THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 18,775
- 15,129
habari za leo..
Ndugu zangu,kama vile navopenda kuwaita wakwasi wa fikra,,
jana yapata mida ya usiku wa saa tano na ushee,nilikua nyumbani kwangu nafuatilia mjadala fulani tbc1 na miongoni mwa jambo kubwa lililokua limechukua nafasi ni katiba mpya na mustakabali wa tanzania yetu kwa kuchelea uimara wa muungano wetu n.k.,na kwa kweli ule mjadala ulipata kuwa na wachangiaji wengi tuh wenye uelewa wa mambo na wazalendo + wenye kuutakia mema muungano wetu
hoja ya mchangiaji mmoja bado inanizunguka zunguka kichwani mwangu hadi kufikia hivi sasa,,
alisema ya kwamba namnukuu "katika katiba mpya inayotarajiwa na katika mchakato wa ukusanyaji wa maoni kwa wananchi juu ya katiba hiyo tarajiwa hiki kipengele cha muungano kinastahiki kizungumzwe kiuwazi kabisa",,
na kwamba huu uwoga tulionao wa kushindwa kulizungumza suala hili kwa kuhofia kuufanyia choko choko muungano sio dawa stahiki juu ya kero za muungano wetu tunaoupenda,,
zanzibar kama zanzibar,ina rais wake,ina katiba yake,ina bunge lake,ina serikali yake,ina jeshi kmkm,kwa ufupi zanzibar ina asilimia kubwa sana ya vitu vinavoifanya hiyo zanzibar kuishi kwa amani ndani ya muungano huu
tujiulize sisi watanzania bara endapo muungano unavunjika leo i mean sisi tanganyika tuna nini?
Je tanganyika tuna rais?tanganyika tuna katiba?tanganyika tuna mahakama?tuna bunge?
Na huu muungano ukivunjika saiz sisi tanganyika tunafanya kitu gani cha kututambulisha katika jumuiya ya kimataifa ya kwamba ni nchi kamili iliyo kamilika kiutawala??
Mimi naona watu waliokalia kuti kavu katika hili suala ni sisi watanganyika,sasa kwanin tunaogopa kulizungumza hili??
Hata kama suluhisho liwe ni serikali tatu,yani ya zanzibar,tanganyika.,na muungano kwani kuna tatzo gani??
Mtu pekee anaenufaika na huu muungano me naona ni mzanzibari,mzanzibari ananufaika na zanzibar kisha ananufaika na tanzania pia
tanganyika ananufaika na nini??
Kwanini linapokuja suala la nyeti na la umuhimu kama hili tunashikwa na woga na kigugumizi kulizungumza kwa uwazi??
kwa kweli mimi kama mzanzibara au mtanganyika au mtanzania bara ndie pekee niliekalia kuti kavu kwenye muungano huu endapo litatokea lolote lile la kutokea..
Muungano tuuzungumze kwa manufaa yetu na manufaa ya vizazi vyetu vinavokuja
tanzania ni nchi yetu,tunaipenda na kujivunia nayo.