Jambo hili nahisi ni kweli maana si mara moja kutokea. Mimi nilidhani ni jambo linalitokea kwangu tu kumbe ni kwa watu wengi! Sina shaka hili ni jambo la kupangwa, ni hujuma mbaya ambapo wahusika wanatakiwa kuiacha hujuma hii mara moja.
Inabidi wakumbuke kuwa daima bidhaa nzuri inayokidhi...
Bahari imechafuka tena sana, Chimbo kinayumba sana, nahodha namtafuta simuoni. Ndugu zangu nchi inayumba kila kona, kibaya zaidi ni pale unapoona viongozi wetu hawachaguliwi kwa kuwa sababu ya uwezo wao bali mbinu zingine (200,000).
Hii ni hatari kwa sababu hakuna anayesema hasa miongoni...
Jamani, hakika nimechoka. Nimechoka kusikia maelezo ya namna moja na kila siku ya Zanzibar kuonewa na Bara utadhani ni kweli. Kitu kikirudiwa mara nyingi na watu wasipokuwa makini wanaweza kudhani kinachosemwa ni kweli.
Hapana, sasa umefika wakati tuwaruhusu hawa wenzetu wajitenge - waende...
Watanzania pamoja na tofauti zetu kiitikadi, kiuchumi au kijamii tumekuwa na tutakuwa wamoja. Tuishinde mitego yote yenye nia mbaya kwa kutenda yaliyohaki mbele ya ya jamii yetu. Tuushinde ubaya kwa kutenda yaliyo mema. Abood katoa msaada kwa jamii na taasisi iliyo na itikadi tofauti na yeye...
Kuna mambo matano hapa ya kuyaangalia. Kwanza, ni kweli kwa standards zozote viongozi narudia viongozi wa Yanga walikosea kutoipeleka timu uwanjani. Naamini viongozi wa Yanga walipewa kanuni za mashindano mapema kabla mashindano hayajaanza, wakazisoma, wakazielewa wakakubali kuingia mashindanoni...
Kuna mambo manne hapa ya kuyaangalia. Kwanza, ni kweli kwa standards zozote viongozi narudia viongozi wa Yanga walikosea kutoipeleka timu uwanjani. Naamini viongozi wa Yanga walipewa kanuni za mashindano mapema kabla mashindano hayajaanza, wakazisoma, wakazielewa wakakubali kuingia mashindanoni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.