Search results

  1. M

    Ndugai , wassira , lukuvi na chikawe wanatakiwa kuiga uzalendo wa jk kama wanataka kua viongozi bora

    wanajamii binafsi nimefurahishwa na uamuzi uliofanywa na mh rais kikwete juu ya hli suala la katiba, japo mh rais ame2mia muda mwingi kumsema lissu lakn amejali maslahi ya nchi kuliko chama chake, Jk ameonyesha dhamira yake njema ktka upatikanaji wa katiba mpya, nawasih viongoz wa upinzani wakae...
  2. M

    Kwa nini Ndugai kila siku na si Makinda wala Mhagama

    Ndugu wanajamii mimi c muumini wa chama chochote cha siasa lakin ebu 2angalie kwa nin kila mara ndugai amekua kiongozi wa kutoa wa2 bungeni pia vurugu nying zinatokea mara nying akiwa anaongoza kiti? Kwa hli la leo jambo mbowe nae alikiuka kanuni lakni Ndugai alishndwa ku2mia busara, hekima na...
  3. M

    Wale wa udom soma hapa new update ya leo

    tafadhali sana naomba mnielekeze jinsi ya kupata join instruction ya udom pamoja na medical form, natanguliza shukrani
  4. M

    Breeking newz kuhusu loan board hasa kwa wale wa udsm

    kama ambavyo mliweza kuona kwenye selection za udsm mbele ya matokeo ya o level waliindicate herufi A_K hzo ndo loan distribution ina maana kama wamekuandikia A ujue umelamba 100 B_90 C-80, D-70,E-60,F_50,G_40,H_30,I-20,J-10,K-0 co kwa wale wa udsm mshajua mmelamba ngapi
  5. M

    kuhusu md udom

    wana jf vp md udom imekaaje wadau, huu ni mwaka wa ngapi wanatoa hii program wakuu, naomba kuwasilisha
  6. M

    Breaking neeeeewz

    kuanzia mwaka 2013 mtihani wa kumaliza elimu ya kidato cha sita utafanyika mwezi mei na ule wa kidato cha nne utafanyika mwezi novemba, je kama mwana jamii forums unafikiri mabadiliko haya yanaweza leta tija katka elimu ye2, pia waliobadilisha enzi zile na kuleta mihula mipya walifikiri sawasawa...
  7. M

    kwa wanaosoma md bugando msaada unahitajika hapa

    eti kuna wa2 wanasoma doctor of medicine bugando ambao a'level walikua na total point of 5 yani dde, naomba msaada tafadhali kwa wenye ufahamu kuhusu hlo, thanks in advance wakuu
  8. M

    About doctor of medicine

    JF members I would like to know if there is any probability for a CBG student to go for further studies in the field of Doctor for medicine. Your comment will be appreciated.
  9. M

    Tcu mambo teyari soma kwa uhakika

    naona tcu mambo yameshakamilika kama hauamini jaribu kutembelea website ya cuhas kwa uhakika zaidi coz wamesha weka majina ya selected aplicants so kaeni mkao wa kula kuanzia next week
  10. M

    kuhusu tcu na selection

    eti wadau hivi endapo itatokea mmelingana pointi wa2 wengi katika faculty moja kita2mika kigezo gani ili kuwachagua au matokeo ya o level yataangaliwa mwenye wazo pevu ebu funguka basi
  11. M

    hello wanajamvi

    mambo niaje ndugu
Back
Top Bottom