Luno G
JF-Expert Member
- Sep 22, 2012
- 2,550
- 1,852
UBORA
-Ina uwezo wa kubeba simcard mbili
-Ina uwezo wa 3G kwa simcard moja na 2G kwa simcard nyengine
-Touchscreen yake ni capacitive kama ilivyo kwa smartphones nyingi
-OS yake ni Android 4.0 Ice Cream Sandwich
-Ina WI-FI na Wi-Fi hotspot
-Speed yake katika kuperuzi na kupakua ni ya kuridhisha kulingana na ukubwa wa processor ambayo ni 1GHz, ukubwa wa RAM 512MB na ROM ya 4GB
-Ina uwezo wa kubeba microSD hadi 32GB
-Ukinunua unapewa microSD ya 8GB
-Ina camera mbili ya nyuma ambayo ni 5MP na ya mbele yenye uwezo wa 0.3MP
-Ina LED flash
-Ni ya Qwerty keypad inayofanya uwe na chat speed
-Bei yake ni nafuu, kwa rejareja hapa Tanzania zinauzwa kwa wastani wa 140000 hadi 160000
UDHAIFU
-Sreen yake ni ndogo ukilinganisha na smartphones nyingi
-Uimara wa body yake ni wakutilia shaka
-Japo Camera yake ya nyuma ni 5MP haina picha nzuri sana ya kuridhisha
-LED flash yake haina mwanga mkali
-Haiji na preinstalled applications nyingi hivyo unavyoinunua unalazimika kuzipakua kutoka play store
-Umbo lake linaweza sababisha simu hii ikanunuliwa sana na watu wa jinsia moja tu(wanaume)
Uwezo wake wa kukaa na chaji ni wa wastani kama smartphones nyengine
My take
Kama TECNO wanataenda kwa kasi hii na kurekebisha baadhi ya mambo basi nawatabilia mambo mazuri huko mbeleni na watauza sana hizi simu zao kwa nchi nyingi za Afrika ikiwemo Tanzania ambazo wananchi wake wana kipato cha wastani. Jamaa wanatengeneza smartphones ambazo ni nzuri kwa ubora na za wastani kwa uimara kwa bei nafuu.