Search results

  1. S

    Pengo la Prof. Muhongo laanza kuonekana. Mgao wa umeme umeanza kurudi kwa kasi

    Sasa ni dhahiri bila shaka. Baada ya Prof. Muhongo kuondolewa kwenye nafasi yake ya Uwaziri wa nishati na madini. Mgao wa umeme umeanza kurudi taratibu. Huku kwetu tangu jmosi tunapata adha ya kukatika umeme kila Siku jambo ambalo tulikuwa tumelisahau kwa muda mrefu. JPM tunakuomba...
  2. S

    Uteuzi wa ma DC na DED WA Leo

    Naomba kujulishwa huu uteuzi wa Leo wa ma DC na DED mkulu ameendelea kuteua walioshindwa uchaguzi au zamu hii katoa wataalamu? Wenye kuwafahamu walioteuliwa watujuze tafadhali
  3. S

    Wiki hii inaisha bila uteuzi?

    tangu rais wetu aingie madarakani amekuwa akipanga safu yake ya kazi. kwa tathimini niliona kama kila wiki kuna teuzi lakini wiki hii inaelekea mwisho kimyaa. tulitegemea sikukuu tule wengine wakifurahia uteuzi. nihayo tu waungwana
  4. S

    Bei ya sukari yapaa

    Siku chache tangu rais azuie uingizwaji wa sukari ya nje. Bei imepaa kutoka sh. 2000 hadi 2500 pia mfuko wa kg 50 ulikuwa 45000 sasa hivi 47000. Serikali isipoliangalia hili suala vizuri ifikapo mwezi ujao chai hatutakunywa tena. Kingine najiuliza inamaana viwanda vyetu haviproduce au kuna...
  5. S

    TTCL waongeza bei ya bundle na kuongeza kiwango cha bundle

    Leo nimekwenda kununua vocha za Tttc ili nije nijiunge na Bundle la mwezi nilizoea kununua kwa Tshs. 12,500/- nikijiunga napata 1.5GB cha kushangaza leo nimeambiwa hakuna tena ninunue kwa Tshs. 18,000/- nikijiunga napata 30GB swali langu kwao iweje watoke bundle la 1.5GB hadi 30GB au wanataka...
  6. S

    Jafo kupokelewa kishujaa kisarawe!!!

    jana usiku nilikuwa nasikiliza tbc taifa nikasikia wananchi wapo wanapanga mikakati ya kumpokea mbunge wao kishujaa baada ya kutoa hoja ile ya fao la kujitoa!!! Nikaanza kushanga! Hoja kama hizo mbona zinztolewa nyingi sana na upinzani lakini hawapendelei misifa ya hivyo????
Back
Top Bottom