kama kijana wa kitanzania unayependa maendeleo na nchi yako niwakati wako sasa kutafuta maisha siyo kila siku unabaki kulumbana kuhusu siasa. kwa kipindi kirefu chaka bovu amefanya utafiti nakuona kuwa asilimia kubwa ya vijana wameacha kufanya maendeleo na kulumbana kuhusu siasa, siwakatazi...
Jamani hivi elimu ya tanzania inakwenda wapi? kama tunaweza sasa kuweka mtihani wa hisabati kuwa na majibu ya kuchangua sasa tunafanya wanafunzi kuwa wavivu sasa na kupoteza wasomi. kweli tutafika
sioni sababu ya chadema na ccm kulumbana kila siku. Malumbano yatakwenda mwisho wa siku kila mtu unyamaza.wanasiasa watanzania tatizo maneno mengi vitendo vichache. ila itafika kipindi watanzania wataelewa kinachoendele katika siasa yetu ambayo ya maneno mengi vitendo vichache. AMKA NA UITETEE...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.