ahmed ally

Iajuddin Ahmed (1 February 1931 – 10 December 2012) was the President of Bangladesh, serving from 6 September 2002 until 12 February 2009. From late October 2006 to January 2007, he also served as Chief Advisor of the caretaker government. From October 2006 to early 2008, his responsibilities as president included the Defense Ministry of the caretaker government.
With a doctorate in soil science, Ahmed became a full professor at the University of Dhaka and chairman of the department. Beginning in 1991, he started accepting appointments to public positions, as chairman of the Public Service Commission (1991 to 1993) and of the University Grants Commission (1995 to 1999). In 2002 he won election as president. In 2004 he helped establish the private university, Atish Dipankar University of Science and Technology (ADUST).

View More On Wikipedia.org
  1. Yanga imshitaki Ahmed Ally kwa kusema Yanga inagawa Utamu

    Nisikiliza Crown FM hapa, yupo Semaji na mashabiki wa Simba wanaendelea na hamasa. Sasa anasema wenzetu wanagawa Utamu nje na ndani. Na sasa wapo Lubumbashi ambapo pana vumbi. 😂😂😂 Mwisho nawatakia TP Mazembe ushindi hapo kesho
  2. Ahmed Ally atupa dongo kwa Yanga, awaita Simba B baada ya Mwenda kutua kikosini na kuwa mchezaji wa 4 aliyecheza Simba kabla ya Yanga

    Leo Jumatano, Desemba 11, 2024, mapema katika kuendeleza hamasa za klabu ya Simba kuelekea mchezo dhidi ya CS Sfaxien ya nchini Tunisia, Jumapili Desemba 15, Meneja wa Habari na Mawasiliano wa klabu hiyo, Ahmed Ally, akiwa katika maeneo ya Tandika, tawi la Kapu la Magori, alitoa dongo kwa Yanga...
  3. Ahmed Ally: Kikosi cha Simba kimeanza safari, kinatarajiwa kuwasili mapema kesho alfajiri

  4. Baada ya kudaiwa fidia ya bilioni 10, Msanii maarufu Baba Levo awaangukia Yanga kumsamehe Ahmed Ally

    Baada ya sakata la msemaji ya club ya Msimbazi, Ahmed Ally kutoa kauli zenye lengo ovu la kuichafua image na taasisi nzima ya Yanga, Msanii maarufu na mtangazaji, Baba Levo amewasihi viongozi wa Yanga kukaa na kumaliza tofauti yao na kumsamehe msemaji huyo, kwani bado ni kijana anayejifunza na...
  5. Klabu ya Yanga imemtaka Ahmed Ally kuomba radhi kwa matamshi wanayodai yameichafua klabu yao (Yanga) na wanadai fidia ya Tsh Bilioni 10

    Klabu ya Yanga imemtaka Meneja habari na mawasiliano wa Simba SC , Ahmed Ally kutoka hadharani na kuomba radhi kwa matanshi wanayodai yameichafua klabu yao (Yanga) mbali na hili wanadai fidia ya Tsh Bilioni 10 Kauli ya Ahmed iliyosababisha haya 👇 “Pacome amemaliza mkataba tukiona anafaa...
  6. LGE2024 Ahmed Ally: Ukiamka asubuhi nenda kituoni piga kura kisha elekea uwanjani

    Semaji la CAF, Ahmed Ally amewataka mashabiki wa Simba kupiga kura kabla ya kwenda uwanjani kushuhudia mechi kali ya hatua ya makundi dhidi ya F.C. Bravos do Maquis hapo kesho tarehe 27 Novemba ambayo ndiyo siku ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
  7. G

    Simba waipangia Pamba jiji namna ya kucheza, Ahmed Ally amewapa onyo wachezaji wasicheze kwa kukamia simba

    Ahmed Ally “Tunawaomba Pamba Jiji Fc katika mchezo wa kesho wacheze mpira kwenye uwezo wao, wasicheze mpira wa hovyo wenye lengo la kutuumizia wachezaji wetu, Bado hatujasahau kesi ya Moses Phiri aliharibiwa kabisa maisha yake” “Nawaomba sana Pamba Jiji wasicheze kwa kukamia wakatuumizia...
  8. Ahmed Ally awahofia Pamba Jiji, awaita Wanasimba CCM Kirumba. "Hakuna cha uzalendo mbele ya Simba, achana na Pamba. Tukipoteza kuna watu watanufaika"

    "Kikosi kwa sasa kinaendelea na programu ya mazoezi kikijiandaa na mchezo dhidi ya Pamba. Leo usiku tutaondoka kwenda Mwanza na wachezaji wanne waliokuwa Taifa Stars na Camara aliyekuwa timu ya taifa ya Guinea wameshajiunga na kambi. Steven Mukwala atawasili Dar kesho alfajiri na kuunganisha...
  9. Ahmed Ally: Simba SC tunajivunia pakubwa, makocha wote walioipeleka Taifa Stars AFCON wanadamu ya Simba SC

    Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally, ametoa pongezi kubwa kwa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia pamoja na timu ya Taifa Stars kwa mafanikio makubwa ya kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON). Pia, Soma: Simba SC yazindua rasmi uzi mpya wa michuano ya...
  10. Samahani mlio jirani na Ahmed Ali muulizeni imekuwaje alisema Simba SC haitoshuka Kileleni na sasa iko nafasi ya Huruma ya Tatu katika Msimamo?

