Naomba kuwasaidia BAVICHA, ni kwa dhati ya moyo wangu

Mimi nadhani kuna haja ya wachumi kufanya utafiti kuhusu athari za kiuchumi. Kupandisha mishahara kwa kuwalazimisha sekta binafsi without creating the right business environment ni bure. Owner wa daladala atawalipa kweli kila dereva na konda 200,000 tshs each?! Kwa hela na faida gani anayopata? Result itakuwa nini? Kupandisha nauli! So we can expect massive inflation. Mimi siyo mchumi lakini naomba msaada wa mchumi ambaye pia anaweza kueleza zaidi kuhusu free market economy and how market forces work. Let us be realistic badala ya kushabikia! The business community in Tanzania is primarily made up of middle and small scale businesses who have to make a profit! By saying that they should dole out more money in salary it will result in people being fired and the remaining working 2 or 3 times more! Mi naona serikali hii imepanic kwa sababu ya kutishiwa mgomo, but they just looking at a very short term solution. Kama ni hivyo wapunguze corporate tax from 30% to 20% kama Uganda na Kenya! Also provide more conducive environment for businesses siyo TRA wanakuja wanataka hongo, customs wanataka kitu kidogo! Come on! Pushing responsibility to the private sector is not the solution!

Shonza,nadhani mbumbumbu,juha,zuzu,zombie,ni wewe,unaumia sana kutoka chadema,nilishakushauri kwanini ujiumize hivyo?tubu urudi kundini,utapata presha kwasababu ya chuki zako kwa mbowe na slaa,kilichokufanya uandike yote hayo ni chuki uliyonayo kwa niliowataja,hasa baada ya kuona bado wanakubalika sana kwa wanachama wa chadema na kwa watanzania,mlipokuwa mnaisaliti chadema mlikuwa na mategemeo makubwa sana huko ccm,hamkujua kama ccm wanawatumia tu kama kondomu,matokeo yake umeyaona na sasa unajuta na kuumia sana,narudia tena kukushauri,tubu urudi kundini,ndoto zako kisiasa ziko chadema na siyo ccm,acha usaliti.
 
Shonza,nadhani mbumbumbu,juha,zuzu,zombie,ni wewe,unaumia sana kutoka chadema,nilishakushauri kwanini ujiumize hivyo?tubu urudi kundini,utapata presha kwasababu ya chuki zako kwa mbowe na slaa,kilichokufanya uandike yote hayo ni chuki uliyonayo kwa niliowataja,hasa baada ya kuona bado wanakubalika sana kwa wanachama wa chadema na kwa watanzania,mlipokuwa mnaisaliti chadema mlikuwa na mategemeo makubwa sana huko ccm,hamkujua kama ccm wanawatumia tu kama kondomu,matokeo yake umeyaona na sasa unajuta na kuumia sana,narudia tena kukushauri,tubu urudi kundini,ndoto zako kisiasa ziko chadema na siyo ccm,acha usaliti
 
Mimi ni Mzalendo wa kweli wa nchi yangu, ninapoona watu wa Taifa hili wanapotea moyo wangu hupatwa na simanzi isiyomithilika, hasa watu wenyewe wakiwa vijana ambao ndio nguvukazi na tegemeo la Taifa. Vijana wa Chadema wamepotea na kwa vile ni vijana wa Taifa hili napaswa kuwarudisha katika njia sahihi, waweze kuwa na mawazo ya sawasawa.

Na ni kwa sababu hiyo tu ndio maana naona ninao wajibu wa kimsingi wa kuwasaidia vijana wenzangu, huenda Mwenyezimungu Mlezi akawaongoza katika HAKI.

Katika psychiatry kuna ugonjwa unaitwa MANIA. Mtu akisoma michango yako yote tangu ufukuzwe CHADEMA atajua tu kuna kitu akilini mwako hakiko sawa dadangu. Najua unaweza kukataa maana denial pia ni dalili ya ugonjwa huo - ila kama kuna ndugu yako au hata huyo mchumba wako namshauri auvae ujasiri akupeleke ukapate counseling. Hivi huwa unakumbuka ulivyokuwa unaapa kuwa hutatoka CHADEMA? Ngoja nisubiri na Zitto kama naye ataisema CHADEMA kama wewe wakati aliutangazia umma CHADEMA kuna damu yake na atakuwa wa mwisho kutoka.
 
