Search results

  1. D

    Ninakipaji cha kutunga mashairi kwa ajiri ya sherehe mbalimbali kwa wanaohitaji.

    naomba uniambie nikupe mfano wa shairi linalohusu nini,maana nikitunga mwenyewe bila wew kusema unaweza kudhani kwamba nimekopi sehemu fulani,sasa niambie wew unataka hizo beti mbili nizungumzie mada gani?ili wana JF wapate burudani na vionjo vyangu.
  2. D

    Ninakipaji cha kutunga mashairi kwa ajiri ya sherehe mbalimbali kwa wanaohitaji.

    Bei sio kubwa beti moja ni tsh 1500/= tu,sasa kama unataka shairi la beti tano mahesabu yake ni 1500 mara 5,ukihitaji beti kumi 1500 mara kumi..ukilipa bei hiyo inamaana nitakuelekeza jins ya kuliimba hilo shairi bure,pia nitakutumia shairi popote ulipo bure.
  3. D

    Naomba ushauri naumia sana mwenzenu

    zamaladi sikuwahi kumtafuta,nilikuwa namtumia Martin Kadinda yule mwanamitindo ni rafik yngu tulisoma darasa moja yeye anajuana na wasanii wengi but naye alichemka kuniunganishia...but umenipa wazo zuri nitamtafuta zamaladi.
  4. D

    Naomba ushauri naumia sana mwenzenu

    Nataka kujiajiri lakin sijui pakuanzia..Ninakipaji cha kutunga HADITHI za MOVIE na MASHAIRI kazi hii nimeanza tangu 2006,nilishawahi kufanya kazi na magazeti ya NIPASHE,MAJIRA na MWANANCHI baadhi ya HADITHI zangu ni HARUFU YA MAUTI,MTEJA ZUMBUKUKU,VUVUZELA,NILIMUUA MAMA,MALAIKA MWENYE...
  5. D

    Ninakipaji cha kutunga mashairi kwa ajiri ya sherehe mbalimbali kwa wanaohitaji.

    Sherehe hazinogi bila burudani,na burudani haikamiliki bila mashairi mwananaa..kama unahitaj shairi kwa ajiri ya sherehe kama kipaimara,komunio ya kwanza,ndoa,birthday,ubatizo etc unaweza kunitafuta..utanipigia simu utaniambia unataka beti ngapi,nani nimtaje ktk shairi hilo na neno gani...
  6. D

    natafuta mwalim wa sek tubadilshane kituo cha kaz mim nipo manispaa ya shinyanga mjin

    mbona unaguna kwani shinyanga mjin kunanin?mbona pazur tu mim shida yngu nataka nisogee karibu na home
  7. D

    natafuta mwalim wa sek tubadilshane kituo cha kaz mim nipo manispaa ya shinyanga mjin

    kwa yeyote atakayeguswa anipigie simu au anitumie mesej ktk simu msiniandikie PM.
  8. D

    natafuta mwalim wa sek tubadilshane kituo cha kaz mim nipo manispaa ya shinyanga mjin

    kwa walimu wa sekondar mkoa wa morogoro au pwani anayetaka kuja shinyanga mjini tuwasiliane kwa 0719177540 au 0762489789
  9. D

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    mim ni mwalim wa sek wa shinyanga manispaa..natafuta mwalimu wa morogoro au pwan ili kubadilishana naye kituo.0719177540
  10. D

    Ajira za walimu sekondari 2013

    Kama post wanazingua sijui pesa za kujikimu itakuwaje,na mshahara je?huo ndio mwanzo wa chuk kati ya walimu na serikal.
  11. D

    Walimu wapya wanaosubiria ajira eti wanataka kuandamana!

    mbinu za kisomi mfano mnaweza kwenda ktk media like magazeti,redio,television etc tumieni media hizo kuihoj serikali kwa sababu kwa sasa hamna wa kumuuliza isitoshe hata serikal ilitumia media kutoa ahad ya ajira kwenu mkijitahid suala hilo likawa hot ktk media mtafanikiwa mapema sana na ujumbe...
  12. D

    Natafuta mchumba/mume wa kuanza naye maisha ya ndoa

    kuwa USA sio kuwa na hela kaka,inawezekana alienda kufanya kaz za ndan sasa yamemshinda anatafuta mbinu za kurudi..mtu mwenye pesa zake hawez kutafuta mume online,vilevile inawezekana anatuzuga tu tuponae hapahapa bongo ila ni njama za kutafuta pesa ukimkubalia atakuomba umchangie nauli na...
  13. D

    Natafuta mchumba/mume wa kuanza naye maisha ya ndoa

    Haiwezekan unamiaka 28 then upo USA alaf haujaolewa lazima kunasababu maalumu umetuficha...kama sio hivyo basi kuna kitu cha siri unataka kuwafanyia watakaokukubali maana mapenz ya online wachache sana wanakuwa wakwel
  14. D

    Je; Una True Story Inayoweza Kutengenezewa Movie?

    Mim ni mtunz wa stor magazetin..nimetunga true story kibao ili niwauzie bongo Movie,tatizo lao wanakuambia andika lete tusome alaf tutaelewana..ukithubutu kuandika na kuwapelekea wanaiba idea yako then wanasema stori mbaya na baada ya muda wanaanza kuitumia bila wew kujua,so nawashaur kabla...
  15. D

    Ajira za walimu 2011-2013

    ajira za kimasikini? Unamaana gani..ajira gani ni za kitajiri?usiwe na fikira potofu za kukatisha tamaa wenzako mshahara haukup utajir bali malengo,matumiz na kujituma wewe kaa acha wenzako wakafanye kweli
  16. D

    Natamani sana kumuona kijana roma bungeni!

    ROMA ana revolutionary ideas kwa sababu amesoma UDSM..wote tuliosoma UDSM ndivyo tulivyo laiti kama asingepitia pale asingepata ujasir huo....Revolution forever!
  17. D

    Natamani sana kumuona kijana roma bungeni!

    ROMA ana revolutionary ideas kwa sababu amesoma UDSM..wote tuliosoma UDSM ndivyo tulivyo laiti kama asingepitia pale asingepata ujasir huo....Revolution forever!
  18. D

    Natafuta kinyozi wa saloon

    Awe kijana miaka 18-26 ajue kunyoa vizuri,kuweka wave,superblack,magic etc.Saloon ipo TEMEKE karibu na TAZARA nipigie au tuma sms namba 0683425636 au 0719177540
  19. D

    Wanaohitaji mwalimu

    Naomba mnisaidie job vacancy nimemaliza degree ya kwanza B.A with Education 2012 University of Dar es salaam basic subjects are History and Political science&Public Administration..naweza kuwa mwalimu wa Civics,History and General studies kwa O-level na A-Level pia naweza kuwa...
Back
Top Bottom