act wazalendo

Alliance for Change and Transparency (ACT) (Swahili: Chama cha Wazalendo, lit. 'Party of Patriots') is a political party in Tanzania. It received its permanent registration in May 2014.

View More On Wikipedia.org
  1. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 ACT Wazalendo inaenda kushinda Urais 2025

    Najua wengi mtakuja kufukua hii thread ninayoiandika leo huku chama kinaenda kushinda urais kupitia mgombea wake ambaye atakuwa Tundu Lissu huu ni asilmia 100% upinzani unaenda kuchukua nchi Nimeandika Leo na nitafufua huu Uzi wangu mimi mwenyewe hatimaye watanzania wataenda kufurahi...
  2. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo chini ya Zitto Kabwe nimeamini ni chama bora kuliko CDM ya Mbowe

    * Zitto amekaa muda mfupi na kupisha mwingine bila mabishano; * Mbowe wa CDM amekaa miaka mingi na hana utayari wa kuamini kuwa wapo wengine wawezao kuongoza CDM; CCM izidi kuwafundisha CDM ustarabu ktk chaguzi
  3. Johnson Alex Otieno

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo kuwa chama kikuu cha upinzani baada ya uchaguzi 2025

    Habari za mapumziko mabibi na mabwana. Jambo moja nataka watanzania wafahamu ni kwamba hii CHADEMA ya sasa inayoongozwa na FAM imechokwa na watawala hivyo watawala wapo Kazini kubrand Chama cha ACT Wazalendo kuwa Chama kikuu cha upinzanzani. Najua mtauliza kwa namna gani watawala wanataka ACT...
  4. Ritz

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tundu Lissu kutimkia ACT Wazalendo kama watamletea fitna kwenye uchaguzi.

    Wanaukumbi. Kwa hali ilivyo ndani Chadema kunawaka moto kwa sasa kutokana na Uchaguzi wa ndani wa viongozi, kuna tetesin Mbowe na kundi lake kina Wenye hawawezi kumpa uongozi wa chama Tundu Lissu. Kuna tetesi za ndani kabisa kuwa Tundu Lissu na wafuasi wake kutimkia ACT Wazalendo. Chadema...
  5. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania Polisi Wanaendelea Kuwatesa na Kuwasumbua Wanachama wa ACT Wazalendo

    MUENDELEZO WA VITISHO NA MATENDO YA UKIUKWAJI NA UVUNJWAJI WA HAKI ZA BINADAMU YANAYOFANYWA NA JESHI LA POLISI NCHINI. Idara ya Haki za Binaadamu na Vyombo vya Uwakilishi wa Wananchi ya ACT Wazalendo Taifa imepokea taarifa mbalimbali kutoka kila pembe ya nchi juu ya Muendelezo wa Vitisho na...
  6. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jeshi la Polisi Limezuia Mkutano wa ACT Wazalendo Kilwa

    Jeshi la Polisi limezuia mkutano wa hadhara Kilwa Kusini uliokuwa uhutubiwe na Kiongozi wa @ACTwazalendo, Ndugu @SemuDorothy. Katazo hili ni mwendelezo tu wa jeshi hilo kukubali Kutumika Kisiasa na chama tawala. #TaifaLaWote #PolisiwaWote #MaslahiYaWote
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kilwa: Jeshi la Polisi lapiga marufuku Mkutano wa Hadhara wa ACT Wazalendo kwa Sababu za Kiusalama

    Mkutano wa hadhara wa Chama cha ACT Wazalendo uliotarajiwa kuhutubiwa na Kiongozi wa chama hicho Dorothy Semu ambao ulipangwa kufanyika katika viwanja vya Maalim Seif Garden, Kilwa Kivinje, mkoani Lindi leo, Ijumaa Desemba 06.2024 umepigwa marufuku na Jeshi la Polisi kwa kile kinachoelezwa kuwa...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: Abdul Nondo amekutwa na kiwango kikubwa cha sumu mwilini

    Abdul Nondo akutwa na kiwango kikubwa cha sumu mwilini Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ACT-Wazalendo Taifa Ndg. Abdul Nondo jana tarehe 03 Disemba 2024, alifanyiwa upasuaji mdogo kwenye unyayo baada ya madakatri wanaomuuguza katika hospitali ya Aga Khan kubaini uwepo wa mivunjiko midogomodogo...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo hivi mnashindwa kununulia viongozi wenu hata kigari cha milioni kumi? Kupanda Saratoga kutoka Kigoma mpaka DSM sio sawa

    Kwema Wakuu! Mwezi wa tano mwaka huu nilikuwa maeneo ya Kigoma. Kwa usafiri wa Basi kutoka Kigoma Mpaka DSM ni mbali Sana. Hayatapungua Masaa 20 ukiwa njiani unaugulia maumivu ya mgongo na kiuno. Sasa kufuatia tukio la kutekwa kwa ndugu Abdul Nondo ambaye kwa mujibu wa maelezo yake anadai...
  10. The Watchman

    JamiiForums Tanzania ACT- Wazalendo: Tunalani uvamizi dhidi ya Wamachinga na kubomolewa vibanda vyao eneo la Mbagala Rangitatu

