Search results

  1. njofu

    Dkt. Tulia Ackson: Mshahara wa Mbunge ni Tsh milioni 4.6 na sio vinginevyo

    Wanatuaminisha kuwa Makati bu na madreva hawatakiwi kupata ajira ya kudumu pia hawatakiwi kulipa kodi.?
  2. njofu

    LNG plant in Lindi

    Kumbukumbu zangu Kuna wakati waziri mkuu mstaafu alienda au Korea au Japan kukagua meli ya kutafuta mafuta sasa ule mpango ulifikia wapi.
  3. njofu

    TANESCO kujenga bwawa la kufua umeme mto Malagarasi litakaogharimu bilioni 330 kwa ufadhili wa Benki ya Afrika

    Wa jifunze kwanza mradi ya nyumbamungu kilimanjaro, Hale panga I uchafuguzi wa mazingira hata kuhamishwa watu ihefu je huko mlagarasi wamejizatiti na hayo.
  4. njofu

    Mwenyekiti wa Kijiji ampa raia adhabu kwa saa mbili hadi ujauzito kuharibika

    Kitu mhimu huyo mama apelekwe kwa wataalam wa uzazi isije kwenda hospital ya kilema ikawa kisingizio. Tusihukumu bila kujua chanzo. Je m/kilikuwa mwenyewe au Kuna ushabiki wa Aina fulani
  5. njofu

    Mwenyekiti wa Kijiji ampa raia adhabu kwa saa mbili hadi ujauzito kuharibika

    Nipe pole Sana mhusika. Nashauri huyu Dada apelekwe kwa wataalam WA uzazi waangalie vizurimasaibu aliyoipata 2. Mwenyekiti huyo nimesikia amekomesha uvunjifu wa Amani toka alipochaguliwa hivyo wasiompenda Wana tumia mwanya huo. 3. Kwa kuwa vyombo vya usalama vipo tuvipe muda hatimaye sheria...
  6. njofu

    Msaada wa nauli: Nimeitwa kwenye usail Bodi ya Kahawa Tanzania(TCB), Moshi-Kilimanjaro

    Weka barua inayokuita kwa usajili kuaminisha wajumbe
  7. njofu

    Mradi wa umeme Stieglers, kweli Magufuli kaona mbali

    Nakubaliana na swala ta utunzaji wa mazingira utakuwa na changa moto,katika uzalishaji wa umeme.mfano ukiangalia uzalishaji wa umeme kwa kutuma vyanzo vya maji ulipungu sana.ndo maana uzalishaji umeme kwa kutumia makapuni ya nje ambayo yanatugharimu mabilion ya fedha yakawepo,sababu ni maji...
  8. njofu

    Sumatra waziangalie upya hizi nauli elekezi walizozitoa

    Sumatra mbona hawatangazi bei za mabasi ya Dar kwenda babati kupitiakondoa less than 700 km.wasafiri wa babati kwenda dar.hawapitii ARA.badala take kuna mabasi yasiyopungua5 kila siku bbt kwenda DAR.kupitia kondoa Dodoma DAR.SUMATRA Tupeni bei elekezi
  9. njofu

    SUMATRA: Zipi ni Nauli Sahihi na ZIpi si Sahihi na Je Mmechukua Hatua Gani?

    Bado nauli ya kutoka babati kwenda dar kupitia kondoa ni sawa na ile ya babati kwenda dar kupitia singida.wakati kuna zidio la km.165.jamani angalie hilo.sumatra mpo?
  10. njofu

    Wajerumani Walificha Mali Nyingi Kwenye Ardhi ya Tanzania

    Msituni wa nou ulioko mpakani mwa mbulu na babati kijiji cha erri kuna mashimo hayo ya wajerumani katika kitongoji kinachopakana na kijiji cha merr.kazi kwenu wa tafiti.kwa u sahihi zaidi tafutamimi Sent using Jamii Forums mobile app
  11. njofu

    Naomba kujua tofauti ya Hotel,Hostel,Motel,Guest House,Rest House,Inn,Resort,Lodge...

    Lodge iko au shambani mbugani kando ya msituni ikitoa huduma za malazi na mahitaji mhimu kwa wageni wafikao hapo Sent using Jamii Forums mobile app
  12. njofu

    Manispaa ya Ubungo yaingia mkataba wa Tsh 6.2bn na TBA kujenga makao makuu yake

    Watume majengo ya nayo acha na Wizarani wakati wanahama dodoma.fedha hizo zielekezwe mahali pengine
  13. njofu

    Barabara zilizofunguliwa na Makamu wa Rais mjini Babati mitaro yabomoka

    Tembea Mrombo street utaona kwa macho yako.
  14. njofu

    Barabara zilizofunguliwa na Makamu wa Rais mjini Babati mitaro yabomoka

    Mvua kidogo za vuli zilizonyesha mjini babati nakutirisha maji kidogo katika mfereji iliziduliwa hivi majuzi na Mheshimiwa Makamu wa Raisi wa Tanzania,zimebomoa baadhi ya mitaro. Sisi wakazi tumejuuliza kama mvua kidogo zimeleta Matatizo hayo.je mvua za masika zitatufanyaje?.Wahandisi na...
  15. njofu

    Pauline Gekul, Mbunge wa Babati Mjini(CHADEMA) ajiuzulu na kujivua uanachama, ajiunga na CCM

    Wale nyota zao zinafifia mwanga inabidi waondoke.wangesubiri maamuzi ya wa piga kura wao kuliko kukosa yote.sio lazima wala haipo katika mikakati ya chama kila ukitoka lazima urudi katika ngazi uliyotokea. nashauri arudi kuwa mwana ccm tumpime akifaa baada ya miaka 5 hadi 10 ndo aombe uongozi...
  16. njofu

    Chumba cha kupanga Arusha

    Piga 0784395969 utapata kule olasite chumba self 50000 Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom