Search results

  1. R

    Waraka: Serikali yatangaza kima cha chini mishahara ya kisekta

    Intelligency at work. Hapa GREAT THINKERS MMELIWA. Huyu jamaa, lengo lake kujua majina halisi ya watu na amefanikiwa kwa kiasi kikubwa, kama hatujasikia m1 m1 mmeng'olewa kucha na meno bila ganzi, sijui.
  2. R

    Samaki azamisha boti ya uvuvi

    Hiyo imetokea huko Panama. Ni baada ya wavuvi kumnasa samaki huyo kwa kutumia mtego wao/ndoano, akaanza kutaka kujinasua na ndipo alipoizamisha boti hiyo.
  3. R

    Hatimaye serikali yaamua kunyoosha mikono... Gesi sasa kubaki Mtwara!

    Siku mikataba ya gesi ikiwekwa wazi, mi ndo ntaamini kuwa serikali imesalim amri. Tofauti na hapo tunajidanganya.
  4. R

    Nyerere aliufahamu ubinafsi na uchoyo wa kusini {Mtwara na Lindi}

    Lkn ukiacha mambo mengine, hawa jamaa wa kusini, 'they are so selfish' sijawahi kuona. Halafu wana mwingiliano wa kidugu na wazanzibari. Ndo maana hata tabia zao hazina tofauti sana.
  5. R

    Tanzania sasa tuwe na siku tatu za kupumzika katika wiki moja

    Only in Tanzania. Nchi ya majuha hii!
  6. R

    ...Treni ya Mwakyembe Yajeruh

    Kwa nn useme treni ya Mwakyembe? Watanzania tumekuwa na mambo ya ajabu kweli, mara samaki wa magufuli.
  7. R

    Deogratius Kisandu wa BAVICHA ajiuzulu uanachama CHADEMA

    Mimi kwa mawazo yangu, hii ni njia nyingine ya kutafuta umaarufu (cheap popularity) na kusumbuliwa na njaa. Huyu jamaa ana uhakika kabisa kwamba kitendo chake cha kutangaza hvo atafuatwa na magamba na kutumiwa. Na kitendo chake cha kutangaza kugombea urais ilikuwa ni janja yake ili akishajiondoa...
  8. R

    CCM- Inahitaji Naibu Katibu mkuu Mwingine

    Aliyemteua ndo anapenda uozo kama huo. Kwa sababu naye ni mtu wa mipasho, kwa hyo kwa akili yake fupi anadhani kumteua Mwigulu atasaidia chama kwa matusi yake. Mm naombea huyu jamaa aendelee kuwepo kwny nafasi hyo ili iturahisishie safari ya kuelekea ukombozi na uhuru wa kweli.
  9. R

    Aliyekuwa DIWANI wa CHADEMA ahamia CCM... asema LEMA alikuwa anamtaka KIMAPENZI

    Huyo upeo wake wa kufikiri ni mdogo sana. Hata kama kweli alitongozwa, hiyo sio habari ya kusema mbele ya UMMA, anajidhalilisha mwenyewe. Suala la mwanamke kutongozwa au mwanaume kutongoza sio la ajabu kiasi hicho, kwani yeye ndo wa kwanza kutongozwa dunia hii? Lakini kwa akili yake na upeo...
  10. R

    Mwigulu Nchemba karopoka tena

    Hayo maoni hayafanani kabisa na ya mtu anayejigamba kuwa yy ni mchumi, aliyepata first class. Kweli elimu inaweza isikusaidie katika maisha!
  11. R

    'Uchochezi' wa CHADEMA umefikia kubaya...

    We Uda umesahau CDM pia wamechochea mashekh wamepinga uteuzi wa Kadhi! Tehe tehe tehe!
  12. R

    Hawa Ndio Mawaziri wa JK; Waziri Mwinyi asema kwa sasa Madaktari bingwa si muhimu!!!

    Huyu nae si ni daktari, halafu hajui hata madaktari bingwa wanasoma kwa muda gani. Kazi kweli kweli
  13. R

    Noti aina mbili kwenye mzunguko

    Kama sikosei karibu mwaka sasa Tanzania katika mzunguko kuna noti za aina mbili tofauti. Noti hizo ni Tshs. 500, 1,000, 2,000, 5,000 na 10,000 mpya na za zamani zote zinaendele kutumika, na hadi sasa sijasikia tamko la serikali kuhusu mwisho wa kutumika zile za zamani. Cha kushangaza zaidi ni...
  14. R

    Mheshimiwa Lukuvi unaweza kweli kuvaa viatu vya Tundu Lissu?

    Mi nafikiri huyo Lukuvi akisikia yamesemwa mabaya ya CCM mwili unasisimka, matokeo yake anasimama kubwabwaja bila kujenga hoja na kuongea kwa kufuata vifungu vya kanuni, wenzake makini kama Lissu wanaongea kwa vifungu.
  15. R

    Kauli ya Mh. Aden Rage dhidi ya Mh. Msigwa si ya kiungwana!

    Wajameni tumsamehe tu bure, mtu si raia, aliwahi kufungwa na kutolewa kwa msamaha wenye utata, anatishia watu kwa bastola, unategemea ataishi vpi nchi ya watu bila kujipendekeza.
  16. R

    Polisi yazuia Operation Sangara ya CHADEMA Morogoro kisa hakuna Askari

    Sababu zilizotolewa na jeshi la polisi kuzuia mkutano wa CHADEMA huko Morogoro, je zina mashiko? Sababu zenyewe ni kwamba; walivyotaka kufanyia Moro mjini wakaambiwa CCM pia wana mkutano, wakaomba kwenda kufanyia Mvomero, wakaambiwa haiwezekani kwa sababu kuna mgomo wa walimu. Sasa kama kuna...
  17. R

    Hii kauli ya Membe ameniacha hoi

    Ndugu zangu, mkisikia tume inaundwa kuchunguza jambo, mjue hapo tayari tumeibiwa. Kwa nn haikuundwa tume walipouwawa watalii, na baada ya siku mbili watuhumiwa wamekamatwa, lakini imeundwa tume 'Fasta fasta' tukio la kutekwa na kuteswa Dr. Uli
  18. R

    Walio nyuma ya mgomo wa madaktari ni hawa...

    Kwa maoni yangu, wahusika wakuu katika kuchochea mgomo wa madaktari nchini ni wanasiasa (WABUNGE). Nasema ni wabunge kutokana na urafi na ubinafsi wao unaotokana na kujiongezea mishahara na posho kila mara huku watumishi wa umma ambao ndio wanafanya kazi kubwa katika ujenzi wa taifa wakiambulia...
  19. R

    Gerald Hando muombe msamaha Dr. Ulimboka

    Hata kama una mtazamo tofauti, kama kweli una roho ya kibinadamu hauwezi kushabikia au kufurahia unyama aliofanyiwa Dr. Uli. Na kwanini ukimbilie kuwalaumu madaktari wakati kuna anaye sababisha tufikie huko kwenye migomo ya mara kwa mara (Serikali)?
  20. R

    A failed assassination plot against Dr. Ulimboka...

    Nina wasi wasi na usalama wake hadi sasa, kwa sababu wasije wakammalizia.
Back
Top Bottom