Search results

  1. version001

    Nahitaji gypsum boards PC 90 Tanga

    Nahitaji gypsum boards PC 90 Tanga bei ni 10,000..bei ni ndogo ila kama itakuwa ndani ya uwezo pesa ipo kwenye Shati
  2. version001

    Msaada: lenovo y50_70 touch

    Habari wadau...natafuta housing ya computer aina ya Lenovo y50_70 touch..mfuniko wa nyuma na sehemu ya keyboard..au Kama scraper ipo yenye spare parts tuongee biashara pesa ya mfuko wa shati, 0717179040
  3. version001

    Nyumba yamakazi ipo sokoni.

    Nyumba kwa ajili ya Makazi ya familia ipo sokoni, inapatikana maeneno ya Chanika buyuni. Kiwanja kimepimwa Na kina ukubwa Wa Sqm 660 document zote zipo Ina jumla ya vyumba vitatu, viwili Ni self contained Pia kuna servant quarter ambayo ni self-contained Pia kuna choo Na sink la nje. Fence...
  4. version001

    Ushauri na ujenzi wa ofisi na maduka ya kisasa

    Karibu kwa wataalamu wa ujenzi wa Ofisi Na MADUKA yakisasa mjini, tunafanya Kazi Na clients kuanzia design stages to implementation, tunatoa huduma nyingine Kama Arch. visualisation Na product visualisation... Karibu Sana tujenge nchi Pamoja... Call au whatsapp 0787864381 kwa ufafanuzi
  5. version001

    ukuda... @TCU.

    kama na ww upo kwenye hili..((allocated by tcu+course wasnt your choice+haina bumu+ni ngumu..am mean tango+ada kubwa(especialy tuliotupwa IFM frm st.kayumba)+home hakieleweki+kuchoka kitaa+____#))fanya tukutane v V HAPAAAA!
Back
Top Bottom