Sasa ni dhahiri bila shaka. Baada ya Prof. Muhongo kuondolewa kwenye nafasi yake ya Uwaziri wa nishati na madini.
Mgao wa umeme umeanza kurudi taratibu. Huku kwetu tangu jmosi tunapata adha ya kukatika umeme kila Siku jambo ambalo tulikuwa tumelisahau kwa muda mrefu.
JPM tunakuomba ulitazame tena jambo hili maana ule msemo wako wa hapa KAZI tu na Tanzania ya viwanda itakuwa ndoto. Hebu angalia sasa hivi tunatakiwa kufanya kazi tupo tuna piga story tu