WATU PORI - USINICHUKIE
Afande sele.( Verse)..
"inshallah kama umenisamehe
Kama bado basi Ewallah
Yote namuachia Allah
Kwani tulipo , Tupo kwa vile ametaka Tuwepo/
Anatupenda Sawa sawa kabisa/
Wote anatupa Mvua,misikiti na makanisa/
Na wote anawapa jua masikini na Wenye pesa/
Kama kuvuta...
Msanii Afande Sele ametoka hadharani na kumtaka Rais wa amhuri ya Muugano wa Tanzania kutumia busara, imani yake na malezi kuona ni kwa namna gani atalifariji taifa kwa kile kilichotokea katika kipidni cha uchaguzi.
===
Mwanamuziki na mfalme wa mashairi Tanzania, Selemani Msindi, maarufu kama...
Msanii wa muziki wa Hip Hop Selemani Msindi maarufu Afande Sele amesema kundi la watu wanaotaka kuandamana siku ya Oktoba 29 wana hoja zenye nguvu,mashiko na hoja za msingi na huwezi kuzipuuza lakini zimekuja katika wakati ambao sio sahihi, amesema hata CCM katika ilani yao wana kipengele cha...
Mwanamuziki wa Hiphop, Selemani Msindi Afande Sele amewataka Watanzania hususani vijana kuacha kuwa na mihemko ya kushiriki maandamano badala yake washiriki Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025, akisisitiza kuwa kutoshiriki ni kujinyima haki ya kikatiba.
Akizungumza na JAMBO TV...
Ni kuhusu Jimbo la Kigoma mjini.
Ukweli wa ukweli ni kwamba, Zitto analihitaji zaidi Jimbo la Kigoma mjini kuliko wakati wowote ule wa maisha yake ya kisiasa, lakini Jimbo la Kigoma mjini, linamuhitaji zaidi Baba Levo kwa maslahi ya watu wote wa mkoa wa Kigoma na sio Kigoma mjini pekee kuliko...
Huyu jamaa kila ukiingia kwenye page yake ya instagram ni mwendo tu wa kumsifia mke wake mpya. Pigo zile za kishamba kama za Manara.
Siku yakimkuta naamini atalia zaidi ya alivyolia kwenye msiba wa Magufuli.
Anaandika Afande sele ,✍.
Eti chama chake "magirini" kimempitisha tena kuwa mgombea urais mwaka huu2025...😳
Hii ni kudhalilisha siasa sio za upinzani tu,ila siasa za nchi na bara zima la Afrika au Dunia nzima✊🏽
Inaonyesha ni kwa kiasi gani baadhi ya wanasiasa wamejaa tamaa na ubinafsi hata...
Mfalme wa Rhymes Afande Sele amemchumbia mpenzi wake Imani Makongoro baada ya kupita muda mrefu tangu kufariki kwa mzazi mwenzie Mama Tunda.
Soma pia: Afande Sele: Utaratibu wa kutoka Kituo cha SGR - Morogoro haufai, unachelewesha Watu na unachosha abiria
Rafiki yake na msanii mwenzake Imani...
Huu ni Ujumbe wa Msanii wa Bongo Fleva, Afande Sele kuhusu huduma ya Kituo cha Treni ya Mwendokasi (SGR) Mkoani Morogoro.
Afande ameandika "Time is Money. 🔨Muda ni Pesa.. Muda ni Mali.. Muda ni uchumi✊🏽Jamii ambayo haiwezi kuheshimu muda,isahau kupata maendeleo yoyote ya kijamii ukitoa...
https://www.facebook.com/share/r/1ATsucVFUU/VIDEO:
Msanii mkongwe wa muziki wa 'HipHop' nchini Selemani Msindi @afandesele1976 amesema hivi karibuni amekutana na Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Jaji Francis Mutungi ambapo miongoni mwa mambo aliyomweleza ni mashaka yake ya uwepo wa namba ndogo...
Msanii mkongwe wa muziki wa 'HipHop' nchini Selemani Msindi Afande Sele amesema hivi karibuni amekutana na Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Jaji Francis Mutungi ambapo miongoni mwa mambo aliyomweleza ni mashaka yake ya uwepo wa namba ndogo ya wananchi inayoweza kujitokeza kupiga kura kutokana...
Kama ni MTAZAMO sidhani kama alistahili labda Hit song ya Darubini Kali.
Historia kidogo.
Mwaka 2004, Mfanyabiashara Mwandishi wa Vitabu, Eric James Shigongo, alianzisha Shindano la kumtafuta Mkali wa kughani muziki wa Rap nchini. Shindano hilo aliliita "Mfalme wa Rhymes 2004".
Kupitia Kampuni...
Ilikuaje?? Mimi nilipitwa kidogo, ilikuaje mpaka sheikhe hapa akawa anapiga dua AFANDE SELE afe ?
Na ilikuaje mpaka Leo AFANDE sele yupo anadunda tuu, dua iligonga mwamba au
Wakuu,
Uchaguzi wa CHADEMA nafasi ya Uenyekiti umezidi kupamba moto.
Haya ni maneno ya Afande Sele ambaye ni mfuatiliaji mkubwa wa siasa za Bongo.
Mbowe ajitafakari.
Hiki ndicho alichoandika Afande Sele kupitia ukurasa wake wa Instagram:
Baraza lote la vijana limeshikiliwa na watu...
AFANDE SELE FT BWANA SAM - MTU NA PESA
Verse ..1 ( afande sele)
Mtu na pesa hakuna mwanadamu asie jua maana ya pesa/ hata mwanangu Tunda hi leo ana ijua pesa/ tangu ana miezi tisa (9)/ maana kila kukicha anacheki inavyonitesa/ baba ake nateseka / mchana kutwa mbilika na usiku ni batashika/...
AFANDE SELE FT MR. NICE
( MIMI NA WEWE BASI)
CHORUS ( MR NICE)
Ahadi yangu mimi na wewe ilikuwa ni kuishi wawili/ ( afande sele) - "Aah"
Kwakuwa umebadilika mimi na wewe Basi /... ( Afande sele) - "Basi" ×2
Nakupenda sana na bado Roho yaniuma/ eeeh
Kwakuwa umebadilika mimi na wewe Basi/ ("...
Ikiwa ungetakiwa kuchagua ngoma za kundi moja la kusikiliza nyimbo zao kati ya haya matatu:
Prof. Jay, Afande Sele & Juma Nature
Alikiba, Matonya & MB Dog
Joslin, Noorah & Mr. Blue
Ungechagua kundi lipi na kwa nini? Je, muziki wao umeacha alama gani kwako au kwenye tasnia ya muziki wa Bongo...
K
ARATA DUME - AFANDE SELE
Alichoimba kwenye Karata Dume kilitimia !! Baada ya mtoto wa afande sele mwana Dada " Tunda" kubukua mitihani kidato cha 6 mwaka 2019, Afande Sele msanii mkongwe wa Bongofleva alichinja beberu na kusherehekea Tukio la mwanae Tunda kuchaguliwa kusoma chuo kikuu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.