Jana katika pitapita zangu nikawa nimechill mahali. Mbele yangu kulikuwa na kijiwe cha bodaboda, kwa nilipokuwa nimekaa sidhani kama wale boda waliniona.
Ghafla akapita mwanafunzi wa sekondari na sare zake nadhifu, hakuwa na wenzake, alikuwa mwenyewe.
Mmojawapo wa waliokuwa pale kijiweni...