aibu inaweza kuchelewesha kupona tatizo lako la Nguvu za kiume Nguvu za kiume kupungua ni changamoto ya kiafya, si kosa wala aibu. Mwanaume anayezungumza mapema ana nafasi kubwa ya kuelewa chanzo na kuchukua hatua sahihi.
  12. JamiiForums Tanzania Mambo matatu ya ajabu kunikuta ila Ni somo linanipa kicheko leo

    1. Nikiwa sekondari wakati tunaanza form 2 nilijikuta accidental Nanyoosha mkono kugombea uongozi wa darasa, Nilipata Kura Moja (1) yani kura moja yakujipigia mwenyewe darasa lina zaidi ya wanafunz mia. then kuna rafik yangu wa karibu alitafuta nafasi muda tukiwa darasani akajipitisha na maneno...
  13. JamiiForums Tanzania Wewe kama kiongozi huoni aibu kutamka takwimu za deni la Taifa

    Nchi inaendeshwa na bajeti ya mikopo ,tutegemee siku moja mabeberu kuja kututawala tena . Watanzania ni lini wataambiwa takwinmu za deni na watasikia deni likishuka chini na siyo kila takwimu inapotolewa ni kuongezeka kwa namba tu hivi wewe kama kiongozi huoni AIBU. Zaidi ya Trilion 100........
  14. JamiiForums Tanzania Mfumo wa bunge kuuliza wabunge na CV zao.Je mna maana kwamba mnaficha aibu zenu

    Watuambie kuwa bunge ni kikundi cha watu wachache. Leo uwezi kuuliza CV za mtu yoyote bila kupata kwenye tovuti ya bunge. Uchafu wa nchi imefikia kila tovuti kuficha taarifa ya yoyote hata idara. Mfano nilitaka kujua kama ndo mimi mfano nipo UN.
  15. JamiiForums Tanzania Tweet za Rais wa TLS ni aibu kwa Taifa hebu mwenye CV yake aweke hapa

    Ni aibu kubwa kwa mtu kuongoza taasisi kubwa halafu anakuwa ana kesha ana tweet idiotic post kwa umma. Ma advocate tulikosea sana nadhani ni hizi elimu za kukariri tunashindwa kuwa ma critical thinkers, kuchagua bila kutumia akili, bila kutafakari Historia ya mgombea, tunamshukru sana Mh. Rais...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Umasikini na aibu

    Ndugu zangu, mimi nakabiliana na changamoto kubwa ya maisha yangu, ambayo sijawahi kuhisi kama ipo siku itanifikia. Ni kama nimechanganyikiwa, na ukweli nimechanganyikiwa. Najiona kabisa akili yangu haina uwezo wa kufikiri. Tatizo langu la kwanza ni umaskini. Sidhani kama nishawahi kuishi...
  17. JamiiForums Tanzania What Happened in Oct. 29: Pongezi Balile wa TEF Kwa Uzalendo, Ila Tanzania Tunatia Aibu!. Tutategemea Wageni Mpaka Lini?!. Tujenge Uwezo wa Ndani!.

    Wanabodi, Hili ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo, nikitoa pongezi kwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, TEF, Deodatus Balile, kwa uzalendo wake kuhusu kile kilichotokea October 29, katika filamu kuhusu kilichotokea. Kiukweli, Tanzania na Watanzania, tunatia aibu...
  18. JamiiForums Tanzania Hii ni Aibu ya kudumu isiyokuwa na mfano.

    Kumekucha wazee? Ni aibu na inaibisha mtu mwenye umri zaidi ya miaka 50 kungonoka na binti mwenye chini ya miaka 25. Unaanzaje binti ambae ni sawa na mwanao wa mwisho ukawanae falagha eti kisa tu kataka mwenyewe kwa kishawishi cha visent vyako!?, Hivi uoni aibu kumvulia binti yako nguo na...
  19. JamiiForums Tanzania Wabunge wetu mnatia aibu, sakata la vikwazo, huko Bungeni mnamuwakilisha nani?

    Ubinafsi ulioonyeshwa na wabunge wetu wakibanwa imewafanya watie aibu katika jamii. Sakata la vikwazo vya Marekani liko mbele yetu kama nchi. Wahusika binafsi ni wale waliofanya mambo mabaya dhidi ya umma wa Kitanzania. Watu hao ni watekati, waliovuruga utaratibu wa uchaguzi, walioua...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Ili kuitetea Serikali ya CCM ya sasa unahitaji kuwa muongo sana na usie na hata chembe ya aibu!

    Serikali yetu chini ya CCM imegeuka kuwa kituko cha Karne yaani wanadiriki kudanganya kusema uongo na kupiga propaganda ambazo nadhani hata shetani anakaa kuwashangaa.!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…