Mgombea Ubunge Jimbo la Kinondoni kupitia CCM, Abbas Tarimba amesema hawezi kukaa kimya atakapoona kuna watu wanamkosea heshima kiongozi wa nchi.
Soma: Tarimba: Wananchi ndio wenye mamlaka yakutoa viongozi
Tarimba ametoa kauli hiyo leo Oktoba 21, kwenye mkutano wa kampeni za mgombea urais wa...
Mgombea wa ubunge jimbo la Kinondoni Jijini Dar es asalaam kupitia chama cha mapinduzi CCM Abbas Tarimba amezindua rasmi kampeni za siasa kuelekea uchaguzi mkuu akijinadi kusimamia uwajibikaji endapo atapewa ridhaa ya kuongoza jimbo kwa muhula mwingine.
Katika mkutano wake wa hadhara ulifanyika...
Mgombea Ubunge jimbo la Kinondoni kupitia CHAUMMA Moza Ally amesema amejipanga kushinda Jimbo hilo, licha ya ugumu wa Mbunge wa sasa anayewakilisha Chama tawala.
Moza amesema anafahamu matatizo mengi ya watu wa Kinondoni hivo itakuwa kazi nyepesi kwake kufikisha matatizo yao BUNGENI na...
Akizungumza Jumatatu, tarehe 23 Juni katika Ukumbi wa Ubungo Plaza, Mbunge wa Kinondoni, Abbas Tarimba, aliongoza mkutano wa uwajibikaji kuhusu utekelezaji wa ilani ya CCM kwa kipindi Cha miaka mitano .
Mgeni rasmi katika hafla hiyo alikuwa Issa javu, Katibu wa NEc Oganalzesneni wa CCM ambaye...
Mbunge wa Jimbo la Kinondoni Abbas Tarimba amesema amejitoa mhanga kwa atakaye mtingisha rais Samia nae atamtingisha.
Nataka niwaambie katika historia ya karibuni hakuna utekelezaji ulifana zaidi kuliko utekelezaji wa mwaka 2020- 2025, na tumpongeze sana rais Samia kwa sababu ni kiongozi...
Wakuu huyu hawa wabunge kutwa wanafikiria kunyoosha njia zao wanasajisahau sana, kuna mwingine alitaka bima yao irefushwe kupita muda wa kawaida kisa anaogopa akiugua akiwa kwenye kampeni wakati hou kipindi chote alipata mshahara mnono na Pensheni la kucheba.
Leo Mbunge wa Kinondoni Abbas...
Mchungaji mstaafu wa kanisa la kiinjili la kilutheri( KKKT) nchini Mchungaji Richard Hananja amechukizwa na kauli ya Askofu Gwajima ambaye pia ni mbunge wa Kawe ya kumwita Mbunge huyo wa kinondoni Abbas Tarimba "Ponjoro" akiwa madhabahuni kuwa ni matumizi ya madhabahu kama sehemu ya kufanya...
Kumekuwapo na kawaida ya baadhi ya wanasiasa wasiokuwa waadilifu kutoa taarifa za uongo kuhusiana na elimu zao kwa sababu zao binafsi.
Mbunge wa Kinondoni Taarifa ya Elimu yake kwenye website ya bunge ilionyesha amesoma shahada ya kwanza na ya Pili chuo kikuu cha dar es salaam.
Baada ya watu...
Baada ya Mbunge Tarimba kutrend kutokama na elimu yake kuwa na mashaka, taarifa zake zimeeditiwa katika website ya Bunge, lakini bado maswali ni mengi.
- Kwanza chuo kimebadilika kutoka UD mpaka Tumaini!
- Ile masters imeyeyuka shwaa, tumerudi kwenye degree, diploma na cheti.
- Tatizo...
Mbunge wa Kionondoni, Abbas Tarimba anajua uchungu wa kupoteza watoto, na sio mtoto tu, bali watoto wasomi wanaochangia katika ujenzi wa taifa
Nimemsikiliza kwa umakini akisimulia mwaka 2019 alivyopoteza watoto wake wawili wa kiume ndani ya miezi minne tu. Chanzo cha vifo vyote ni homa ya...
