Search results

  1. Mchumia juani

    'ndoa' Za Vyuoni Zina Athari Zipi Kwa Mwanachuo?

    “………..nikiwa nimejipumzisha chumbani kwangu,chumba ambacho kipo mahali ambapo kwa lugha ya wenyewe tuyaita ‘Hostel’,ghafla mlango ulifunguliwa kwa kasi ya ajabu,akaingia rafiki yangu ,kabla sijauliza kulikoni alianza kufoka na machozi yakimtoka.”Najuta sana kumpenda ‘R’,Mapenzi yetu yalikuwa...
  2. Mchumia juani

    Kitendawili Prof. Sarungi,igogo Na Fedha Za Tacaids Na Makao Makuu Ya Wilaya Rorya

    KITENDAWILI CHA PROF. SARUNGI,IGOGO NA FEDHA ZA TACAIDS NA MAKAO MAKUU YA WILAYA YA RORYA Habarini za Asubuhi wana JF,Katika kuendeleza harakati za kupambana na ufisadi leo nataka niwang’ate sikio jinsi ambavyo viongozi wetu wanawatumia watu wengine kutunza fedha zao na wao kuonekana kuwa...
  3. Mchumia juani

    Kithuku Umesema Kweli, lakini.....

    Umesema mambo ya kweli mifumo yetu iliyopo haitoi nafasi ya kuuelimisha umma wa watanzania ili kujikinga na maradhi, bahati mbaya hata sisi wahudumu wa afya ambao tunaelimishwa kwa fedha za hawahawa watanzania hatujengewi misingi ya kutoa elimu ya afya kwa umma nitakupa sababu chache tu kwa nini...
  4. Mchumia juani

    Leteni Maswali ya Kiafya Niwasaidie

    Napenda kuwa julisha wana JF kuwa nakaribisheni maswali mafupi mafupi yanayohusu tatizo lolote la kiafya.Maswali yote yatajibiwa mara moja kwa wiki iwe ni tatizo ulilonalo wewe binafsi au ndugu,jirani,rafiki au mtu yeyote unayemfahamu,Kumbuka yawe mafupi ili watu wengi zaidi wapate nafasi ya...
Back
Top Bottom