Search results

  1. K

    Tanzania to become eighth largest Uranium producer in the world

    Mungu wangu mimi kama mwana mazingira article hii imekuja muda muafaka natafuta lugha rahisi ili kuweka minofu kwenye hii article hila watanzania tutalia na kusaga meno pindi huu uchimbaji utakapoanza kwani uenda sisi tusipate madhara tajwa hapo juu bali wajukuu zetu watatulaani milele kwa...
  2. K

    Relevant writing sample ndo nini wandugu?

    That is why ur great Thinkers! nakubaliana na ushauri wako na nashukuru kwa insight! y
  3. K

    Relevant writing sample ndo nini wandugu?

    Je waweza kusaidia?
  4. K

    Relevant writing sample ndo nini wandugu?

    Unaweza dadavua mkuu!
  5. K

    Relevant writing sample ndo nini wandugu?

    Asante mkuu nimekusoma
  6. K

    Relevant writing sample ndo nini wandugu?

    Wanajamvi vp? naomba msaada kuna kazi zimetangazwa ila moja kati ya viambatanisho ni hii relevant writing sample na kwa kweli sina uhakika kama nimeilewa vizuri hivyo naomba ufafanuzi kwa anayejua ili niweze kusotea hiyo kazi. God Bless.
  7. K

    jf imenitoa, shukrani

    All the best mzee
  8. K

    msaada wa sheria ya kazi

    Asante mkuu kwa taarifa pc yangu haina pdf najaribu kuinstall ili nisome pia kama wadau hapo juu walivyonipa link. God bless wakuu
  9. K

    msaada wa sheria ya kazi

    Nashukuru sana ndugu kwa kujali nitaendelea kusubiri
  10. K

    msaada wa sheria ya kazi

    wanajamvi tunaomba msaada. Kuna jamaa yangu anahisi kudhurumiwa kwani aliingia mkataba na kampuni fulani ya utafiti akapewa mkataba wa miezi sita akawaanalipwa mshahara na posho ya kuwa nje ya kituo maana kazi ilikuwa ya utafiti. Mshahara wake pia alikuwa akikatwa Nssf na mkataba ulipoisha...
  11. K

    Thank u God.

    Wish u nice cel. May da Almighty add more 100 yrs! Happy birthday dear
  12. K

    BMU's

    nashukuru ndugu God bless you.
  13. K

    BMU's

    asante sana ndugu huo ni msaada mkubwa God bless.
  14. K

    BMU's

    Hello wandugu ninaomba msaada wa kunijuza zilipo sehemu hizi. Ningependa anayejua wapi zilipo hizi BMU's ( Beach Management Units) au watu wengine huziita Landing Site. Sehemu hizi zipo ziwa victoria nachotakakujua ni je zipo visiwani au pembezoni mwa ziwa?Sehemu hizo ni kwa upande wa...
Back
Top Bottom