4R za Samia ni falsafa ya uongozi iliyoanzishwa na Samia Suluhu Hassan tangu aingie madarakani mwaka 2021.
Lengo lake ni kubadilisha mwelekeo wa siasa na uongozi wa nchi kuelekea utulivu, ushirikishwaji na maendeleo. 4R hizo ni Reconciliation, Resilience, Reforms na Rebuilding.
Guys,
We all saw a few hours ago that President Samia Suluhu Hassan met with Mzee Joseph Sinde Warioba at the State House in Dar es Salaam. Sounds important, right?
Of course no official details have been disclosed about the specifics of their meeting, but the timing of the encounter is...
Wenje ameendelea kujimaliza, mwenyewe na kujiona mjanja
Tumika baba!
====================
Mwanachama mpya wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ezekiah Wenje, amesema kuwa katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, jumla ya kesi 417 zilifutwa, ikiwemo kesi sita...
Msikilizeni, mtatambua mnapeleka wabunge wa aina Gani Dodoma.
Elimu ya mgombea ubunge isipozingatiwa,nchi inaangamia.
Siasa sio ugomvi siasa ni upendo kama Simba na Yanga kwahiyo naomba maswali ambayo yatatupa maendeleo 4R za Rais Samia mimi mfanyabiashara nizijuwe kwa sababu ya nini, nipe...
Falsafa ya 4rs ndio iliyowapa fursa na nafasi ya wananchi wote kuungana tena na waTanazania wengine baada ya kujificha kwa mabeberu kwa kipindi kirefu kwa sababu na visingizio mbalimbali vya kisiasa. Kama sasa mmeshaota mapembe na mikia, ni vizuri kutambua kwamba sheria za kistaarabu za nchi...
Wanabodi
Rais Samia alipoingia madarakani, amekuja na falsafa yake mpya ya 4R, kwa jina maarufu 4R za Samia.
Je hizi 4R za Samia, zimesaidia kitu au ni maneno maneno tuu?.
Karibu Tuzijadili Live Mubashara on Star TV leo Saa 3:30 usiku
Usikose.
Paskali
Mheshimiwa Rais wa Tanzania na serikali yake walikuja na dhana ya 4R kama dira ya kujenga taifa lenye umoja, maendeleo na demokrasia. Dhana hii ya 4R ilijumuisha:
1. Reconciliation (Maridhiano) – Kujenga mshikamano wa kitaifa na kuondoa migawanyiko ya kisiasa.
2. Resilience (Ustahimilivu) –...
Hakika falsafa ya 4R ni msingi wa amani na mshikamano wa kiuchumi si TU kwa Tanzania bali baina ya nchi na nchi na Leo katika kusheherekea matokeo ya 4R ni kwamba mgogoro wa usafirishaji na zuio la mazao baina ya Tanzania na Malawi umemalizika kwa njia ya maridhiano. Hakika vitendo vina nguvu na...
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema falsafa ya 4R ya Rais wa Jamhuri ya Muungamo wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM taifa, Dkt. Samia Suluhu Hassan imeakisi sawa sawa tabia ya Mwalimu Nyerere katika dhamira na namna ya kuliongoza taifa la Tanzania...
Hakuna haja ya Salam
Alipo anzisha 4R nikasema wacha tuone.
Chadema wakachangua R moja tu ambayo ni reform kutoka kwenye 4R Zake mwenzetu kakimbia na mpira kwapani
Hataki reforms wala hataki kusikiliza mtu
4R zimegeuka RAV 4, mbio kama zote 🏃🏿♂️🏃🏿♂️
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na mazingira Hamad Masauni ameeleza kuwa falsafa ya maridhiano ya 4R ya Rais Samia Suluhu Hassan zimejenga umoja wa kitaifa, mapenzi na undugu bila kujali tofauti za kiitikadi zilizopo nchini Tanzania.
Waziri Masauni amebainisha hayo leo Jumanne...
Mara nyingi mhe. Rais alipokuwa akishika mic kimataifa alikuwa akijisifia namna alivyo rudisha demokrasia nchini hasa kupitia 4R zake.
Sasa kwa kukamatwa Tundu Lissu mwenyekiti wa chama kikuu Cha upinzani CHADEMA hii imeenda kuondos dhana nzima ya 4R za rais.
Tundu Lissu anataka Reforms za...
Akizungumzia miradi ambayo inatarajiwa kukamilika hivi karibuni, Rais Samia amesema 4R kutumika utoaji Haki Mahakamani, na kuongeza kuwa Maabusu wamepungua wasio na Kesi za Msingi.
Hili ni swali ambalo najiuliza.
Kama 4R ni falsafa ya Raisi, kwanini chama chake kinapinga Reforms zinazopendekezwa na wapinzani?
Badala ya kuchangamsha bongo zao namna ya kuyachukua mapendekezo ya Chadema, nguvu kubwa zaidi imeelekezwa katika kuwabeza, kuwatukana, kuwatisha, na kuwakatisha...
Kutokana na report ya CAG ya mwaka 2025 hivi ndivyo mashirika ya Uma yanavyonufaika na 4R za Mh Rais wetu mpendwa.
1.TTCL wao wameona namna nzuri ya kunufaika na 4R za Mh Rais ni kupandisha hasara kutoka billion 4.32 mwaka 2022 hadi billion 27.7 mwaka 2023.
2.TRC wao wameupiga mwingi zaidi na...
Wakuu
Mawaziri George Simbachawene (Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu) na Prof. Adolf Mkenda (Elimu, Sayansi na Teknolojia) wamekutana na viongozi wa Chama cha Walimu Wasio na Ajira (NETO) kujadili hatua za kutatua changamoto ya ajira kwa walimu.
==
Mwenyekiti wa...
Je kwanini Maridhiano na 4R zime mshinda Raisi Samia? Kati ya sababu hizi
1. Raisi Samia alikuwa hana nia alitumia muda kujiweka sawa
2.Raisi Samia alizidiwa na makada vigogo ambao hawataki mabadiliko
3. Raisi Samia muda ulivyokuwa unaenda akaanza kupenda uchawa na kuwa dikteta. Mama kanogewa...
Hii nchi na viongozi wake wanasikitisha sana. Moja kati ya 4R alizokuja nazo Rais Samia ni Mabadiliko (Reforms). Samia alisisitiza mabadiliko katika sekta mbalimbali ili kuboresha maisha ya wananchi.
Katika maendeleo na maisha ya wananchi huwezi kuweka pembeni Siasa. Siasa ndio inaamua hatma ya...
Wanabodi,
Ninapotafakari kwa kina mgogoro unaoendelea nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), ninakumbuka falsafa ya 4R ya Rais Samia Suluhu Hassan. Kama ingetekelezwa ipasavyo, inaonekana kuwa ingeweza kuumaliza mgogoro huu mara moja.
Swali linalojitokeza: Kwa nini wasaidizi wa Rais...
Wakuu,
Inaonekana kwamba bado vyama vya upinzani vina imani na mchakato wa Uchaguzi nchini
==========
Vyama vya upinzani vimeitaka Tume Huru ya Uchaguzi kuhakikisha inasimamia misingi ya haki na matakwa yote ya kisheria katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025 siku moja baada ya Rais Samia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.