Search results

  1. Mchumia juani

    Kuzama chumvini kuna madhara kiafya?

    Knowledge yangu kuhusu jinsi gani ya kuingia chumvini ni ndogo sana ila madhara yake ndo nayajua
  2. Mchumia juani

    Leteni Maswali ya Kiafya Niwasaidie

    SPIDER MAN Swali lako ni gumu sana kulijibu lakini niseme tu kwamba majungu,Umbea na mitizamo hasi vinaathiriwa na mambo mengi sana kama ifuatavyo: 1.Watu wanaokuzunguka-Kama watu wanaokuzunguka kila siku ni watua ambao umbea au majungu kwa ni hali ya kawaida wanaweza kuku infect na wewe kuwa...
  3. Mchumia juani

    Leteni Maswali ya Kiafya Niwasaidie

    Kamanda Kuhusu jamaa yako anayeumwa miguu naona Madaktari wenzangu wamekujibu na majibu yao yote ni sahihi.Mimi naongezea tu kwamba Magonjwa ambayo commonly yanakuwa na presentation kama hiyo yaani Peripheral Neuropathy kwa Tanzania ni Upungufu wa Vitamini B12 hasa kutokana na unywaji pombe...
  4. Mchumia juani

    Leteni Maswali ya Kiafya Niwasaidie

    Pole Mzalendo Halisi, Mimi siku zoote naamini kuwa iwapo mama watoto wako atakuwa anaenda nje ya relationship kuna kitu ambacho hujafanikiwa kumpa na anajaribu kukitafuta nje-ni imani yangu tu ambayo si lazima na wewe uamini hivyo. Naamini hivyo kwa sababu kama mkeo unaweza kumtosheleza kwa...
  5. Mchumia juani

    Kitendawili Prof. Sarungi,igogo Na Fedha Za Tacaids Na Makao Makuu Ya Wilaya Rorya

    Kwa Mzalendo Halisi Shukrani kwa Maoni yako,sisi wana Rorya naamini ni wastaarabu sana,Ila kuna baadhi ya Mafisadi wachache kama akina So What ambao wana kiburi cha kujivunia mali za baba zao na kuanza kututukania Umasikini,ana uhakika gani kuwa mimi ni Masikini? Hili linadhihirisha wazi...
  6. Mchumia juani

    Kitendawili Prof. Sarungi,igogo Na Fedha Za Tacaids Na Makao Makuu Ya Wilaya Rorya

    hakika wote mnaobishana humu so what, nyererist na mchumia juani. nasikitika sana mbona mmeruka hoja kuu? hiyo KOSHIKA women group ilala ndiyo ina network kubwa Dar na UTEGI? nadhani kuna logic huu wivu mnaousema sio jibu. kama ni wivu wa kweli sio shida lakini kwanini waibe wakati kila...
  7. Mchumia juani

  8. Mchumia juani

    Kitendawili Prof. Sarungi,igogo Na Fedha Za Tacaids Na Makao Makuu Ya Wilaya Rorya

    Asante Mzalendo Halisi kwa Kugundua kuwa kuna watu nimewagusa moja kwa moja katika ishu hii na sasa wanatapatapa kwa kunitukana kwa hoja yangu.Kama wanaujua UKWELI KWA NINI WASIJIBU HOJA KWA HOJA MPAKA WATOE KASHFA NA MATUSI. Mfano mzuri ni pale ambapo jamaa anamtaja Dr.Makoye kuwa ndugu wa...
  9. Mchumia juani

  10. Mchumia juani

    Kitendawili Prof. Sarungi,igogo Na Fedha Za Tacaids Na Makao Makuu Ya Wilaya Rorya

    Nimekustahi hapo juu kidogo Kama sio udaku huo ni jungu ambalo unatakiwa kufanyiwa uhakiki wa shehena ya akili yako iliyokuleta hapa, tunaelewana! Hapo, bado tu, ni majungu! Pamoja na haya ya humu na "Where we Dare Talk Openly" bado siamini kwamba hiyo uliyokuja nayo ni...
  11. Mchumia juani

    'ndoa' Za Vyuoni Zina Athari Zipi Kwa Mwanachuo?

