Search results

  1. N

    Uchaguzi 2020 Ili kuondoa kelele za kutotendewa haki, nawashauri CHADEMA na ACT wekeni Mawakala kila Kituo ili kujiridhisha, Uchaguzi Mkuu ni huru na wa haki

    Kaka Mayala sio bure utakuwa ushasamehewa ile kodi uliyokuwa unadaiwa sio kwa kujipendekeza huku. Uchaguzi huru na haki sio kuhesabu kura ni mchakato wote mpaka kuisha kwa uchaguzi, mbona ujaongolea figusi za tume kwa wagombea waliowaengua kwa mizengwe?
  2. N

    LATRA/SUMATRA wanakaa ofisini na kuacha wamiliki mabasi kujipangia nauli watakavyo

    Huku kwetu Mbezi kuna magari ya mbezi mpaka msata, kwa sasa wanafanya ruti za mbezi to Kariakoo kwa sh 1000/ ila tatizo wananyanyasa walimu ambao kwa mujibu wa Mkuu wa mkoa wanapaswa watumie vitambulisho vya kazi, LATRA wasaidieni walimu haya magari yanapaki Msimbazi na wasimamizi wanawalinda...
  3. N

    Kufahamu mambo yako hapa: Ramli ya kutizama mambo unayotaka

    Mkuu Rakims mbona namba yako haipatikani? 0626085437. Nataka uniangalizie namba moja
  4. N

    Kero ya usafiri Dar

    Kwa yeyote anayehusika haya magari yenye ruti maalum toka zamani kwa nini sasa yanabadili njia kwa faida ya convid na kututesa sisi wengine kama tunaotaka kwenda mawasiliano makumbusho tunatokea Mbezi wanakata kisa waende Kariakoo kwa 1000? Mamlaka zinazohusika hili hamlioni? Tunateseka...
  5. N

    Vijue vyeo, Majina na Alama za Jeshi la Wananchi Tanzania(JWTZ)

    Naomba kuelekezwa vyeo vya jeshini na alama zake mfano brigedia jenerali anakuwa na nyota ngapi? Na kadhalika na wengine wote Sent using Jamii Forums mobile app
  6. N

    Kwanini Corona haijatuathiri sana waafrika weusi?

    Vp Italy France Spain Je, population yao ikoje? Huu ugonjw upo na ni hatari ila sio hatari sana kwa blacks wanaopatikana Africa kama wazungu ungekuwa unaua sana tungeshuhudia yaliyokuwa yanatoke a kwa wenzetu maiti kutapaka mitaani Sent using Jamii Forums mobile app
  7. N

    Shabiby ana mabasi 'standard' zaidi ya 200. Pesa watu wanatoa wapi?

    Kweli kaka hebu tupeni habari za Kagame Sent using Jamii Forums mobile app
  8. N

    Kada zote ni sawa, tusiwakuze Madaktari hiyo ndiyo kazi yao

    Kada zote ni muhimu katika Jamii huyo engineer au doctor alikuwa anakula makamasi hajui hata kuandika vp kungekuwa hakuna walimu angekuwa alivyo Sent using Jamii Forums mobile app
  9. N

    kuhusu ufaulu kupanda kila mwaka..

    GPA mean general performance average ndo wanatumia kupanga rank Sent using Jamii Forums mobile app
  10. N

    Geita: Mtemi azikwa na watu hai wawili

    Sheria gani ya jamhuri Sent using Jamii Forums mobile app
  11. N

    Krismasi na Mwaka Mpya: Mshahara ni Jumatatu Disemba 24 , 2018

    Mshahara umetoka kwa wanajeshi tu wengine muendelee kusubiri mpaka tarehe 25
  12. N

    Nabii Frola bado unaendelea kuwatapeli watu? Sitasahau 1-Aug-2014 ulivyotaka kunitapeli mchana kweupe

    Alafu anahubiri nn mtu kajichubua hivyo ina maana hakubaliana na aliyemuumba mpaka amtoe kasoro
  13. N

    Chahali usipotoshe, Dkt. Kipilimba hajawahi kuwa chaguo la Membe kwa Magufuli

    Asante sana mtumishi kwa kutupa news za uhakika
  14. N

    Tahadhari leo kwa wateja wa M-PESA.

    Tafuta mwanasheria fungua kesi TCRA hao voda watakulipa mpaka wachanganyikiwe
  15. N

    Rais Magufuli atengua uteuzi wa Balozi Alphayo Kidata, amwondolea hadhi ya Ubalozi!

    Tofauti na nafasi za teuzi ajira yake ipo wizara ya ardhi nadhani atarudi huko
  16. N

    Dudu Baya ashtakiwe kwa kosa la udhalilishaji

    Du amekosea dudu baya angewataja na wanaowafumua mitaro
Back
Top Bottom