Elimu yetu inakwenda wapi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Elimu yetu inakwenda wapi

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by chaka bovu, Sep 24, 2012.

 1. c

  chaka bovu Member

  #1
  Sep 24, 2012
  Joined: Aug 7, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani hivi elimu ya tanzania inakwenda wapi? kama tunaweza sasa kuweka mtihani wa hisabati kuwa na majibu ya kuchangua sasa tunafanya wanafunzi kuwa wavivu sasa na kupoteza wasomi. kweli tutafika
   
 2. The Son

  The Son JF-Expert Member

  #2
  Sep 24, 2012
  Joined: Jul 30, 2012
  Messages: 463
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu chaka bovu nauliza kwanza, hapo kwenye blue umemaanisha 'KUCHAGUA' au?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. c

  chaka bovu Member

  #3
  Sep 24, 2012
  Joined: Aug 7, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nimekosea bwana wakati wa kuchapa
   
 4. m

  makeda JF-Expert Member

  #4
  Sep 24, 2012
  Joined: Sep 4, 2012
  Messages: 241
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Tabu ya nini wakati wanajua wakimaliza watashikwa mikono kupewa kazi.
  Hatuna tunako elekea,tuko shimoni tayari.
   
 5. c

  chaka bovu Member

  #5
  Sep 24, 2012
  Joined: Aug 7, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ujaju makeda wanataka msikanyage bungeni pamoja na ikulu.unavyozani una ambiwa ukitaka kupata kazi uwe nauzoefu wa miaka 3 unazani mchezo awataki kubanduka
   
Loading...