4R za Samia ni falsafa ya uongozi iliyoanzishwa na Samia Suluhu Hassan tangu aingie madarakani mwaka 2021.
Lengo lake ni kubadilisha mwelekeo wa siasa na uongozi wa nchi kuelekea utulivu, ushirikishwaji na maendeleo. 4R hizo ni Reconciliation, Resilience, Reforms na Rebuilding.
Mkuu wa mkoa wa Tanga Balozi Batilda Burian Batilda Burian amewataka viongozi wote ambao wana nafasi za kusimamia michakato ya uchaguzi,kusimamia agizo la kutumia 4R za Rais Samia katika kufanya kazi zao za uchaguzi.
Amesema hayo wakati akitoa taarifa za michakato ya uchaguzi ulipofikia kwa...
MATUNDA YA 4R ZA RAIS SAMIA, WAKULIMA NA WAFUGAJI MAMBO SHWARI
Falsafa ya 4R ya Rais Samia Suluhu Hassan imekuwa nguzo muhimu katika kujenga Tanzania yenye misingi imara ya kijamii, kisiasa, na kiuchumi. 4R zinawakilisha Maridhiano (Reconciliation), Uthabiti (Resilience), Mageuzi (Reform), na...
My Take
Machadema wataanza kutoa povu huku wakimuita chawa 😂😂😂😂
Very desperate saccos iliyokataliwa 👇👇
---
WAZIRI Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Warioba, amesema bado anayaona mafanikio ya falsafa ya Rais Samia Suluhu Hassan, ya R nne (4R) anazozitumia katika utawala wake na kuifanyia nchi kuwa...
WAZIRI Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Warioba, amesema bado anayaona mafanikio ya falsafa ya Rais Samia Suluhu Hassan, ya R nne (4R) anazozitumia katika utawala wake na kuifanyia nchi kuwa katika utulivu.
Aidha amesema falsafa ya maridhiano (Reconciliation), Mabadiliko (Reforms), Ustahimilivu...
Wanabodi,
Asubuhi hii nimeguswa na bandiko la mwana jf huyu, Naishauri serikali Kesho isije Ikatumia mabavu, iache CHADEMA wafanye maandamano yao kwa Amani
Naunga mkono hoja,
Hata mimi, kwanza nimeyaunga mkono haya maandamano Kufuatia Umuhimu wa Maandamano ya UKUTA: Nimehamasika, Nitashiriki...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Daktari Samia Suluhu Hasssan,ameongea kwa uchungu sana,kwa maumivu makali sana na kwa hisia kali sana zilizogusa mioyo ya watu wengi sana. Pale alipoelezea juhudi zake kubwa za kuliunganisha Taifa na kuwaleta pamoja watanzania...
Rais Samia akifunga mkutano mkuu wa maofisa waandamizi wa Jeshi la Polisi kwa mwaka 2024 na maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Polisi Tanzania katika viwanja vya Jeshi la Polisi (CCP) Kilimanjaro, amesema;
R4 si sababu ya utovu wa nidhamu, si sababu ya kukiuka sheria za nchi sheria za nchi...
https://www.youtube.com/watch?v=BKZ7ifz7408
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan Akifunga Mkutano Mkuu wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi kwa Mwaka 2024 na Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Polisi Tanzania, Viwanja vya Jeshi la Polisi CCP Mkoani...
Wanabodi
Hii ni makala yangu ya Kwa Maslahi ya Taifa kwenye Gazeti la NIPASHE la Jumapili ya leo
Kama kawa kila siku za Jumapili hutiririka na makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa
zenye swali hoja majibu utayatoa wewe msomaji mwenyewe.
Swali la leo ni kuhusu haki nchini Tanzania na falsafa ya...
Nije Moja Kwa moja.kwenye mada:
Falsafa ya 4R ambayo Rais Samia Suluhu Hassan anaiwasilisha kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa mwaka 2024 inapaswa kutazamwa kwa makini.
Katika utafiti wangu, nimegundua kuwa maneno ya Rais Samia yanaweza kutofautiana na yale...
Resilience
Reconciliation
Reform
Rebuild
Ingawa zimeletwa kwa kiingereza, mama alimaanisha kujenga serikali inayojali misingi ya 4Rs inayowakilisha Maridhiano, Uthabiti, Mageuzi na Ujenzi Upya, katika kushughulikia masuala ya sasa ya kijamii, kisiasa na kiuchumi nchini.
Tunaelekea kwenye...
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Hazara Chana (Mb) amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kumuamini na kumteua kusimamia kwa mara nyingine Wizara ya Maliasili na Utalii.
Ameyasema hayo leo Agosti 19,2024 aliporipoti katika...
KIKAO CHA MASHAURIANO CHAENDA SAMBAMBA NA FALSAFA YA RAIS SAMIA YA 4R
Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi, akiongoza Kikao cha Mashauriano cha Vyama vya Siasa Wanachama wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), ambacho, mbali ya viongozi wa vyama hivyo, pia kilihudhuriwa na...
Tulipokuwa tunaandika humu kwamba ccm inapumulia Mashine kila mahali, kuna waliotupinga, Lakini kama ilivyo ada Pembe la ng'ombe halifichiki, Mwenyekiti wa CCM aliyeko ziarani Mkoani Morogoro amejithibitishia.
Ameuona Moto wa Chadema yeye mwenyewe na amejua kwamba hatutanii, na sasa kishaelewa...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi,Rais anayeheshimika na kupendwa na watanzania kwa kiwango cha juu utafikiri pesa,hii leo ametua na kuingia ndani ya chuo cha Taifa cha Ulinzi na kupata mapokezi mazito kwelikweli na ya heshima ya hali ya juu sana.
Ambapo akiwa...
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Dkt. Festo Dugange amesema uchaguzi wa serikali za mitaa utazingatia ‘R-4’ za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ili kila chama kipate nafasi sawa.
“Uchaguzi wa serikali za mitaa...