act wazalendo zanzibar

The Alliance for Change and Transparency (Swahili: Chama cha Wazalendo, lit. 'Party of Patriots'), sometimes known as the ACT–Wazalendo, is the third-largest political party in Tanzania. It received its permanent registration in May 2014.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    PostGE2025 Swali; Je, ACT Wazalendo Zanzibar kufungua kesi kupiga matokeo ya uchaguzi 2025 ni mkakati maalum kutoka nje ya chama?

    Chama hiki kilidai kufungua kesi kupiga matokeo ya uchaguzi katika majimbo 25 ya uwakilishi Zanzibar na kikitarajiwa kupiga pia yale ya Ubunge. Huku pia kikiweka pose kuingia kwenye kuunda serikali ya umoja wa kitaifa Zanzibar. Swali, je ni mpango maalum baina yao na kundi la Gasom & Zikamziki...
  2. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Wanachama 453 ACT Wazalendo Zanzibar Wahamia CCM, Wavutiwa na Uongozi wa Dkt. Mwinyi

    Wanachama 453 wa Chama cha ACT Wazalendo Zanzibar wamejiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo Septemba 15, 2025 wakibainisha kuvutiwa na uongozi wa mgombea Urais wa Zanzibar kupitia chama hicho Dkt. Hussein Ali Mwinyi. Mwakilishi wa wanachama hao Faki Ali Juma amesema wameamua kujiunga na CCM...
  3. Roving Journalist

    GE2025 ACT: Tumepata taarifa kuna njama za Wagombea wetu Zanzibar kuwekewa pingamizi bila sababu za msingi kama ilivyofanyika 2020

    PRESS RELEASE Tume Huru ya Uchaguzi (INEC) ilitoa Ratiba ya Wagombea wa Ubunge kuchukua na kurejesha Fomu za Kugombea (Fomu za Uteuzi). Leo tarehe 27/08/2025 ni siku ya mwisho ya kurejesha Fomu na ndio siku ya Uteuzi na sasa ni saa kumi kamili na Wagombea wote wa Ubunge wa ACT Wazalendo kwa...
  4. Mikopo Consultant

    Nawasihi ACT Zanzibar, hawajachelewa kujinasua na kabali ya ZZK!

    Kufanya kosa sio kosa, ila endapo ukiendelea kukosea baada ya kulitambua kosa lako la awali, hapo yafaa kabisa wewe kuwekwa kwenye kundi la wapumbavu! Ujumbe huo uwaendee ACT Zanzibar; waliojitumbukiza kwenye chama la wana, wakakutana na kabali ya mwana - ZZK! Mwana ambaye huu mwaka wa 10 sasa...
  5. Roving Journalist

    GE2025 ACT: Viongozi wa Kisiasa kuwa Wageni rasmi katika shughuli za Tume ya Uchaguzi ni kufungua milango ya upendeleo

    Katibu wa Habari na Uenezi wa ACT-Wazalendo, Salum Bimani amezungumzia mambo mbalimbali mbele ya Wanahabari leo Julai 15, 2025, ikiwemo kuhusu uchaguzi wa Kura za Maoni kuwapata Wagombea Ubunge na Uwakilishi pamoja na ACT kutokubaliana na kitendo cha Rais Mwinyi kupewa mwaliko wa kuwa mgeni...
  6. W

    Jussa: Kwa sasa meli nyingi za mizigo zinakataa kuja Zanzibar

    "Kwa sasa meli nyigi za mizigo zinakataa kuja Zanzibar kutokana na usumbufu huo huku kukiwa na mamia ya makontena Zanzibar yaliyorundikana katiba bandari ya Mombasa nchini Kenya kwa ziadi ya mwezi mmoja yakisubiri meli ndogo kuyaleta Zanzibar" - Ismail Jussa, Makamu Mwenyekiti wa ACT- Wazalende...
  7. W

    Ismail Jussa asema bandari ya Malindi licha ya kuwa na muwekezaji lakini meli zinakaa hadi wiki 2 kusubiri kushusha mizigo

    Ismail Jussa, makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Zanzibar aneleza kuwa licha ya kuwepo kwa muwekezaji katika bandari ya Malindi lakini bado kuna changamoto katika kushusha mizizgo ambapo meli zinaweza kusubiri hadi wiki mbili ili kupata nafasi ya kushusha mizigo. Amesema jambo hilo lina athari...
  8. W

    Ismail Jussa: Serikali ya Zanzibar inapata 30% tu ya faida kutoka kwa mwekezaji wa bandari ya Malindi

    Makamu Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Zanzibar, Ismail Jussa ameeleza kuwa licha ya kuwa Serikali ya Zanzibar ilitoa kila kitu kwa muwekezaji na muwekezaji hakuja na chochote kile lakini serikali inapata 30% tu ya faida. "Waliopo bandarini wanasema muwekezaji huyu hakuleta hata kalamu na...
Back
Top Bottom