msaada wa sheria ya kazi

kajjansi

Member
Jul 13, 2012
15
1
wanajamvi tunaomba msaada. Kuna jamaa yangu anahisi kudhurumiwa kwani aliingia mkataba na kampuni fulani ya utafiti akapewa mkataba wa miezi sita akawaanalipwa mshahara na posho ya kuwa nje ya kituo maana kazi ilikuwa ya utafiti. Mshahara wake pia alikuwa akikatwa Nssf na mkataba ulipoisha ajalipwa kitu chochote zaidi ya kuambiwa ASANTE KWA KAZI NZURI! je ni sawa au alipaswa kulipwa termination beneft?
Msaada wandugu!
 
Ninachoweza kusaidia mkuu ni kukupa kopi ya sheria ya kazi, download kisha isome labda waweza pata mwanga
 
Pole sana mkuu nimejaribu kuatachi lile faili lakini limegoma, pia nimejaribu kulikopi bado linasumbua, may be next time
 
google employer-employee act in Tanzania au check wizara ya kazi au tanzania website zipo. Tumia pc siyo simu
 
EMPLOYMENT AND LABOUR RELATION ACTs sectn 4,ukisoma pamoja na sectn 61 ya Labour Inst Act zinajarbu kuchambua kwa kina mwajiriwa ni nan ksheria...uyo jamaa apo juu anaangukia kwenye A Typical contract of employment...cuz mikataba yao ya kaz inakua very flexibo thus hawapat izo terminatn benefts kama wale wengne..waloajriwa ful
 
Asante mkuu kwa taarifa pc yangu haina pdf najaribu kuinstall ili nisome pia kama wadau hapo juu walivyonipa link. God bless wakuu
 
Back
Top Bottom