Mimi nafikiri sayansi ni mabishano ya hoja ktk kutafuta ukweli. Sasa mtu akija na hoja za kupotosha ajibiwe kisayansi. Apewe hayo matokeo ya utafiti yanayoharalisha mawazo yako
There are many questions science has yet to answer.
1. How do you synchronize and justify the the role of big business companies who own big shares in Whuan lab where the virus broke out and the same time have big shares in pharmaceutical co which make the vaccines?
2. How do you entrust the...
We ndio sasa unataka kuwatisha watu zaidi ya kuwafariji. Unataka kumaanisha kuwa tayari ameletwa hapo mjengoni na harufu ya kifo? Ni nani humo bungeni aliyekwisha kuwa na dead cells? Ili ikiwezekana awahishwe India??!!
Mbona ninachosikia kwenye video ni kuomba radhi kwa jinsi jambo lilivyo turn out kisiasa na kudhalilisha. Yeye anasema alienda kuomba msaada maana muda mrefu alikuwa akifuatilia. Hivyo hakusema alikuwa anadanganya. Ila anaona jambo lilivyosambazwa mitandaoni na kuzagaa inamkosesha amani. Sasa...
Samahani nilikuwa sijafuatilia issue hii. Naomba kueleweshwa kwa nini walikuwa wameondolewa kazini in the first place? Ni nani aliyefanya uamuzi huo? Ikiwa ulikuwa uamuzi wa kizembe ulioleta disturbance na kuigharimu serkali basi Mhe: Rais amwajibishe mhusika.
Maombi yanamgusa Mungu hutanguliwa na toba ya kweli.
2 NYAKATI 7:14
*[[2Ch 7:14]] KJV* If my people, which are called by my name, shall humble themselves, and pray, and seek my face, and turn from their wicked ways; then will I hear from heaven, and will forgive their sin, and will heal their...
Unajua hawa wajanja multi national companies wanapiga mahesabu na ku negotiate wakiwa na view ya mbali sana. Je hiyo migodi bado ina dhahabu kiasi gani? Je wanaweza kuuza shares zao bado na hata kubadili kampuni? Je uendeshaji utakuwa monitored na managed vzr ili wasihujumu migodi au uzalishaji...
The killers who aimed Lisa intended to kill the driver also. Now that Lisa survived and the driver who might have seen them, for sure they have panicked. That is why if care isn't taken they might silence the driver.
Ninalijiuliza mara baada ya kifo cha Habyarimana RPF walikamata Kigali. Machafuko ya intetahamwe Kigali yalidumu muda mfupi lakini watu waliendelea kufa na kutiririshwa ktk mto Kagera. Nani aliendelea kuua watu baada ya RPF kushika nchi?
Hivi wauaji wa Chacha Wangwe serkali yenye dhamana ya ulinzi wa raia ilishindwa kuwapata wauaji? Mbona hapa jamvini baadhi ya wachangiaji wanaonekana kuwajua vyema. Si hao ndio wangeisaidia polisi ili haki itendeke? Au vyombo vya Dola viliamua kupotezea? Na hapo iitakuwa sahihi wakati damu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.