Ndio tatizo la mtu ambaye hajui wajibu yake, si ajabu kule kwa Maintarahamwe wameshambwaga hivyo nafasi ya kuwasaidia MACCM hanayo tena ndio maana anabwabwaja kutaka kuisaidia CHADEMA. sasa unataka kuisadia CHADEMA wewe ukiwa kama nani? Utasaidiaje chama ambacho ni chama pinzani na chama chako? Watu wengine kwa kubwabwaja bhanaaa Dah!!!!


Hivi unalipwa mshahara kwajili ya kuisadia Chadema? hauko sahihi kichwani kwako aiseee, sijui hata mwajiri wako ni nani huyo. yaani maandishi haya yangetosha kabisa kukunyima mshahara labda kama uliwekwa hapo ana akina fulani, too low
 
Ni vipi mtu aliye peponi atamani jehanamu..? ...
Labda ameona upo peponi lakini huna raha na kila mara unaitajataja jehanamu. Matazamio yetu ni kwamba waliopo peponi wametulia, wala hawana taabu ya kutoa ushauri, wao kazi yao imeshaisha, jambo ambalo linaonekana tofauti na hali yako, haidhihirishi uwepo wako peponi!
 
Kwanza kudharau mzee yeyote ni laana. Umemuona mapigo saba tu tena ukaamua hata kupotosha jina ili kudhalilisha utu wa mzee huyu!. Fine,lakin unapofanya siasa uheshimu utu wa mtu. Mwaka 2005 nilishiriki harambee ya kumchangia kikwete pesa ya kuchukua fomu. Watu wa mwanza tukamchukulia fomu mh kikwete, je tulikuwa wajinga? Tulikuwa mafala? Laana iwe juu yako ewe kabinti usie na haya
 
Chadema wakishinda kiti cha Urais,,, Nitakuwa wa kwanza kutoka CCM!!!

Mbona kiapo kilaini sana hiki. Kwani kutoka CCM kuna tatizo gani? Ungesema ungemlala mzazi wako kama alivyowahi kusema yule katibu mwenezi wenu wa zamani aliyetoka CUF akaingia CCM (Yes Tambwe Hiza) ningekuelewa. Aliapa kwamba kuliko kwenda CCM heri amlale mamake. Haikuchukua muda mrefu akaingia CCM. Na ile laana aliyojiapiza inamatafuna mpaka leo. Amepotea ktika siasa hajulikani aliko na anafanya nini!
 
Ha ha ha ha! Eti upo peponi! Hivi kumsapoti mtu/kiongozi inahitaji umaarufu?/ kujulikana nchi nzima? Inaonekana una IQ ndogo sana july! Aliye pepon kamwe hawewezi kumwokoa aliye jehanam otherwise kuwepo kwako peponi kunakumaliza aheri urejee kule unako kuita jehenam- kajute dhambi zako zote bila shaka utafurahia na utakupenda jehanam-bila shaka UNAKUPENDA JEHANAM kuliko ulipo! Pole sanaaaa!
 
Nimetoa haya kutokana na kile alichokisema julian shonza juu ya BAVICHA na kunitaja kwa jina , usichokijuua ni sawa na usiku wa giza, Shonza usaliti wako kwa sababu tuu ya kupewa fedha na ahadi lukuki za CCM sio uhalali wa kukurupuka na kufanya propaganda za kutukana watu kwa sababu ya hila zako na CHADEMA.

Lazima utambue kuwa chadema ni taasisi isiyo fanya kazi kwa maono ya waliofukuzwa, lakini pia CHADEMA na vijana wake hatuwezi kuongozwa na mawazo ya mtu mpotofu kama wewe, naomba tuheshimiane katika hili binafsi nimekuwa nikiheshimu dhamira yako ya usaliti wa kutaka kuuza fikra za vijana kwa CCM, kwa kuwa huo ndio ulikuwa mpango wako sisi hatuko kama wewe na ndio tuliamua kukuweka pembeni ili sisi tuendelee na agenda yetu ya kuwakomboa watanzania.

Kama mkristo naamini role yako katika jamii ni kuendelee kuwafunza wenye tabia kama ya kwako ya kuendekeza njaa hadi kuamua kujiuza kuanzia kifikra na kimwili, hiyo haiwezi kuwa sera ya BAVICHA wala CHADEMA itabaki kuwa ni sera yako kwani ulijitathmini na kuona huna uwezo wa kuendesha fikra zako binfsi hadi upate m’bia wa kuendesha nae au mwekezaji wa kumkabidhi fikra zako na mwili wako.

Sisi hatuwezi kuwa na pingamizi mana hati ya fikra zako na mwili wako unazo mweneyewe na ndio mwenye kutoa idhini ya kuuza au kukopesha au kumpa mwekezaji, keep on.

Niliwahi kusema mpumbavu daima ni vigumu kijitambua na ukimlaumu mpumbavu kwa upumbavu wake huenda pia hujatambua upumbavu wake, mimi siwezi kukulaumu kwa haya ulioyafanya humu katika mtandao, kikubwa zingatia malengo yako katika kila jambo that you attempt to do.

Shonza is like u feel being again in chadema, hiyo nafasi tayari ulishaipoteza kwa kupenda vya haraka duniani, sisi tunajiamini na htushauriwi na wasaliti walioko CCM, mfanikio ya CHADEMA ndio leo yanatusukuma kuhitaji uongozi wa mbowe katika kuendeleza juhudi hizi za kuwatoa watanzania hapa walipo.

Mbowe ametutoa katika uwakilishi wa wa wabunge watano hadi 49 sasa, alkini pia chama kimejengwa kitaasisi na kimefika chini kwa wananchi huku mfumo wa mawasiliano ukiwa umeimarika zaidi.

Tumekuwa na rasirimali za kutosha hususani vifaa vya usafiri vya kuwafikia wananchi kote nchini,lakini pia idadi ya wananchama imeongezeka na kutoa uhalalai wa kushika dola na kuwakomboa watanzania haya ndio msukumo wetu kuhitaji nguzi zaidi kwa sasa ili tuweze kufikia malengo tuliojiwekea kama chama.

Mbowe ndio joshua wa taifa hili mbowe ndio nahodha wa ukombozi wa taifa hili, Mbowe ndio mti wenye matunda hivyo hatushangai wenye malengo tofauti na CHADEMA kuendelea kusakama jina la mheshimiwa mbowe.

Vijana wenzangu wa CHADEMA tusikatishwe tamaa na haya maneno ya kina shonza kwani huu ni upepo tuu wa kupita kama wao walivyopita, hatuwezi kushangaa mana walitukana sana hata wakiwa ndani kwa sababu ya kutaka fedha tuwasamehe bure ipo siku watamrudia mwenyezi mungu na kutubu haya wayafanyayo sasa kama tutaelekeza nguvu zetu katika kuwaombea kwa Mungu.
 
Umeandika mengi lakini nimeishia hapa: vijana wa chadema hamuwezi kuwa na mawazo ya kujiuza kifikra hadi kimwili kama shonza, is it?
Mkuu tema mate chini. kelele zote cha ngono kuwa ngazi ya kupata nyadhifa ndani ndani ya CHADEMA, wewe umefumba macho nakuziba masikio ili usizione wala kusisikia? Akina Joyce Mukya, binti Wasira na wengine wengi wamepelekea ndoa za watu kuingia madoa, yote hayo huyaoni? Niishie hapo ili niendelee kusoma post yako nitarudi tena.
 
