Search results

  1. KATUMBACHAKO

    Wananchi tuwe makini sana wakati huu

    Maneno matamu yasiyotekelezeka! kipi ambacho hakikuwawahi kuzungumzwa na .... leo ndio wana jipya? tafakari chukua hatua..hawa watu hawafai..
  2. KATUMBACHAKO

    Naombeni ufafanuzi jamani kuhusu mifuko ya jamii

    Wadau Habari za Usiku... Tukiachana na siasa za nchi yetu ambazo this tyme ndio gumzo la mjini, naomba niulize maswali yadfuatayo ...maana yatanisaidia sana kuhusu hii mifuko ya Jamii. Kama hujui naomba uwe mpole...usijibu/kuchangia (i) Mifuko ya jamii Tanzania kwa mfano LAPF, PSPF, ...
  3. KATUMBACHAKO

    Vijana tusipoangalia tutatumika kama pampasi

    Wanasiasa ni watu wenye akili za kisisasa! Vijana wenzangu, mwaka huu tusipoangalia tutatumika kama pampasi na kutupwa. Vijana naomba tuthamini mchango wetu kwa ujenzi wa taifa, kwani taifa likiharibika sisi ndio tutaumia. Tuna miaka mingi ya kuishi kuliko wazee wanaotaka kututumia kutokana na...
  4. KATUMBACHAKO

    Ushauri kwa lowasa .... Chagiua moja ... Ccm au badili chama

    Kwako mh. Edward n lowassa... Ushauri wangu kwako, watanzania wengi wamechoshwa na serikali dhalimu ya ccm. Hata wakati rais aliyepo madarakani anagombea hali ilikuwa nzuri kwake kama ilivyo sasa kwako..... Lakini baada ya kuingia ikulu hali ya watanzania ilibadilika na kuwa mbaya... Kwa ufupi...
  5. KATUMBACHAKO

    Invitation to the 49 mat/chahita national mathematics seminar

    Barua ya chahita annual meeting 2014 hii hapa!
  6. KATUMBACHAKO

    Songea girls - joining instruction form five 2014

    Songea Girls Joining Instruction 2017
  7. KATUMBACHAKO

    Barclays Premier League Table 2013/14

    View Table POS LP CLUB P W D L...
  8. KATUMBACHAKO

    NAWEZA KUMSHTAKI DED [mkurugenzi] KWA HILI?

    Habari wana Jf! Mimi ni mtumishi wa serikali ambaye nimeajiriwa miaka 3 iliyopita! Toka mwaka jana/oktoba, faili langu ktk ofisi za DED (MKURUGENZI) halionekana! Nimerudia mara 3 lakini nazungushwa tu! Sijafanya kosa lolote la kikazi/kimaadili! Naombeni msaada wenu maana mm nawaza kumshtaki...
  9. KATUMBACHAKO

    NMB Songea Hali Mbaya leo,Lissu alikumbwa na hali hiyo

    Katika kile kinachoonekana benki zetu zinaendesha mambo bila mibadala,leo katika benk ya nmb Songea hakujakuwa na huduma kuanzia saa 2 asubuhi mpaka naondoka hapo saa 8.30!mchana Tatizo wao wanadai mtandao,lakini ATM zote zilikuwa zinaendelea kwa kusuasua! Sijaelewa vizuri naomba...
  10. KATUMBACHAKO

    Maoni yako muhimu katika hili

    Kushuka kiwango cha Elimu na mazingira mabovu ya Elimu,Je serikali haijui uendeshwaji wa taasisi za elimu au AKILI NDOGO kuongoza AKILI KUBWA?
  11. KATUMBACHAKO

    Msaada wana mat/chahita

    List all cosets of 4Z of Z
Back
Top Bottom