Siku hizi ulimwengu wa leo umekuwa ukitumia njia za mkato katika tiba za dalili ya ugonjwa wanaoupitia. Bila kujali kumwona Daktari kwa vipimo ili kugundua Magonjwa yanayo wakabili, Mfano Mtu anaweza akaumwa kichwa kisha kwenda duka la dawa na kuchukua dawa za kupunguza Maumivu bila kujali...
Za mida wakuu nina ishu inanitatizaa hapa et ikitokea umejichoma n kitu chenye kutu ukiacha tetenasi kuna uwezekano ugonjwa wa UKIMWI pia ukaambukizwa kwa njia io?
Swali ni kwamba can rusted metal spread HIV?
Nawasalimu wote kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania!
Awali ya yote nipende kumshukuru mwenyezi Mungu kwa afya njema anbayo imenipa fursa hii ya kuandika haya kwa manufaa ya ustawi wa nchi yetu Tanzania na dunia kwa ujumla.
Bila kupoteza wakati, suala la afya bora na mazingira safi ni...
Za jioni jamani na polen na harakati zote naomba msaada ya ishu imeni face
Ni hivi leo nilikutana na demu fulani hivi mida ya saa 2 asubuh sasa nikifany oral sex kwake kwa kama 15 seconds hivi.
Nauliza iv naeza pata STIs especially HIV japokua sikua na vidonda vyovyote japo jion hii ndiyo...
Karibu katika andiko hili la afya lenye kuelezea jinsi rafiki wa afya zetu anaweza kuwa adui mkubwa wa afya zetu.
Je, ulishawahi kusikia juu ya usugu wa vimelea dhidi ya dawa ? Kama ulishawahi kusikia ama hujawahi ungana nami tujifunze zaidi.
Usugu wa vimelea dhidi ya dawa ni Hali ya dawa...
Unaweza kuwa mtu mwema na anayejali anayeheshimu mahitaji ya watu na bado ukaweka mipaka yenye afya kwa ustawi wako mwenyewe.
Jifunze wakati wa kuondoka na wakati wa kufanya kazi. Huwezi kudhibiti jinsi watu wanavyokutendea lakini unaweza kudhibiti kile unachostahimili.
Herd immunity (population immunity, herd effect, community immunity or social immunity ) au kwa tafsiri ya kiswahili kinga ya jamii, kinga ya kundi.
Nianze kwa mfano: Nyumbani mnaishi watu 10, ikatokea umeingia ugonjwa unaoweza kuambukiza. ukawapata watu sita kati yenu, lakini hawa watu sita...
Vipimo vya maabara huwa sahihi kama ukipima kile kinachotakiwa kupimwa. Njia ya upimaji tutasema ni bora pale ambapo kipimo kimoja kitapimwa zaidi ya mara moja na kutupa majibu yanayofanana. Kwa kifupi hapa tunamaanisha usahihi wa kipimo.
Sensitivity: Ni ule uwezo wa kipimo kugundua watu walio...
CORONA NI NANI?
___________________
Corona wewe ni nani?
Corona umetoka wapi?
Una sura gani?
Mlimwengu mimi siwezi kukaa kimya juu yako. Mara ya kwanza tuliposikia jina lako kila mtu alitamani kukujua wewe ni nani?, lakini kadri zilivyosonga tukaijua rangi yako halisi tukaona unamsaidia kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.