“...sisi wakristo tunajua kuwa mussa alianzisha safari ya waisrael kwenda kanaani, ila hakuwafikisha. Kina mtei (edwin), kimesera (victor), bob makani na wengineo walianzisha safari ya kwenda ikulu, ila hawakutufikisha. Mbowe ni sawa na joshua atakayetufikisha ikulu..”




maneno hayo kwenye aya niliyoinukuu hapo juu si yangu bali ni ya emmanuelmasonga mwenyekiti wa bavicha kutoka wilaya ya njombe akimsifu mbowe mbele ya wazee wanaojiita “..wazee wa chadema..” jijini dar essalaam.


labda niseme ni kujitia upofu, labda niseme mapenzi yaliyopitiliza na wakati mwingine napata dhana kuwa ni umbumbumbu, na si kingine chochote kinachowafanya vijana wa bavicha kutojitathimini,kutojiuliza na kutofikiri sawasawa kabla ya kutoa kauli, hasa kauli hiyo ikitolewa kwenye kongamano la watu.


yapo mambo sisi vijana tukiyafanya, yanatudhalilisha, yanatufedhehesha mbele za watu na mbaya zaidi yanatushusha hadhi na kututukanisha.labda ni kukosa ufahamu lakini nashawishika kuamini ni ujuha tu ndio unaweza kumfanya kijana ambaye anatokwa na jasho mwili mzima kwa jua kali la mchana na yeye anaaminishwa kuwa huo ni usiku wa manane wenye baridi kali na anapaswa kujifunika.,nae kama zuzu akubali aseme ndiomzee ni usiku wa giza totoro..


siamini kuwa bavicha wanaamini kuwa chadema yao inaimarika.,siamini hivyo na nina uhakika kuwa hata heche haamini hivyo labda ndio maana hajasema yeye kwa niaba ya vijana, kamtafuta mmoja wa wasiojielewa atoe salamu za bavicha kuwa sasa chadema inaelekea ikulu...vichekesho.


ni chadema ipi..? Hii ambayo inaongozwa kifalme, kibabe na kibedui..? Taasisi ambayo wachache tu ndio wana haki na wengine ni wasindikizaji.? Chadema yenye mwenyekiti asiye na makamu, yenye katibu mkuu asiye na naibu, yenye mwenyekiti wa vijana asiye namakamu..? Au chadema ipi..? Waswahili wanasema kinywa chenye mapengo hakitafuni muwa.


hivi ikulu ni kariakoo sokoni, kuwa hata kwa daladala au boda boda utafika..? Nadhani wanaojiaminisha kuwa chadema ambayo viongozi wake wanajiuzulu mpaka vyombo vya habari vinapata ukakasi kuripoti matukio hayo ya kujiuzulu eti ni chadema inayoelekea ikulu..chadema ambayo ilidharau wapinzani wengine na kuwakataa leo wamerudi kuwapigia magoti waungane nao na kuwaomba msamaha kwa kauli walizozitoa mwanzo za “ hakuna ndoa ya wanaume wengi” eti ndio chadema imara inayojiandaa kwenda ikulu..?


chadema yenye wazee kutoka kigoma waliotembea kuja kumchukulia fomu mbowe,ambao sio kina mtei, sio kimesera bali athuman mzigo al-maarufu“..mapindo saba..” hajulikani kokote kwenye siasa za tanzania, mganga njaa ambae eti leo thamani yake ni kubwa kuliko waasisi ambao bado wako hai akina mtei..,eti yeye ndio aamue nani anafaa kuendesha chama hicho...off all people mapindo saba..??? Kweli chadema kweli..,mapindo saba ndio awe muamuzi wa chadema inayoelekea ikulu..seriously..???


ikiwa mapindo saba ndio mzee wa chadema leo na masonga ndio kijana wa chadema leo basi yatosha kusema kuwa chadema ya leo iko tayari kuelekea kuzimu sio ikulu...