    TAARIFA KWA UMMA Tunalani Uvamizi dhidi ya Wamachinga na Kubomolewa Vibanda vyao eneo la Mbagala Rangitatu ACT Wazalendo tunasikitishwa na kulaani vikali tukio la kubomolewa kwa vibanda na kuporwa bidhaa za wafanyabiashara wadogo eneo la Mbagala Rangitatu, Temeke Dar es Salaam usiku wa kuamkia...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Picha za Abdul Nondo akiwa hospitali akiendelea na matibabu

    Taarifa ya Chama cha ACT Wazalendo imeeleza "Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa ACT Wazalendo, Abdul Nondo anaendelea na matibabu katika Hospitali ya Aghakhan, Dar es Salaam kutokana na kuumizwa kwa kipigo na watu waliomteka." Pia soma ~ Taarifa ya kutekwa kwa Abdul Nondo kutoka ACT Wazalendo...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: Hatuna sababu ya kulishukuru Jeshi la Polisi kutekwa kwa Abdul Nondo, wameishia kutoa matamko ya jumla jumla

    Chama cha ACT Wazalendo kinatoa tamko muda huu kuhusu kutekwa kwa Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana, Abdul Nondo, nakutelekezwa usiku wa kuamkia leo katika fukwe za Coco Beach, Dar es Salaam. Kwa mujibu wa taarifa ya Jeshi la Polisi, Nondo alisaidiwa na dereva wa bodaboda aliyemfikisha katika ofisi...
  13. Don Gorgon

    JamiiForums Tanzania Press Conference ya ACT Wazalendo kuhusu kutekwa Abdul Nondo ilidhamiriwa kunyamazishwa?

    Nimetafuta sana press conference ya ACT Wazalendo waliyofanya jana jioni kuhusu ukamatwaji wa Abdul Nondo iliyoongozwa na kiongozi mmoja wa ACT. Nimebahatika kuipata ikiwa imerushwa na ICON TV tu. Labda mtanisaidia kama kuna pahala inapatikana kwa sauti yenye ubora. Lakini nilichoona ni kipaza...
  14. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 ACT waongea baada ya Nondo kupatikana, wasema alipigwa sana na alikuwa kwenye kitisho cha kifo

    Wakuu, Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Isihaka Mchinjita amesema kuwa Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa chama hicho Abdul Nondo amepigwa sana na kuumizwa sana pia kwa hali aliyonayo hawezi kuzungumza vizuri. Mchinjita ameyasema hayo usiku huu (2:15 Disemba 02, 2024) baada ya kufika katika...
  15. Matulanya Mputa

    JamiiForums Tanzania Niliwahi kusema ACT Wazalendo hampo salama, msijione kama mmeshika dola

    Pole Abdul Nondo nakumbuka niliwahi kuleta uzi kuwa ACT-WAZALENDO hampo salama, nilizungumza kipindi chadema wameratibu maandamano. Kipindi cha maandamano nilitegemea ACT-WAZALENDO watasema mishap ziara za kichama kuonesha kuwaunga chadema mkono kupinga mauaji na utekaji badala yake wao...
  16. E

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba ACT wazalendo wamemtendea vyema kiongozi aliyetekwa kuliko CHADEMA kwa wafuasi wao

    Ndani ya Muda mfupi wametoa taarifa muhimu ambazo zitasaidia kupatikana kwa mfuasi wao CHADEMA sasa hivi wangekuwa kwenye media wakitoa matamko kuna kitu wajifunze .
  17. Mindyou

    JamiiForums Tanzania LGE2024 ACT Wazalendo wamsimamisha kazi kiongozi aliyesifia na kupongeza mchakato wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Wakuu, Haya jamani mliokuwa mnasema kuwa ACT Wazalendo ni CCM B mna salamu zenu hapa. Nimeona hivi karibuni Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Jimbo la Momba, Himid Yaled Siwale amesimamishwa uongozi kutokana na video inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii, akipongeza kuwa Uchaguzi wa Serikali za...
  18. ngara23

    JamiiForums Tanzania Waziri Masauni na IGP Wambura jiuzulu

    Watanganyika wenzetu wanatekwa, kupoteza na kuuawa katika ardhi yetu na mchana kweupe Idadi ya vifo na utekaji vimeongezeka Uchunguzi usiokuwa na majibu juu ya waliomteka Mzee Kibao hapa Masauni msibani ulienda ukaahidi utafanya uchunguzi na utakuja na majibu haraka, ila miezi minne Sasa Bado...
  19. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Taarifa ya kutekwa kwa Abdul Nondo kutoka ACT Wazalendo

    Wakuu, KUTEKWA KWA MWENYEKITI WA NGOME YA VIJANA NDUGU ADBUL NONDO Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ya ACT Wazalendo Ndugu Abdul Omar Nondoametekwa asubuhi hii na watu wasiojulikana akitokea mkoani Kigoma alikokuwa sehemu ya viongozi wa kitaifa walioongoza kampeni kwenye mikoa ya magharibi mwa...
  20. Abdull Kazi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dar: Abdul Nondo atekwa na Watu wasiojulikana katika mazingira ya utatanishi Kituo cha Mabasi cha Magufuli

    Mwanasiasa Abdull Nondo wa Chama Cha ACT Wazalendo amechukuliwa asubuhi ya Leo na wati waliomvamia akiwa kituo Cha basi Mbezi. Katika purukushani hiyo wahusika walidondosha pingu na sasa hatma yake haijulikani mpaka wakati huu ==== UPDATE JamiiForums imewasiliana na Naibu Katibu wa Habari na...
Back
Top Bottom