Search results

  1. M

    Sasa ndio naanza kumfahamu mheshimiwa Mbatia

    CCM ipo katika hatua za mwisho za urushaji mateke ya kukata roho,dalili ni nyingi,Push ups katika mikutano ya Siasa,Tafiti tata za Twawezwa na REJECT,iga iga ya kauli mbiu,ahadi danganya toto zisizohesabika wala kutekelezeka,Kuandaa matamasha badala ya mikutano,nunua nunua ya Viongozi wasaliti...
  2. M

    Tumeshamjua ni nani ana kampeni za kistaarabu! Anapata kura zetu

    CCM ipo katika hatua za mwisho za urushaji mateke ya kukata roho,dalili ni nyingi,Push ups katika mikutano ya Siasa,Tafiti tata za Twawezwa na REJECT,iga iga ya kauli mbiu,ahadi danganya toto zisizohesabika wala kutekelezeka,Kuandaa matamasha badala ya mikutano,nunua nunua ya Viongozi wasaliti...
  3. M

    Bendera za CCM zaiteka Arusha

    CCM ipo katika hatua za mwisho za urushaji mateke ya kukata roho,dalili ni nyingi,Push ups katika mikutano ya Siasa,Tafiti tata za Twawezwa na REJECT,iga iga ya kauli mbiu,ahadi danganya toto zisizohesabika wala kutekelezeka,Kuandaa matamasha badala ya mikutano,nunua nunua ya Viongozi wasaliti...
  4. M

    Mashine za kutotolesha mayai (Incubators): Upatikanaji wake, aina zake, matumizi na ushauri

    mimi ninayo inatumia mafuta ya taa ni nzur sana wanaziuza pale msasan check mi on 0715226198
  5. M

    Live updates 02/02/2014:yanga vs mbeya city

    nitakubali matokeo yeyote kwan MCC watoto Wa home na wazee wa uturuki ndo habari ya mujin!
  6. M

    natafuta line ya tigopesa

    habari za Leo wajasiriamali wenzangu,kwa yeyote aliye na line ya Tigopesa anaiuza anitafute kwa no.0715226198..
  7. M

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Nipo kaka sema majukumu meng
  8. M

    Mayai ya Kuku Chotara yanauzwa

    nahitaj hayo mayai nina machine ya incubator naishi maeneo ya buza, nichek on 0715226198
  9. M

    Kwikwi (Hiccups): Chanzo na Tiba (matibabu) yake

    wadau habari za leo,naomba kupata ushaur wenu ni siku ya tatu sasa Mzee wangu anasumbuliwa na kwikwi,si mchana wala ucku yaan ni balaa,je kuna tiba mbadala yeyote?coz tumempeleka Ocean Road amepewa dawa lakin hatuon mabadiliko yeyote.msaada wapendwa!
  10. M

    Jinsi ya kuacha kuvuta sigara (A Guide to Quitting Smoking)

    Wadau wa jf naomba mnisaidie,nimekuwa navuta sigara kwa muda mrefu,kila nikijaribu kupunguza au kuacha kabisa nashindwa kuacha kabisa!nitumie nini niondokane na utumwa huo..nisaidien ushaur pliz!!
  11. M

    Kwa wale wenye matatizo ya kutopata watoto/uzazi

    wanajamvi nimeoa mwaka 2009 mpaka leo hatujajaliwa kupata mtoto,ctumekwenda hospital zaid ya tano tumefanya vipimo wote tuko sawa,nikaamua kutafuta mitishamba mke wangu ameinywa mpaka namuonea huruma,maelewano hayapo baina ya mke wangu na ndugu zangu wanataka wanitafutie binti nizae naye!siko...
  12. M

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Ndugu wanajf mimi ni mgeni humu ndan lakin nimeona mwanga tulivu kwani nafuga kuku wa kienyej kupitia uzi huu nimejifunza jins ya kuboresha mradi wangu,soon ntakuwa na mashine ya kutotoleshea vifaranga,naomba ushaur zaid ili nijikwamue kimaisha..thanx an God bless u all!
  13. M

    Tatizo la kuwashwa mwili mara kwa mara- Fahamu chanzo, pata ushauri na tiba ya tatizo hili

    Hilo nalo neno,sijatumia dawa za minyoo muda mrefu,inaweza pía ikachangia..thx
  14. M

    Tatizo la kuwashwa mwili mara kwa mara- Fahamu chanzo, pata ushauri na tiba ya tatizo hili

    Wanajamvi nawashukuru sana kwa ushauri,nitajitahd kuzingatia ushaur wenu,thx 4 takin ur tym kunishauri...peace kwenu wote!
  15. M

    Tatizo la kuwashwa mwili mara kwa mara- Fahamu chanzo, pata ushauri na tiba ya tatizo hili

    Asante sana kaka,ngoja nipite phamacy nitafute hizo sabun,hali si nzur nakuosa aman kabisa inapofika wakati wa kuoga!
  16. M

    Tatizo la kuwashwa mwili mara kwa mara- Fahamu chanzo, pata ushauri na tiba ya tatizo hili

    Wanajamvi nisaidien nitumie nini kwani mara nimalizapo kuoga mwili wangu wote huniwasha sana hunichukua zaid ya dakika 15 kujikuna,tatizo hili hunipata zaidi wakati wa asubuhi!jaman nishaurin napata taabu sn!.
  17. M

    anywa sumu baada ya kufeli form four

    kufeli shule sio kufeli maisha..r.i.p ashura
  18. M

    Anguko la CCM 2015 ni lazima: Mbunge wa CUF

    CCM imepoteza muelekeo wana tapa tapa!
  19. M

    Ratiba kamili ya Uchaguzi na Operesheni M4C ndani ya CHADEMA

    kila la kheri makamanda,ukomboz unakuja!!
  20. M

    Watoto wa Slaa ndani ya bunge

    Safi sn,makamanda wa kesho!
Back
Top Bottom