abdul hafidh

Abdul Hafidh (more commonly referred to as Abdul Halim Hafidh Ameir or similar variations like Abdul Hafidh Ameir) is the son of Tanzania's President Samia Suluhu Hassan.

He is a Tanzanian businessman and philanthropist with interests reportedly in sectors like energy, food processing, and agriculture. Some public profiles describe him positively in those terms.

However, he is a highly controversial and polarizing figure in Tanzania, especially in recent years (particularly around and after the 2025 general elections).

He has faced widespread allegations from critics, opposition figures, former officials, human rights groups (including Amnesty International), and media reports of wielding significant unofficial influence over state security apparatus.

Key points from various sources:
  • He is accused of acting as a de facto or shadow leader of the Tanzania Intelligence and Security Service (TISS), with claims that he oversees or coordinates operations involving abductions, torture, disappearances, and suppression of dissent (often linked to the shadowy group referred to as "Watu Wasiojulikana" or "unknown assailants").

  • Reports describe him as one of the most "feared" individuals in the country, with fingers pointed at him for violence against opposition supporters, journalists, activists, and critics during periods of political unrest and post-election crackdowns.

  • These allegations surged amid disputed election results (where President Samia reportedly won with a very high percentage), protests, information blackouts, and reported deaths/massacres.

  • Some sources (e.g., Africa Confidential, opposition-linked claims, and blogs) link him to protecting or enabling repressive tactics, while police and government-aligned statements have dismissed specific abduction claims involving him as fabrications or misinformation.

  • There are also mentions of his involvement in business dealings and family political networks.
  1. Orketeemi

    Yupo wapi Abdulhalim Hafidhi Ameir?

    Huyu mtu mtoto wa Rais Samia yupo wapi? Hasikiki kabisa. Yaliyoko kwenye korido za wanausalama wazalendo ni kwamba mratibu Mkuu wa matukio ya mauaji ya MO29 ni huyu mtu. Ndiye aliyekuwa mastermind na ndio maana serikali inakigugumi kizito kuchukua hatua yoyote kwani kila kitu kipo under his...
  2. The Father of All

    PostGE2025 Namshauri Samia amteue hata Abduli ili timu ikamilike

    Kwa unyenyekevu, napenda kumshauri rais Samia, awateue Abduli na Salima Kiwete ili timu ya wateule ikamilike. Wewe unashaurije huu ufalme mpya wa Tanzania.
  3. Richard

    Nimeanza kuunganisha doti kwamba Lucas Mwashambwa ni Abdul Halim Hafidh Ameir mwenyewe au mtu alie karibu nae kumsaidia kwenye PR.

    Bado nafanya uchambuzi wangu kumhusu huyu Lucas Mwashambwa khasa baada ya kuendelea kutoa mada zake mbili baada ya kuapishwa waziri mkuu Mwigulu Nchemba na baada ya hotuba ya raisi mteule aliepatiana kwa wizi wa kura Samia Hassan. Moja ya mada zake mbili za hivi karibuni ni hii ya leo alotoa...
  4. F

    Sababu ya polisi wastaafu wawili kuuawa Kinyerezi, wauaji wote walikuwa wazanzibari. Kwenye clip kuna mwarabu

    Ule usiku watu waliouawa pale Kinyerezi, Kweli kulikuwa na uvunjaji wa duka na wakazi wa hilo eneo la Kinyerezi wakapiga simu, wakaja askari waliovalia kiraia. Mazingira ya hao plainclothes police kuja haikufahamika. Nadharia ambayo ilienea kwa kasi ni kuwa polisi walipopokea simu hiyo, wale...
  5. Heparin

    GE2025 DW: Abdul ni msuka mikakati na mkuu wa Idara ya Ujasusi Tanzania asiye rasmi, Kikwete amechukua nafasi kubwa kuhakikisha Samia anaendelea kuwa Rais

    Taarifa ya DW swahili iliyosoma na Bakari Ubena wamemtaja Mtoto wa Rais Abdul kama mshauri Mkuu wa Rsis, Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa asiye Rasmi na Mtu aliye nyuma ya Mateso ya Mauaji ya Waandamanaji na Msuka mikakati nyuma ya Mama yake asiye rasmi. Abdul Anatuhumiwa kuwa ndiye Msuka...
  6. Hance Mtanashati

    Ikumbukwe rais ana nafasi 10 za kuchagua wabunge anaowataka, msishangae Abduli akipewa ubunge baadaye uwaziri moja kwa moja

    Ikumbukwe rais ana nafasi 10 za kuchagua wabunge anaowataka, msishangae Abduli akipewa ubunge baadaye uwaziri moja kwa moja.
  7. Club Mate

    Ijue kampuni ya “Itel East Africa Limited” inayohusishwa na ufisadi nchini Tanzania

    Kampuni ya Itel East Africa Limited ilijiandikisha rasmi tarehe 15 Februari 2013, ingawa inadai kuwa imekuwa ikifanya kazi tangu mwaka 2010. Kampuni hii, ambayo ofisi zake ziko Dar es Salaam, ofisi namba 27 katika jengo la Uhuru Heights, karibu na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, ni kampuni...
  8. The Father of All

    Je, Abdul Samia na Ridhiwani Kikwete ni ndugu?

