Kwanini DSTV ni ghali sana?

Kwanini DSTV ni ghali sana?

bcsolution

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2013
Posts
394
Reaction score
177
Hivi hawa jamaa wa DSTV kwanini bei zao ziko juu sana, ni kodi wanayolipa au nini? Kama ni kodi wale GTV walikuwa hawalipi kodi? Mimi sio mpenzi wa mpira na sisemi hivi kwa sababu nimeshindwa kulipia DSTV. Basi tu nimekuwa nikijiuliza kwa nini hawa ghali sana na wanaenda na dola kila siku wanaangalia rate ya dola. Nawaonea huruma wapenzi wa mpira wanavyoteswa na hawa DSTV. Kila chenye mwanzo kina mwisho, itafikia tu siku watatafuta wateja na wasiwapate kama ilivyo mabenki sasa na mpesa, tigopesa. Yaani DSTV ni kampuni kubwa sio tu Tanzania ila Africa nzima. Nadhani hata wakifanya elfu 50,000 tshs kwa kila mteja na bado itawalipa., lakini bei zao za kubagua wasionacho...

Dstv mnawatesa vijana wenu wa mauzo

Poleni Dstv mjiandae kisaikolojia kukosa wateja.
 
We unadhani kupata kibali cha kuonesha channel za SS ni bure hawalipii...? Hao zuku, digtek na startimes wanao walipisha buku kumikumi kwa mwezi mbona hawanaubavu wa kuwaonyesha mkaacha kwenda kuangalia uefa,la liga,epl, n.k bar
 
cha ajabu channel nyingi za dstv,hawa star times wanazo. Labda ni hiyo hakimiliki ya kuonyesha world cup tu!
 
cha ajabu channel nyingi za dstv,hawa star times wanazo. Labda ni hiyo hakimiliki ya kuonyesha world cup tu!

Mkuu is kweli Kwamba channel nyingi za dstv zipo startimes. Mfano dstv wana discovery ch Kama nne hivi tofauti. Which is not the case kwa startimes. Superort zote ni dstv MNet ch na nyingine nyingi over 100. Dstv is the best sema tu ni ghali. Lakini hata decoder zao ni tofauti na zingine zote. Mfano hizi HD PVR EXPLORA ni safi sana mkuu with a lot of features.


Sent from my iPad using JamiiForums
 
hivi hawa jamaa wa dstv kwanini bei zao ziko juu sana...ni kodi wanayolipa au nini ? Kama ni kodi wale GTV walikuwa hawalipi kodi ? Mimi sio mpenzi wa mpira na sisemi hivi kwa sababu nimeshindwa kulipia dstv.. basi tu nimekuwa nikijiuliza kwa nini hawa ghali sana..na wanaenda na dola kila siku wanaangalia rate ya dola.. nawaonea huruma wapenzi wa mpira wanavyoteswa na hawa dstv..kila chenye mwanzo kina mwisho ..itafikia tu siku watatafuta wateja na wasiwapate kama ilivyo mabenki sasa na mpesa ,tigopesa...yaani dstv ni kampuni kubwa sio tu tz africa nzima...nadhani hata wakifanya elfu 50,000 tshs kwa kila mteja na bado itawalipa..lakini bei zao za kubagua wasionacho...

Package zao zinalipwa kwa dola ila wao hubadilisha na kuzifanya zilipiwe kwa Tsh na hubadilika kila mwezi kutokana na rate ya sh yetu na kama ukiona mwezi huu imeongezeka kutoka na shilingi kuyumba. Premium package huwa ni $ 78
 
cha ajabu channel nyingi za dstv,hawa star times wanazo. Labda ni hiyo hakimiliki ya kuonyesha world cup tu!

Hiyo Dstv uliyonayo kama vhannel zake zote zipo startimes basi itakuwa ni ya kuchakachua hivi ulishashika hata kipeperushi cha channel za Dstv?
 
DSTV ni level nyingine kabisa huwezi fananisha na vinga'muzi vingine aisee. Mfano Ukiwa na PVR EXPLORA aisee mkuu utajua nini nakwambia japo ndio hivyo kununua hiyo decoder na kufugiwa ni 1,000,0000 tsh na malipo ya mwezi kwa premium ni 159,000 tsh but uta enjoy sana na features zilizopo humo.
 
Dstv wakipunguza gharama za "full installation" watapata wateja wengi kwani watu wengi wanaweza kulipa angalau package ya access ambayo tshs. 16,000 kwa mwezi ambayo ni karibu sawa tu tv station nyingine.
 
King'amuzi 1mil?? Duuuuuuu ndio maana ufisadi hauishi tz.

Mkuu ndio maana itabaki kuwa ni option kwa wale wenye kuimudu hiyo maana dstv wana decoder tofauti tofauti kuna hizi za kawaida za SD ambapo nafikiri kufungiwa ni Kama 129,000 tsh Kama sikosei na malipo yake kwa premium ni 142,000 tsh monthly.


Sent from my iPad using JamiiForums
 
Unallia nini kikla. Mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake mbona hulalamiki bia maisha club inauzwa 5000 wakati kitaa ni 2500?? Kama huwezi hamia bongo muvi chanel jiunge library Mia 5 tu au hamia vibanda umiza ukishindwa kabisa uende baa sh 600 tu ya soda unaona mechi zootee
 
Unallia nini kikla. Mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake mbona hulalamiki bia maisha club inauzwa 5000 wakati kitaa ni 2500?? Kama huwezi hamia bongo muvi chanel jiunge library Mia 5 tu au hamia vibanda umiza ukishindwa kabisa uende baa sh 600 tu ya soda unaona mechi zootee

Hehehe kwaiyo unataka kusema DSTV wanasababisha MICHEPUKO...😀
 
Back
Top Bottom