Wiki hii inaisha bila uteuzi?

salehe

Member
Mar 16, 2008
83
30
tangu rais wetu aingie madarakani amekuwa akipanga safu yake ya kazi. kwa tathimini niliona kama kila wiki kuna teuzi lakini wiki hii inaelekea mwisho kimyaa. tulitegemea sikukuu tule wengine wakifurahia uteuzi. nihayo tu waungwana
 
mkuu Wiki bado haijaisha hii, subiri hadi J3 ijayo ndiyo uhitimishe kuwa hakukuwa na uteuzi.
 
Back
Top Bottom