    Yaani kama kuna Mtu ambaye namuona ni Nuksi ndani ya Simba SC yetu na Anatuponza mno Kimatokeo kutokana na Kauli zake na Uyanga wake aliojifichia kwa kusema kuwa Yeye tokea zamani ni mwana Simba SC basi ni huyu Msemaji wa Simba SC Ahmed Ali.
  11. Ahmed Ally: Tarehe 19 tunacheza na timu kubwa iliyotuzidi makombe 8.

    “Tarehe 19 tunaenda kucheza mechi na mkubwa wetu ambae ametuzidi mwaka mmoja wa kuzaliwa na anatuzidi makombe🏆🏅 nane 8 ya ligi, hii ni mechi ambayo inabeba taswira ya soka letu la tanzania.
  12. Kauli ya Ahmed Ally baada ya droo Kombe la Shirikisho Afrika

    Wajue Wapinzani wa Simba SC Kundi D Kombe la Shirikisho Afrika Katika hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika, Simba SC inakutana na wapinzani wenye historia kubwa katika michuano hii. Wapinzani hao ni CS Sfaxien na CS Constantine. 1. CS Sfaxien: Huyu ni bingwa mara tatu wa Kombe la...
  13. Haya ni maoni yangu kama mpenzi wa Simba: Ahmed Ally hatufai, anaichomesha timu

    Nimewahi kusema na narudia kusema huyu kijana ana gundu. Tangu afike hakuna chamaana Simba alicho fanya. Tutabadili wachezaji wote, makocha wote ila hatutafika popote. Hana bahati na Simba.
  14. Je, Yanga ameshuka Kiwango na kutafuta visingizio au ndio Propaganda za soka la Tanzania?

    Wataalam wa Sayansi ya mpira tujadiliane kidogo kuhusu hili linaloendelea mitandaoni Tangu mechi ya kwanza ya Ligi Kuu, Yanga akiwa ugenini dhidi ya Kagera Sugar licha ya kushinda bao 2-0 bado kulizuka mijadala kuhusu kiwango chao, hata mechi zilizofuata (na CEB 1-0, Ken Gold 1-0 zote ugenini)...
  15. Usifikirie kukata tamaa tazama hizi picha

  16. Simba wakubali yaishe kwa Lameck Lawi, aanza kwenye kikosi cha Coastal Union dhidi ya Mashujaa FC

    Beki wa kati, Lameck Elias Lawi, ameanza rasmi leo katika kikosi cha Coastal Union kinachocheza dhidi ya Mashujaa FC, mechi ya ligi kwenye uwanja wa KMC Complex. Lawi amejiunga na Coastal Union baada ya majadiliano ya muda mrefu kati ya Simba Sports Club na Coastal Union, ambapo Simba ilikubali...
  17. Huyu Ahmed Ally amezidi sana kutudhalilisha sisi Yanga

    Inapaswa afungiwe. Huu ni udhalilishaji sana. Si sawa hata kidogo. Aache uhuni.
  18. Mwanasheria wa Yanga: Mchezaji Yusuph Kagoma alisaini mkataba wa miaka mitatu na Yanga

    Mwanasheria wa Yanga, Simon Patrick, ametoa ufafanuzi juu ya umiliki wa mchezaji Yusuf Kagoma baada ya mazungumzo marefu na klabu ya Singida Fountain Gate. Patrick alisema, "Tulianzisha maongezi ya muda mrefu na Singida Fountain Gate kwa lengo la kununua rasmi Yusuf Kagoma." Kwa mujibu wa...
  19. Ahmed Ally atoa kauli kuhusu sakata la Yusuph Kagoma na Yanga SC

    Mmesikia huko 😂 Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally, ametumia ukurasa wake wa Instagram kuelezea kuhusu mchezaji wao, Yusuph Kagoma, na uvumi unaozunguka hatma yake. Ahmed Ally ameandika: "Klabu yenu inampenda sana Yusuph Kagoma, yaani kila mkilala mnamuota. Roho zinawauma...
  20. Ahmed Ally: Tuwape muda wachezaji wetu watafute ubora.

    Meneja wa habari na Mawasiliano wa Simba SC Ahmed Ally kupitia ukurasa wake wa instagram ameandika "Pamoja na kushinda dhidi ya Tabora United lakini ukweli ni kuwa tunahitaji kuwapa muda zaidi wachezaji wetu waendelee kutafuta ubora wao Tumesajili Wachezaji bora sana ambao wamefanya makubwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…