Search results

  1. E

    Msajili wa vyama vya Siasa aache uongo na uchochezi,atahatarisha amani ya nchi

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU TAMKO LILILOTOLEWA NA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA JAJI MUTUNGI 28 July, 2016 Ndugu waandishi wa Habari, Nimepokea kwa masikitiko makubwa Tamko lilitolewa na Msajili wa vyama vya Siasa Jaji Fransis S K Mutungi tar 28 July 2016 kuhusu kile anachokiita kukemea...
  2. E

    TUAMUE KUHUSU ZANZIBAR NA SIO KAULI. MAAMUZI YANA GHARAMA, TUKUBALI GAHARAMA.

    KAULI HAZIKUMALIZA MGOGORO WA ZANZIBAR TANGU MWAKA 1995, MAAMUZI YALIMALIZA MGOGORO ZANZIBAR 2010, KAULI ZA LEO NI ZA KUTURUDISHA KWENYE CHUKI NA UHASAMA ZANZIBAR. Azimio la Baraza la Wawakilishi Baraza la Wawakilishi la Zanzibar mnamo tarehe 28 na 29 Januari 2010 lilijadili hoja ya mapendekezo...
  3. E

    Hotuba ya Kambi Rasmi ya Upinzani, Mazingira, Mchungaji Natse

    HOTUBA YA MSEMAJI MKUU WAKAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI MHE MCH ISRAEL YOHANA NATSE (MB) AKIWASILISHABUNGENI MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA OFISI YA MAKAMU WA RAIS MAZINGIRAKWA MWAKA WA FEDHA 2015/2016 (Inatolewa chini ya Kanuni ya 99 (9), ya Kanuni za Kudumu za BungeToleo la Mwaka...
  4. E

    Taarifa ya BAVICHA Mkoa wa Njombe kwa vyombo vya habari

    TAARIFA YA MWENYEKITI WA BAVICHA MKOA WA NJOMBE KWA VYOMBO VYA HABARI19 May 2015 Ndugu Waandishi wa Habari, Katika kipindi cha wiki Miezi Miwili iliyopita wakatizoezi la Uandikishaji likiendelea katika Mkoa wa Njombe, kumekuwepo namfululizo wa vikao vya Chama Cha Mapinduzi Kujadili namna...
  5. E

    Naomba kuwasaidia BAVICHA, ni kwa dhati ya moyo wangu

    kwanza mimi sio mwenyekiti wa wilaya, ila ni mkoa.usichokijuua ni sawa na usiku wa giza, shonza usaliti wako kwa sababu tuu ya kupewa fedha na ahadi lukuki za ccm sio uhalali wa kukurupuka na kufanya propaganda za kutukana watu kwa sababu ya hila zako na chadema. Lazima utambue kuwa chadema ni...
  6. E

    Naomba kuwasaidia BAVICHA, ni kwa dhati ya moyo wangu

    Nimetoa haya kutokana na kile alichokisema julian shonza juu ya BAVICHA na kunitaja kwa jina , usichokijuua ni sawa na usiku wa giza, Shonza usaliti wako kwa sababu tuu ya kupewa fedha na ahadi lukuki za CCM sio uhalali wa kukurupuka na kufanya propaganda za kutukana watu kwa sababu ya hila zako...
  7. E

    Tamko la vijana nchini kumsihi Freeman Mbowe agombee tena nafasi hii ya uenyekiti wa chama

    TAMKO LA VIJANA NCHINI KUMSIHI MWENYEKITI FREEMAN MBOWE AGOMBEE TENA NAFASI HII YA UENYEKITI WA CHAMA CHETU. Tamko hili ni la vijana wote wa CHADEMA nchi nzima. Linasomwa hapa mbele ya hadhara hii kwa niaba ya vijana hao ambao wanayo hamu kubwa ya kumuona Mwenyekiti Freeman Mbowe akiwania tena...
  8. E

    Mjadala bungeni ukawa na warioba, hoja rasmi ya rasimu yawekwa kando

    Tatizo lako una jazba kama mtu mwenye njaa, sasa sijui ndio style ya kujenga hoja au? Nilipendekeza serikali Tatu, tena kwa kuonesha jinsi mbili zilivyoshindwa kutatua kero na kunesha utaratibu wa tatu kutatua kero za muungano. usiwe na tabia ya kukurupuka nakulopoka tuu kisa warioba kachukua...
  9. E

    Mjadala bungeni ukawa na warioba, hoja rasmi ya rasimu yawekwa kando

    Bunge maalumu lipo katika mjadala ambao kwa mujibu wa ratiba ya bunge maalum hoja iliyopo mezani ni kujadili taarifa za kamati za bunge maalumu juu ya sura ya kwanza na ya sita katika rasimu ya katiba, cha kushangaza hadi sasa mjadala unaonekana kuwekwa kando na mjadala uliopo sasa ni ukawa na...
  10. E

