afungwe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Beira Boy

    Ndugu zangu, Waziri Mkuu hatuna hapa! Ni kichekesho na kasheshe

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Kwanza anaongea kama kakatwa kichwa Pili hajitambui Tatu hajielewi Nne anajaribu kwenda na beet za anko Magu lakin hiyo karama hana Tano ni mshamba na limbuken Waziri mkuu hatuna Full stop LONDON BOY
  2. J

    Naombea Simba afungwe na Petro atletico.

    Salut kwenu great thinkers wote wa JF. Kama ilivyoada jana nimepandisha Uzi humu jukwaani kuiombea Mabaya klabu ya YANGA ili apoteze game yake dhidi ya Far Rabat ila Dua yao ikawa kubwa kushinda yangu wakapata matokeo. Ila nawaa nawaahidi hii timu ya YANGA haitatoboa kwenda stage inayofuata...
  3. M

    Hakimu atoa onyo kali kwa Lissu na wenzake kutodharau Mahakama pale inapokuwa imeketi

    Mahakama imempa onyo Tundu Lissu na wenzake kwa kupiga kelele na kuleta vurugu baada ya Hakimu kuingia ndani ya Chumba cha Mahakama. Hakimu alipoingia Tundu Lissu alileta aliongea mahakamani kwa kuwaambia wafuasi "No Reforms No Election" Hakimu ameeleza kuwa Mahakama inakuwa kamili pale...
  4. econonist

    Huyu Ntobi afungwe speed gavana, la sivyo ataleta maafa.

    Huyu mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Shinyanga anatakiwa ashauriwe asiongee yote akasahau kesho. Mwanzo alisema CHADEMA walimpitisha Lissu kugombea Urais huku wakijua hawezi kushinda. Hii kauli ilikuwa inakivua chama nguo mbele za watu. Kuonesha kwamba CHADEMA haina haja ya kushika madaraka bali...
  5. Tsh

    Simba kafieni uwanjani ila Mwarabu imetosha, anapaswa afungwe

    Mchezaji yoyote wa Simba popote ulipo, natuma ujumbe kwenu kwa njia zote zinazowezekana. "NENDENI KAPAMBANENI KUFA" Kocha ameshaamini mnaweza, mbinu amewapa na sasa mnazifanyia mazoezi. Mwisho wa wiki kafieni uwanjani Mwarabu afe kwake. Niwakumbushe wajibu wenu kwa mashabiki wenu esp...
  6. BARD AI

    Mahakama kuamua Babu Tale Afungwe au alipe Tsh. Milioni 250 Nov 17, 2023

    Hatima ya Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki, Hamisi Shabani Taletale, maarufu kama Babu Tale, sasa itajulikana Ijumaa, Novemba 17, mwaka huu wakati Mahakama Kuu Kanda ya Dare es Salaam itakapotoa uamuzi wa shauri la maombi ya kumpeleka jela kutumikia kifungo. Babu Tale ambaye ni mmoja wa...
  7. B

    Ally Kamwe msemaji wa Yanga afungwe break, Haya sasa Mzee wa watu kakujibu kiutu uzima

    BAADA YA KUDHIHAKIWA NA ALIKAMWE, JUMA MGUNDA AMPA JIBU 🗣️"Yanga ni Club yetu pekee Tanzania inayotuwakilisha kwenye fainaly hii ya CAF na kwa bahati iliyonjema inacheza na Club Inayotoka nje ya nchi yetu. 🗣️Sijui kinachopelekea mimi kuwa miongoni mwa kampeni hii ya matusi na kunidhalilisha...
  8. Meja Jenerali Isamuhyo

    Kwa matokeo haya ya US Monastir kwa siku za karibuni, Yanga lazma afungwe

    Wamecheza mechi 7, wameshinda mechi nne, wakafungwa mbili na kudroo moja. Hayo ndio matokeo yao kwa siku za hivi karibuni. Kufungwa kwao hizo mechi mbili ni kwasababu walipumzisha wachezaji wao muhimu wakawa wanafanya rotation. Yanga nendeni kwa tahadhari mnaweza mkapigwa nyingi kwahyo nendeni...
  9. britanicca

    Mlete haraka kuliko afungwe atatusaidia kwenye mambo yetu

    Mambo yetu ili yanyooke mtoeni jamaa nje alafu moja kwa moja aje nyumba mithili ya meli ! Pale wanapoingia kwa code maalumu na hawaitani majina wanaitana chifu pili ukienda ijumaa aga kabisa nyumbani wenda ukarudi jumatatu maana simu zinaachwa reception 🤕 Itatupunguzia haya Kitaifa tutatulia...
  10. Nyankurungu2020

    Serikali inafanya makosa kutomfunga jela Zitto Kabwe kwa makosa ya uchochezi anayofanya. Afungwe kwa mujibu wa sheria ili iwe fundisho

    Mtu anapotosha umma kuwa zaidi ya wananchi mia moja wameuwawa na jeshi la polisi. Ushahidi upo wazi na anatiwa hatiani alafu sababu ni mwanasiasa anapewa adhabu ya Conditional discharge. Huu ni upendeleo. Anatamka hadharani kuwa mkuu wa nchi aliyefariki alituma watu wachome nyumba yake.Na...
  11. Erythrocyte

    Kauli ya Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Juma ni vema ikajadiliwa' ni kuhusu Mitandao ya Kijamii

    MwanaHalisi Digital imemnukuu Jaji Mkuu wa Tanzania akikemea vikali tabia ya baadhi ya watu wakiwemo wanasheria ya kumkosoa Jaji au mwanasheria wa upande mwingine kiasi cha kumtaja kwa jina na picha yake, na wakati mwingine kutaja hadi mahali anakokaa. Amekwenda mbali hadi kufikia kusema , wote...
  12. Lituye

    Freeman Mbowe lazima afungwe ili Uhuru wa kweli upatikane

    Huu sio wakati wa kumlilia Mbowe Wala sio wakati wa kuwalaani CCM. Ili Uhuru wa bandia wa akina Kingai na Mahita wa kuteka, kutesa na kuua raia wema Kama akina Moses Lijenje na wengineo uondoke ni lazima Mbowe afungwe na sio Mbowe tuu na wale wote wazalendo wa kweli wapite katika tanuru la Moto...
Back
Top Bottom