    “………..nikiwa nimejipumzisha chumbani kwangu,chumba ambacho kipo mahali ambapo kwa lugha ya wenyewe tuyaita ‘Hostel’,ghafla mlango ulifunguliwa kwa kasi ya ajabu,akaingia rafiki yangu ,kabla sijauliza kulikoni alianza kufoka na machozi yakimtoka.”Najuta sana kumpenda ‘R’,Mapenzi yetu yalikuwa...
  12. Mchumia juani

    Iodine Deficiency

    Tusiendeleze mjadala huu rafiki yangu i think nimeelewa mawazo yako na nayaheshimu,muhimu tambua kwamba maelezo mtu anayotoa hapa anavolunteer ujuzi na time hivyo yakiwa mafupi sana usilaumu na yakiwa marefu usichukie.Japo kuwa si dhambi ukiwa Makenika,ukawa Daktari au hata ukawa Mwanasheria...
  13. Mchumia juani

    Kitendawili Prof. Sarungi,igogo Na Fedha Za Tacaids Na Makao Makuu Ya Wilaya Rorya

    KITENDAWILI CHA PROF. SARUNGI,IGOGO NA FEDHA ZA TACAIDS NA MAKAO MAKUU YA WILAYA YA RORYA Habarini za Asubuhi wana JF,Katika kuendeleza harakati za kupambana na ufisadi leo nataka niwang’ate sikio jinsi ambavyo viongozi wetu wanawatumia watu wengine kutunza fedha zao na wao kuonekana kuwa...
  14. Mchumia juani

    Kuzama chumvini kuna madhara kiafya?

    sHUKRANI kAKA Mafish,Jambo la msingi jitahidi kutafuta Mouth wash dukani na utafute na hiyo Nystatin oral suspension utumie kwa Muda.Wakati mwingine ni jambo la kisaikolojia kwani uchafu ulioko Chumvini una feel ama uko kinywani kwa hiyo tuliza akili,uone kama ajali tu na usione kinyaa,nakutakia...
  15. Mchumia juani

    Kithuku Umesema Kweli, lakini.....

    Umesema mambo ya kweli mifumo yetu iliyopo haitoi nafasi ya kuuelimisha umma wa watanzania ili kujikinga na maradhi, bahati mbaya hata sisi wahudumu wa afya ambao tunaelimishwa kwa fedha za hawahawa watanzania hatujengewi misingi ya kutoa elimu ya afya kwa umma nitakupa sababu chache tu kwa nini...
  16. Mchumia juani

    Iodine Deficiency

    Umesema mambo ya kweli mifumo yetu iliyopo haitoi nafasi ya kuuelimisha umma wa watanzania ili kujikinga na maradhi,bahati mbaya hata sisi wahudumu wa afya ambao tunaelimishwa kwa fedha za hawahawa watanzania hatujengewi misingi ya kutoa elimu ya afya kwa umma nitakupa sababu chache tu kwa nini...
  17. Mchumia juani

    Ugonjwa wa Kisukari

    Ni ugonjwa unaosababishwa na upungufu wa insulin mwilini au Insulin kushindwa kufanya kazi ipasavyo kutokana ra Receptor kuwa insensitive kwa insulini Aina TYPE 1-Au insulin dependent hutokana na kuharibika kwa beta cells katika Islets of Langhans ambayo ndiyo inayotengeneza insulin hivyo...
  18. Mchumia juani

    Kuzama chumvini kuna madhara kiafya?

    Hhuko unakoita Chumvini ni sehemu yenye wadudu wengi sana kuanzia fungus, Herpes, bacteria n.k hivyo iwapo una hali mbaya mdomoni unaweza kuwa umepata fungus au vimelea wengine kutoka huko na kwa njia ya fecal oral route namaanisha baada ya kuingia chumvini ukashindwa kujisafisha vizuri mikono...
  19. Mchumia juani

Back
Top Bottom