Tafuta mwanasheria akusaidie peleka maombi mahakamani au ustawi wa jamii kuhusu matunzo ya mtoto mahakama ndio inaweza kutoa maamuzi mtoto akae wapi kulingana na interest za mtoto mwenyewe
Nenda mahakani ukaombe samansi aitwe na mahakama aje kutoa ushaidi akikataa kuitikia wito wa mahakama anaweza akakamatwe kwa kuidharau mahakama Fanya hivyo itakusaidia
Lakini Mimi naona makubaliano mengine ni zaidi ya pesa ambapo nchi inaweza kunafaika zaidi kwa muda mrefu zaidi kama vile 50 kwa 50 na serikali kumiliki hisa ya asilimia 16 Mimi naona si haba ungawa zitto anabeza kila kitu
Kuna watu wanawaza kwa kutumia makalio kwa hip kama ni muyahudi tufanyaje SASA pamoja na ushawishi wake tuendelee kuibiwa acha ujinga wewe rais ni taasisi na yeye ana washauri wake tumuache rais afanye kazi tusibeze juhudi za serikali
Tulitegemea lisu wakili msomi angelisaidia taifa tufanye nini ili kujiepusha na uporaji wa raslimali za nchi yeye tena anaungana na waporaji kweli rais magufuli tunampongeza sana kwa uamuzi alioufanya tunaomba watanzania tuungane kwa hili
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.