Habari za majukumu ndugu zangu hapa JF,
Leo ninafuraha na amani tele kweny moyo wangu baada ya kuchukua maamuz ya kuachan na bint nipiyetaka kumuoa ila baada ya kujua madhaifu yake ni mengi kuliko uwezo Wang
NIlikuja kuomba ushaur humu na kunajambo jipya lilikuja kweny akili yang na nikachukua...