    Kichwa cha habari kinajieleza na kujitosheleza. Karibu tutafakari pamoja kujibu swali hapo juu.
  9. kagoshima

    Hatujapoa ya mtoto wa Mombo yanakuja ya Abduli

    Binadamu ni wabinafsi sana. Kuna watu wanafanya mambo utadhani wataishi milele hapa duniani. Tukiwa hatujapoa na ile ya mtoto wa Mombo kutuoneshea dole la kati akiwa kabeba maburungutu ya madorali. Mtoto wa Rais ananunua vigae vya ujenzi amounting to 2.4 billioni. Hakika siye wengine ni...
  10. pulex

    Alichokiandika Mange Kimambi kuhusu risiti za malipo za Bilioni 2.4 zinazodaiwa kuwa za Abdul mtoto wa Samia

    Kutoka kwenye page ya mwanadada Mange, risiti za malipo ya bwana Abdul zimeonesha. “Samia na mwanae walianza kufanya ufisadi tokea siku ya kwanza Samia aliporithi nchi. Hizi ni risiti za malipo ya bilioni 2.4 ya vifaa vya ujenzi, malipo haya yalifanywa na mtoto wa mwenyekiti wa CCM, bwana...
  11. N

    Haji Manara acha uongo na uzandiki: Si kweli watoto wote wa marais wanasemwa ni Abduli na Ridhiwani tu

    Ndugu Haji Manara naomba usidanganye umma kwa kutafuta huruma ya kuteuliwa kuwa Meya wa Ilala kwa kutumia uzandiki na uongo: Kwa historia sahihi: Enzi ya Nyerere hakuna mtoto wake alitajwa kuwa fisadi au kutumia madaraka vibaya, wala yeye kamwe. 2. Ali Hassan Mwinyi hakutajwa sana kwa ufisadi...
  12. Mkalukungone Mwamba

    Msama: Waliomchafua Ridhiwani kipindi cha Kikwete leo wanamchafua Abdul mtoto rais Samia

    Mkurugenzi wa Msama Promotion Alex Msama amewaasa wanatanzania kuwapuuza watu wanaochafua viongozi na watoto wa viongozi kwani wamenunuliwa kwa kupewa pesa nyingi ili tu kufanya hivyo kwa leo la kuvuruga amani ya nchi.
  13. fimboyaukwaju

    Fasheni ni kila ovu kulinasibisha na abduli mtoto wa samia

    Ndio fasheni sasa,kila baya kusema kalifanya abduli.Kuna watu wala hawamjui lakini watakuambia kuwa kapita hapa abduli na kabaka ng'ombe Acheni hizo fanyeni kazi,mtakufa na kihoro
  14. Mkalukungone Mwamba

    Polepole: Timu za watu wanaotukana mtandaoni na kuchapisha matisheti mtoto wa Rais Samia bwana Abdul ndiye anayehusika

    Timu za watu wanaotukana mtandaoni na kuchapisha matisheti mtoto wa Rais Samia bwana Abduli ndiye anayehusika na mtu atakayebisha nitawatajia kwa majina, ofisi walipo, vilipo viwanda vya kuchapisha tisheti. Shughuli za kamapeni zinazoendelea CCM zinasimamiwa na familia na mtoto wa rais
  15. The Father of All

    Naomba CV ya Abdul mtoto wa Rais Samia

    Abdul mwana wa malkina anajadiliwa sana. Kama yupo mwenye cv yake aturushie.
  16. The Father of All

    Wanaohoji utajiri wa Abduli mama wanapaswa kufikiri nje ya box

    Tangu uhuru wa Tanganyika na baadaye Tanzania, tumebarikiwa kuwa na marais sita waliopishana kwa mitindo ya uongozi na athari zao kwa jamii. Kwa mtazamo fulani, viongozi hawa wanaweza kuonekana katika makundi mawili tofauti. Kundi la kwanza ni lile la Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Benjamin...
  17. tonicimmobility

    Tetesi: Namna ambavyo anayesemekana kuwa Mtoto wa Rais Samia alivyompita Trafiki Polisi kwa dharau

    Miezi kadhaa iliyopita kuna tukio la askari usalama barabarani kusimamisha gari aina ya Rolls-Royce Cullinan Series II (Gari ya zaidi ya Billioni 2 za kitanzania) maeneo ya Masaki ila dereva akapita bila kusimama. Soma pia: Kama wewe ni Trafic Police, nani utamruhusu apite kwanza? Dereva wa...
  18. MSAGA SUMU

    Abdul Hafidh acha kuwa 'freeloader'nenda kachukue fomu

    Muda ndio huu, nenda Kizimkaz kachukue fomu uache kusumbua watu mjini. Muda ndio huu. Acha kutaka hela za bure kila dili wewe unataka kupewa 10 percent.
  19. ngara23

    Ukimgusa Abduli, umemgusa mama

    Fanya vyote kosoa, tukana ila usijaribu kumgusa kipenzi cha mama. Hata utani au mifano hataki 1.Lisu alimwandama Abduli ati alimpelekea furushi la pesa kama hongo, Sasa yupo Ukonga na kesi mbaya ya uhaini 2 Bon yai alithubutu kuropoka kilichomkuta, saiv amepoa mno 3. Gwajima akamtolea mfano...
  20. Waufukweni

    PreGE2025 Ezekia Wenje: Abdul bado ni rafiki yangu, si ajabu mimi kuwa na marafiki waliopo CCM

    Mbunge wa zamani kupitia CHADEMA, Ezekia Wenjeamesema si kosa kuwa na marafiki kutoka CCM, akisisitiza kwamba siasa hazipaswi kuvuruga mahusiano ya kibinadamu. Aidha, alifananisha uongozi wa Mwalimu Nyerere na Freeman Mbowe, akisema Nyerere aliongoza muda mrefu zaidi, na kuonyesha kuwa uongozi...
Back
Top Bottom