Hivi hii tuiteje kweli? Kufuru dhidi Mungu Yehova, ujinga, upumbavu au ni kilele cha kiburi cha CCM na watawala wao..?
Mimi nimejaribu kufikiri huyu mbunge alikuwa amefikiri nini kumtetea Rais Samia Suluhu Hassan against Askofu Josephat Gwajima kwa kauli yake hii...?
Je, ubinadamu wa mtoto wa...
"Mtu anatolea mfano mtoto kipenzi wa rais et akitobolewa macho itakuwaje? Huu ni utovu mkubwa wa nidhamu anajua uchungu wa kulea kweli? Nashauri chama changu kimuite kamati ya maadili achukuliwe hatua hatuwezi kuwa na mtu ana kadi ya chama halafu anatusumbua"_kauli ya mbunge wa jimbo la...
Nchini Tanzania, Mbunge wa Jimbo la Kinondoni Abbas Tarimba amemshutumu vikali mbunge mwenzake wa chama tawala CCM kwa kukosoa juhudi zinazofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan huku akiziomba mamlaka kumchukulia hatua.
"Kuna mtu mmoja humu ndani mwenzetu, mbunge, tena ana nafasi ya kuzungumza...
Kwamba, Kwa Mfano Abdul akitobolewa macho , Ni uchungu sana Kwa Mzazi.
Ila Mdude kavunjiwa Nyumba, kabebwa, kapigwa ,Damu zimetapakaa nyumba nzima, Mzee Kibao kauwawa, Hawa wote sio kitu Kwa WAZAZI NA FAMILIA ZAO?.
CCM Kuna wakati muwe mnawaita Wabunge wenu kwanza na Wanachama, mnawapiga msasa...
Ameongea kwa uchungu mkubwa sana leo Bungeni. Na mimi naunga mkono. CCM Kinondoni iandae kongamano la kumlaani Gwajima, hata mimi ntachangia gharama za mkutano huo.
Ajibiwe na ngazi ya wilaya na mkoa tu ili ajue hiyo ni level yake, akiwa anataka ajibiwe na ngazi ya taifa. CCM Wilaya inamtosha...
Wakuu
Mbunge wa Kinondoni Mhe Tarimba Abbas amekutana na akina Mama wapatao 54 wa Kata ya Mzimuni na kuwapatia mitaji kuendeleza shughuli zao za ujasiriamali.
Pia, Soma
Kinondoni patachimbika! Wanaotaka Ubunge kibao, yumo Iddi Azzan, Tarimba na mjukuu wa Bakhresa
Mbunge wa Jimbo la Kinondoni Mhe. Abbas Tarimba ameshiriki hafla ya kugawa vitu mbalimbali kwa ajili ya futari kwa Wananchi waliofunga mwezi huu wa Ramadhan na Kwarezima iliyoandaliwa na Diwani wa Kata ya Mzimuni Mhe. Manfred Lyoto.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi...
Wakuu
Unaambiwa joto la ubunge Kinondoni linazidi kupanda! Wengi wanapanga kurusha karata zao, lakini kwenye mchuano wa wakali, majina yanayotajwa kwa nguvu ni pamoja na mbunge wa zamani Idd Mohamed Azzan anayetaka kurudi bungeni tena, kigogo wa siasa na biashara Tarimba Gulam Abbas, na sasa...
Wakuu,
Ukisikia vituko majimboni ndio hivi :BearLaugh: :BearLaugh: , mwenyewe yuko proud hapo kwenye picha hana hata haya:KEKLaugh::KEKLaugh::KEKLaugh:
====
Mbunge wa Kinondoni Mhe. Tarimba Abbas, akimkabidhi Mwenyekiti wa CCM Kata ya Magomeni Bw. Mohamed Mwinyi, Mafeni sita kwa ajili...
I declare Interest. Mimi ni Mwanayanga mpenzi wa mchezo wa Mpira wa Miguu.
Nmemsikia Tarimba Abas akiwa Bungeni na pia akihojiwa na vyombo vya habari. Ukimwona Bwana Tarimba kabla hajaongea unaweza sema atakuwa na Busara au Akili.
Akija kuongea utasikitika na kujiuliza kwa nini ameongea? Ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.