Search results

  1. binywa

    Bleeding baada ya kujifungua kwa operation

    Hallo Wanajamvi habari za jioni. Ni matumaini yangu kuwa hamjambo na mnaendelea vema. Kuna jambo ambalo linanisumbua sana kwa sasa. Ni miezi miwili na nusu tangu mke wangu alipojifungua na amejifungua kwaa operation. Lakini tangu alipojifungua damu amekuwa aki- bleed. Wiki mbili zilizopita...
  2. binywa

    Pilipili ni mkombozi wetu wanaume

    kama dawa yenyewe ndiio hii basi afadhali niendelee kubaki na kibamia changu. nilikua nimekodoa mimacho nasoma kwa makini sana lakini nimeona kuwa hii dawa sitaiweza. Mnaoweza nawatakia kila la heri
  3. binywa

    Sipo tayari kulea mimba kabla ya ndoa

    Jamani ndugu zangu nawashukuruni nyoote kwa uhauri wenu. Wengine wameongea kwa busara zao wengine kwa jazba lakini naamini wote lengo lao lilikuwa ni moja tu, (kutoa ushauri unaojenga). Nimepitia maoni yote yaliyotolewa na nimeamua kulea mimba hiyo na ikiwezekana mwezi wa kwanza mwishoni...
  4. binywa

    Sipo tayari kulea mimba kabla ya ndoa

    Habari zenu wakuu, Leo naomba ushauri wenu. Nina mchumba wangu ambaye nimeshamlipia mahari na tayari nimemvisha ya uchumba. Jana jioni aliniambia kuwa ni mjamzito na kuwa hiyo mimba ni yangu, kwa kuwa namwamini sina tatizo na hilo. Ila tatizo langu ni kuwa kwa sasa ssipo tayari kulea mimba hapo...
  5. binywa

    Jamani natafuta chumba maeneo ya kinondoni

    Mambo vp, una kodi ya mwaka mzima? Je upo tayari kutumia choo cha kushare coz chumba kimoja ni vigumu kupata choo cha ndani km upo tayari weka namba yako au nipm namba yako tuwasiliane. Thanks
  6. binywa

    I need a civil and bulding contractor company to work with

    What is the reason behind the woman's ownership?
  7. binywa

    Unapenda kuingia kwenye Ndoa Bora?

    Pole sana brother, Pamoja na yote yaliyotokea bado naona kuna matumaini kilichopo no kutokakata tamaa kwani ukikata tamaa huwezi fika uendako. Umri sio tatizo naamini utampata aliyetulia ili uanze nae maisha. Nakutakia kila la heri brother karibu tuendelee na mchakato wa kutafuta wenzi wa...
  8. binywa

    Ushuri wenu tafadhali

    Asante ndugu yangu kwa ushauri wako nitafuatilia. Kuhusu kuongea nae nitafanya hivo kwa mara nyingine coz nimeshaongea nae kwa zaidi ya mara mbili lakini kwa kuwa wajibu wangu ni kumkumbusha nitafanya hivo tena kwa msisitizo mkubwa
  9. binywa

    Alinikataa enzi zile, nikaoa mwingine leo kaja tena yuleyul, anataka ku make love na mimi

    Hongera kwa juhudi hizo ndugu yangu. Kwa uzoefu wangu mdogo ninahisi hizo mimba alizokua anakuambia hazikuwepo ila alikuwa anataka kukuvuta karibu au alikuwa anataka kuhakikisha km unampenda.ushahidi ni mdogo kukubali kuwa mimba inaweza kutolewa ndani ya 2 weeks bili hata wewe kujua... nashauri...
  10. binywa

    Ushuri wenu tafadhali

    Naamini hii yaweza kunisaidia....... jambo ambalo nimejifunza kwa mwenzangu huyu ni kuwa anapoona tatizo kwangu badala ya kuniambia utakuta anaenda kumwambia mtu mwingine. kuna maneno ambayo ninaongea nae tu lakini nashangaa nayakuta kwa watu wengine eti alienda kuomba ushauri. Nimejaribu...
  11. binywa

    Ushuri wenu tafadhali

    najitahidi kufanya hivo lakini mwenzangu bado anaona anaibiwa....... hata hivo nakushukuru kwa ushauri huo ntaufanyia kazi
  12. binywa

    Ushuri wenu tafadhali

    thanks
  13. binywa

    Ushuri wenu tafadhali

    Asante kwa ushauri huo ndugu yangu
  14. binywa

    Ushuri wenu tafadhali

    Habari zenu ndugu zangu popote mlipo. Mimi ni mgeni ktk forum hii na nimekuwa nikivutiwa sana na hoja mbalimbali hapa jamvini. Kuna jambo nahitaji ushauri wenu. Mimi ni kijana (male)wa miaka 28 nina mchumba ambae ana miaka 22, na tumekubaliana kufunga ndoa kwani tayari nimekwisha jitambulisha...
Back
Top Bottom