Search results

  1. M

    Tume ya taifa ya uchaguzi, fafanua hili jambo kimantiki ( logically)

    Inapotokea mpigakura ameenda kituoni kuangalia jina lake ubaoni, na akalikosa lakini na siku ya kupiga kura akakaamua kwenda kituoni kupiga kura bado jina lake likakosekana kwenye orodha ya msimamizi wa kituo, pakatokea mabishano mpigakura akaamua kutumia simu yake ya mkononi akapiga "*152*00#...
  2. M

    Ni kweli MCT mlikutana na Kinana mkapewa maelekezo ya namna ya kuandaa Mdahalo?

    Jana jioni kwenywe taarifa ya habari itv nilimsikia makamba akitoa utetezi wa chama chake juu ya tuhuma za kutokuitikia wito wa kushiriki mdaharo ulioandaliwa na baraza la habari mct, katika majibu yake aidha kwa makusudi au kwa kujisahau alisema kuwawao walisha pelaka barua ya kukubali...
  3. M

    Jana sikutoka ndani nilihofia mtikisko wa nchi

    Kuna mahawara wa prof uchwara. Mwizi, muongo, arrogant waliuaminisha ulimwengu kuwa prof. Wao hawezi kujiuzulu kwa kuwa akijizulu nchi itatikisika, umeme utakatika nchi nzima. Kwa hiyo basi nikijua kuwa kuna siku tu atajiuzuru niliiandaa familia yangu kisaikolojia kuwa endapo huyo dalali wa...
  4. M

    Kipindi cha malumbano ya hoja, ITV kila alhamisi usiku kimeanza kupoteza mwelekeo

    kwa aliyeshuhudia kipindi cha malumbano ya hoja cha ITV jana usiku atakubaliana nami ya kuwa kipindi hiki kimeanza kupoteza mwelekeo , baada ya mtangazaji muongozaji Henry Mabumo a.k.a "usalama wa taifa"kushindwa kuficha hisia za ushabiki usio natija kwa magamba, akionekana kuzima nz kuzuia hoja...
  5. M

    UKAWA wafuta propaganda chafu ya CCM ya udini na ukanda dhidi ya upinzani

    Wanajamvi ccm wanaeneza propaganda ya hatari kwa mustakabari wa taifa letu ya udini na ukanada dhidi ya upinzani. Hii ni kwa sabababu CCM walishapoteza misingi imara iliyojengwa na waasisi wa taifa hili ya umoja na mshikamano wa kitaifa. Kwa sasa CCM sera yao ni ufisadi hawajali chochote...
  6. M

    sababu za kuvunjika bunge la katiba hizi hapa

    Niwape angalizo wajumbe wa bunge maalumu la katiba ya kuwa, rasimu hii ya katiba pamoja na kupendekeza serikali tatu, imeandikwa kwa mpanglio na muundo wa serikali tatu ina ibara nyingi zinazobeba misingi ya serikali tatu, ukiondoa ibara ambazo ni mambbo ya jumla jumla ambayo yanaweza...
  7. M

    Angalizo! Kukataa muundo wa serikali tatu ni swa na kulivunja bunge la katiba mapema automatically

    Niwape angalizo wajumbe wa bunge maalumu la katiba ya kuwa, rasimu hii ya katiba pamoja na kupendekeza serikali tatu, imeandikwa kwa mpanglio na muundo wa serikali tatu ina ibara nyingi zinazobeba misingi ya serikali tatu, ukiondoa ibara ambazo ni mambbo ya jumla jumla ambayo yanaweza...
  8. M

    Kwa haya ya Arusha, kwanini Rwanda, Uganda na Kongo wasikatae ushauri wa "JK"

    Wanajamvi Hivi kwa matukio yaliyotokea ya milipuko ya mabomu yanayohusiswa na jeshi la polisi huko Arusha jmosi, ukizingatia jumuiya ya kimataifa inajua kinachoendelea, Je rais JK bado anao uwezo wa kusuluhisha migogoro ya nchi jirani? Na je bado ana moral authoriy kuwashauri wanyaRwanda...
  9. M

    Huu ndio udhaifu wa mfumo wa bunge na serikali yake

    WANABODI! nimekuwa nafuatilia vikao vya bunge linaloendelea sasa baadhi ya michango ya wabunge wetu inatia aibu kusikiliza.mfano anasimama mbunnge anahoji ni kwanini serikali haijajenga choo katika kituo kidogo cha polisi,au shule haina chaki za kufundishia, kwahiyo polisi wetu wanajisaidia...
  10. M

    Counter attack ya ccm dhidi ya cdm

    Kwa kuwa ccm iko taabani kisiasa kilichobaki ni heri tukose wote au tufe wote, kwa jinsi nilivyo wastudy ccm, baaada ya kufanya mauaji kadha wa kadha na kuwateka na kuwaumiza wale wanaoonekana kuwapinga kwa maslahi yao kisiasa, mbinu walioamua kuitumia ni kutengeneza video fake kuwasingizia...
Back
Top Bottom