    Tusiwapuuze viongozi wa dini-ukweli haupendi kupuuzwa puuzwa

    TAARIFA KWA UMMA JUU YA MJADALA WA KATIBA MPYA BUNGENI. TUSIWAPUUZE VIONGOZI WA DINI - UKWELI HAUPENDI KUPUUZWA PUUZWA. Nimefuatilia kwa umakini sana mjadala uneondelea sasa katika vyombo vya habari, bungeni na nje ya bunge, bado sioni nia ya dhati kwa watawala kutafuta muafaka na kuleta katiba...
  11. E

    Viongozi CHADEMA Njombe kufikishwa mahakamani tarehe 7/2/2014

    Baada ya kupokea kipigo kwa Greenguard ya CCM kwa kumuokoa askari polisi Viongozi hao wa CHADEMA watafikishwa mahakamani kujibu mshtaka ya kufanya fujo, Unaweza jiuliza kumuokoa mtu ni fujo? Kupigwa na ukaa kimywa ni Fujo? Pili Mimi binafsi nilikamatwa kwa kudai haki ya kiongozi wetu aliepigwa...
  12. E

    Kikwetw: Sio lazima tutekeleze ilani yote kufikia 2015

    Kikwete katika maadhimisho ya miaka 37 ya ccm mkoani mbeya amesema sio lazima ilani ya ccm itekelezeke kufikia 2015, akitoa sababu kuwa hawafungwi na ahadi hizo kwani hakuna mapato ya kukamilisha ahadi hizo za ccm, watanzania vema tujifunze kauli za viongozi wetu na nia zao katika taifa hili...
  13. E

    Serikali tatu au mbili? Yapi ni mapendekezo ya wananchi?

    Nimetafakari kidogo kauli za wanasiasa juu ya mapendkezo yaliyomo katika rasimu ya pili ya katiba, Nimeona ni kama vile Rasimu ina ibara moja tuu hususani juu ya Muundo wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ambayo inatoa mapendekezo ya Serikali tatu. Kuna makundi mawili hasimu, moja la...
  14. E

    Kauli za wanasiasa juu ya rasimu ya pili ya katiba, "serikali tatu".

    KAULI ZA WANASIASA JUU YA RASIMU YA PILI YA KATIBA. Nimetafakari kidogo kauli za wanasiasa juu ya mapendkezo yaliyomo katika rasimu ya pili ya katiba, Nimeona ni kama vile Rasimu ina ibara moja tuu hususani juu ya Muundo wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ambayo inatoa mapendekezo...
  15. E

    Sijashiriki kurekodi mkanda wa video unaomwonesha ndg Lwakatare

    hivi unapajua nyumbani kwake kumbe?
  16. E

    Tofauti ya rais Kikwete na kamati kuu ya CCM, ni kiburi au?

    TOFAUTI YA KIKWETE NA KAMATI KUU YA CCM, NI KIBURI AU. Kutokana na uamuzi wa Kikwete wa kuendelea na baraza la mawaziri lenye Mizigo kwa mujibu wa wajumbe wa kamati kuu ya CCM kuwa ipo mizigo ndani ya baraza la mawaziri, hapo ndio imeonekana wazi tofauti kati ya CCM na kamati kuu ya Chama...
  17. E

    Masonga, sikumkimbia John Heche huko Njombe

    Tupo kazini bado makamanda, hahahah kazi kweli
  18. E

    Hofu ya Kikwete na visasi na matamanio ya uongozi 2015

    HOFU YA KIKWETE NA VISASI NA MATAMANIO YA UONGOZI 2015. Kauli ya Kikwete katika maadhimisho ya miaka hamsini na mbili ya uhuru wa Tanganyika jijini dare s salaam tarehe 9 disemba 2013, akiwataka watu wanaotaka nafasi za uongozi nchini kuiga mfano wa mwasisi wa taifa la afrika kusini hayati...
  19. E

    Mwamsiku, Wajinga ndio waliwao. (Deni la CHADEMA la P. A Mbeya)

    Mkuu watnzania sasa wanahitaji mtekeleze ahadi mlizoahidi 2010, na sio nini chadema wanafanya kikubwa waambie wenzio kuwa ahadi zenu ndio kitanzi kwa wana mbaya wenu sio chadema ila ni ahadi zenu hivyo kupambana na chadema hakutasaidia kutoka hapo mlipo sasa. Jaribu tuu kuwa mstararabu na...
Back
Top Bottom