Naomba kuwasaidia vijana wa bavicha kufikiri
.
kwanza mimi sio mwenyekiti wa wilaya, ila ni mkoa.usichokijuua ni sawa na usiku wa giza, shonza usaliti wako kwa sababu tuu ya kupewa fedha na ahadi lukuki za ccm sio uhalali wa kukurupuka na kufanya propaganda za kutukana watu kwa sababu ya hila zako na chadema.
Lazima utambue kuwa chadema ni taasisi isiyo fanya kazi kwa maono ya waliofukuzwa, lakini pia chadema na vijana wake hatuwezi kuongozwa na mawazo ya mtu mpotofu kama wewe, naomba tuheshimiane katika hili binafsi nimekuwa nikiheshimu dhamira yako ya usaliti wa kutaka kuuza fikra za vijana kwa ccm, kwa kuwa huo ndio ulikuwa mpango wako sisi hatuko kama wewe na ndio tuliamua kukuweka pembeni ili sisi tuendelee na agenda yetu ya kuwakomboa watanzania. Kama mkristo naamini role yako katika jamii ni kuendelee kuwafunza wenye tabia kama ya kwako ya kuendekeza njaa hadi kuamua kujiuza kuanzia kifikra na kimwili, hiyo haiwezi kuwa sera ya bavicha wala chadema itabaki kuwa ni sera yako kwani ulijitathmini na kuona huna uwezo wa kuendesha fikra zako binfsi hadi upate m’bia wa kuendesha nae au mwekezaji wa kumkabidhi fikra zako na mwili wako. Sisi hatuwezi kuwa na pingamizi mana hati ya fikra zako na mwili wako unazo mweneyewe na ndio mwenye kutoa idhini ya kuuza au kukopesha au kumpa mwekezaji, keep on.
Niliwahi kusema mpumbavu daima ni vigumu kijitambua na ukimlaumu mpumbavu kwa upumbavu wake huenda pia hujatambua upumbavu wake, mimi siwezi kukulaumu kwa haya ulioyafanya humu katika mtandao, kikubwa zingatia malengo yako katika kila jambo that you attempt to do.
Shonza is like u feel being again in chadema, hiyo nafasi tayari ulishaipoteza kwa kupenda vya haraka duniani, sisi tunajiamini na htushauriwi na wasaliti walioko ccm, mfanikio ya chadema ndio leo yanatusukuma kuhitaji uongozi wa mbowe katika kuendeleza juhudi hizi za kuwatoa watanzania hapa walipo. Mbowe ametutoa katika uwakilishi wa wa wabunge watano hadi 49 sasa, alkini pia chama kimejengwa kitaasisi na kimefika chini kwa wananchi huku mfumo wa mawasiliano ukiwa umeimarika zaidi. Tumekuwa na rasirimali za kutosha hususani vifaa vya usafiri vya kuwafikia wananchi kote nchini,lakini pia idadi ya wananchama imeongezeka na kutoa uhalalai wa kushika dola na kuwakomboa watanzania haya ndio msukumo wetu kuhitaji nguzi zaidi kwa sasa ili tuweze kufikia malengo tuliojiwekea kama chama. Mbowe ndio joshua wa taifa hili mbowe ndio nahodha wa ukombozi wa taifa hili, mbowe ndio mti wenye matunda hivyo hatushangai wenye malengo tofauti na chadema kuendelea kusakama jina la mheshimiwa mbowe.vijana wenzangu wa chadema tusikatishwe tamaa na haya maneno ya kina shonza kwani huu ni upepo tuu wa kupita kama wao walivyopita, hatuwezi kushangaa mana walitukana sana hata wakiwa ndani kwa sababu ya kutaka fedha tuwasamehe bure ipo siku watamrudia mwenyezi mungu na kutubu haya wayafanyayo sasa kama tutaelekeza nguvu zetu katika kuwaombea kwa mungu.
 
Mimi tangu siku nyingi najua kwamba CCM na vibaraka wao ni wa-pumba-vu, ila nadhani nili-under-estimate u-pumba-vu wao !

Yaani wanafanya propaganda za kitoto kweli !. Kitendo cha wao kufikiri kwamba wataweza kushawishi waTz kwamba Mbowe na CDM si lolote si chochote ndio hapo naona u-pumba-vu wao ulivyo wa viwango vya juu....Angalau wangefanya basi propaganda zilizoenda shule kigodo, angalau at least zingeweza zika-appeal kwa watu lakini hawa wapuuzi CCM na vibaraka waliowanunua akina Shoza, Mchange et al, pamoja na buku 7 wenzao hapa JF wanafanya vipropaganda vya kitoto kabisa !.

