Search results

  1. Kaka Mpendwa

    Ukweli Kuhusu Idadi ya watu 3.9B kuangalia msiba wa Rais Dkt. Magufuli

    Una hoja nzuri. Lakini uko nje ya uzi....
  2. Kaka Mpendwa

    Ukweli Kuhusu Idadi ya watu 3.9B kuangalia msiba wa Rais Dkt. Magufuli

    Kwa kweli, mambo ya takwimu yanahitaji umakini mkubwa sana. Karibu ndugu Invigilator Themagufulianz kuona chanzo cha mtoa takwimu IROKOS @ King Kong III
  3. Kaka Mpendwa

    Ukweli Kuhusu Idadi ya watu 3.9B kuangalia msiba wa Rais Dkt. Magufuli

    Uko sahihi. kwa hoja zako. Tujifunze kutoa data zinazothibitika ndugu Pslmp
  4. Kaka Mpendwa

    Ukweli Kuhusu Idadi ya watu 3.9B kuangalia msiba wa Rais Dkt. Magufuli

    Nafikiri kuacha habari ambazo vyanzo vyake haviaminiki sio vyema. Unaweza ukaona hata Gazeti la Mwananchi limenukuu kauli ya Waziri Mkuu. Kwa hiyo ilikuwa na fact checking, wala hakuna mashindano
  5. Kaka Mpendwa

    Ukweli Kuhusu Idadi ya watu 3.9B kuangalia msiba wa Rais Dkt. Magufuli

    Inaonekana idadi ya watu waliotazama tukio la msiba wa Dr. Magufuli kwa dunia nzima limetolewa kupitia ukurasa wa Twitter hapa Mtu aliyetamka au kuandika hizo takwimu anapatikana katika ukurasa wake wa Twitter hapa https://twitter.com/SirNeoBranson Kwa uchunguzi wangu mdogo, huyu mtu...
  6. Kaka Mpendwa

    VIDEO: Prof. Lipumba akiri kumsaidia Rais Kikwete katika Uchaguzi 2010

    Ngumu kumeza.. Na 'mikutano' mingine ambayo 'video' zake hazijapatikana ??? Hatujui mawazo haya yameingia kiasi gani mioyoni mwa watanzania!! lakini "why all this?"...
  7. Kaka Mpendwa

    Lipumba akiri kumsaidia Kikwete Uchaguzi 2010

    Srombo Angalia hapa https://www.youtube.com/watch?feature=player_embedded&v=ujwfFUUAD70
  8. Kaka Mpendwa

    VIDEO: Prof. Lipumba akiri kumsaidia Rais Kikwete katika Uchaguzi 2010

    sija-comment muda mrefu JF... But this is getting serious.... Busara inahitajika! Lipumba anatuangusha wasomi. Ooh my gosh!!!!!!!!
  9. Kaka Mpendwa

    Tofauti ya umri katika mahusiano na kwa wanandoa (mume na mke)

    Ingawa kweli umetumia lugha kali, nafikiri huo ndio ukweli. Kabla hata ya kumkubali huyo mtu ulitakiwa ufikirie umri wake. Sasa umempotezea muda (naamini hata pesa) akijpa matumaini kwamba atakuoa kumbe wewe una waza mambo ya umri. Kama unaridhika naye, olewa naye tu... (Lakini hilo swali...
  10. Kaka Mpendwa

    Mke wangu na "Mheshimiwa Mbowe!"

    Mkuu mie ningekushauri u-act kama M*kinda, endeleza bunge
  11. Kaka Mpendwa

    Tennis 2011

    Tsonga kanusurika kwa dogo wa Bulgaria Dmitrov ......7-6 6-4 6-4 7-6! outstanding
  12. Kaka Mpendwa

    Nina miaka 30 bado bikira, naomba ushauri

    Pole ya nini tena ?? Anastahili hongera. Mkuu hauna tatizo lolote, na uko vizuri tu. Fikiria mipango ya kuoa tu uwe na wako peke yako. Wapo waliokaa hadi miaka 40, wengine haoi kabisa (mapadri). Ni uamuzi tu..
  13. Kaka Mpendwa

    Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

    Umenena mazuri.... ulipotea???
  14. Kaka Mpendwa

    Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

    ni kweli.. inategemeana na wewe unavyoitafsiri RAHA. Kuna mwingine unaweza ukasema umpeleke Ngorongoro au Ngurdoto ukifikiri unampa raha,kumbe hata hajisikii. lakini ukimpeleka Kariakoo, basi atasimulia mtaa mzima.. Pesa inafanya kila kitu hilo halina ubishi, lakini linapokuja suala la RAHA...
  15. Kaka Mpendwa

    Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

    bora wewe unayeongelea katika mtazamo wa kifamilia. Nafikiri katika ule mchakato wa kuelekea kuishi pamoja, yaani kipindi cha kutongozana na kupeana mikakati.. hapo je, kama msichana akiamua kuangalia kigezo cha pesa alaumiwe,?? Mapenzi kwa ujumla wake hayaendeshwi na pesa peke yake, ni...
  16. Kaka Mpendwa

    Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

    Raha ni mtazamo binafsi...ingawa inaweza kuendana na watu wengine. lakini ni purely personal. nimetoa mfano hapo kwamba - mnaweza kukaa chini na kupiga stori -ukimuona mwenzio unasikia raha. -kutembea pamoja, kama vile kwenda beach, n.k -kulala au kula pamoja. Ikumbukwe kuwa Pesa ni...
  17. Kaka Mpendwa

    Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

    VERY TRUE.....ndo maana mie ninaona WISDOM (hekima) inabidi itumike unapofikia mahali kwa kuamua kuishi pamoja. na sababu ulizozitoa kwa upande wangu naona zinajenga hoja vizuri
Back
Top Bottom