Frankly kinachonishangaza ni wao kuji-convince kwamba watapata watu wa kawaamini kumbe ndio wanadhihirisha upuuzi wao....

Wapuuzi kweli hawa CCM !. Uzuri ni kwamba mwisho wao umekaribia sana !


Nimetoa haya kutokana na kile alichokisema julian shonza juu ya bavicha na kunitaja kwa jina , usichokijuua ni sawa na usiku wa giza, shonza usaliti wako kwa sababu tuu ya kupewa fedha na ahadi lukuki za ccm sio uhalali wa kukurupuka na kufanya propaganda za kutukana watu kwa sababu ya hila zako na chadema.
Lazima utambue kuwa chadema ni taasisi isiyo fanya kazi kwa maono ya waliofukuzwa, lakini pia chadema na vijana wake hatuwezi kuongozwa na mawazo ya mtu mpotofu kama wewe, naomba tuheshimiane katika hili binafsi nimekuwa nikiheshimu dhamira yako ya usaliti wa kutaka kuuza fikra za vijana kwa ccm, kwa kuwa huo ndio ulikuwa mpango wako sisi hatuko kama wewe na ndio tuliamua kukuweka pembeni ili sisi tuendelee na agenda yetu ya kuwakomboa watanzania. Kama mkristo naamini role yako katika jamii ni kuendelee kuwafunza wenye tabia kama ya kwako ya kuendekeza njaa hadi kuamua kujiuza kuanzia kifikra na kimwili, hiyo haiwezi kuwa sera ya bavicha wala chadema itabaki kuwa ni sera yako kwani ulijitathmini na kuona huna uwezo wa kuendesha fikra zako binfsi hadi upate m'bia wa kuendesha nae au mwekezaji wa kumkabidhi fikra zako na mwili wako. Sisi hatuwezi kuwa na pingamizi mana hati ya fikra zako na mwili wako unazo mweneyewe na ndio mwenye kutoa idhini ya kuuza au kukopesha au kumpa mwekezaji, keep on.
Niliwahi kusema mpumbavu daima ni vigumu kijitambua na ukimlaumu mpumbavu kwa upumbavu wake huenda pia hujatambua upumbavu wake, mimi siwezi kukulaumu kwa haya ulioyafanya humu katika mtandao, kikubwa zingatia malengo yako katika kila jambo that you attempt to do.
Shonza is like u feel being again in chadema, hiyo nafasi tayari ulishaipoteza kwa kupenda vya haraka duniani, sisi tunajiamini na htushauriwi na wasaliti walioko ccm, mfanikio ya chadema ndio leo yanatusukuma kuhitaji uongozi wa mbowe katika kuendeleza juhudi hizi za kuwatoa watanzania hapa walipo. Mbowe ametutoa katika uwakilishi wa wa wabunge watano hadi 49 sasa, alkini pia chama kimejengwa kitaasisi na kimefika chini kwa wananchi huku mfumo wa mawasiliano ukiwa umeimarika zaidi. Tumekuwa na rasirimali za kutosha hususani vifaa vya usafiri vya kuwafikia wananchi kote nchini,lakini pia idadi ya wananchama imeongezeka na kutoa uhalalai wa kushika dola na kuwakomboa watanzania haya ndio msukumo wetu kuhitaji nguzi zaidi kwa sasa ili tuweze kufikia malengo tuliojiwekea kama chama. Mbowe ndio joshua wa taifa hili mbowe ndio nahodha wa ukombozi wa taifa hili, mbowe ndio mti wenye matunda hivyo hatushangai wenye malengo tofauti na chadema kuendelea kusakama jina la mheshimiwa mbowe.vijana wenzangu wa chadema tusikatishwe tamaa na haya maneno ya kina shonza kwani huu ni upepo tuu wa kupita kama wao walivyopita, hatuwezi kushangaa mana walitukana sana hata wakiwa ndani kwa sababu ya kutaka fedha tuwasamehe bure ipo siku watamrudia mwenyezi mungu na kutubu haya wayafanyayo sasa kama tutaelekeza nguvu zetu katika kuwaombea kwa mungu.
 
Back
Top Bottom