Search results

  1. Will i.a.m

    nyumba ya kupanaga maeneo ya banana.choo ndani chumba na sebule+jiko

    no fensi ni chumba na sebule kubwa choo na jiko sebule ni mara mbili ya chumba kuna uzio wa ukuta na senyenge pande tatu kasoro pande moja
  2. Will i.a.m

    nyumba ya kupanaga maeneo ya banana.choo ndani chumba na sebule+jiko

    ipo mahali pa usalama na utulivu sana kodi ni 200,000 per mwezi kwa mawasiliano na ataeitaji ni pm
  3. Will i.a.m

    Kuhusu mafunzo ya kijeshi ya CHADEMA

    Mimi kama mwana CHADEMA naulizia vp kuhusu yale mafunzo yetu mliosema yataanza wiki ijayo? Mbona kimya kirefu bila taaraifa yoyote? Viongozi wetu mbona mnatudanganya hata kwa hili dogo je itakuaje kwa kubwa?
  4. Will i.a.m

    my number one ya daimond aliunga unga vibwagizo hivi

    unaniuliza au unaniambia braza
  5. Will i.a.m

    jinsi ya kujua kama una vvu bila kupima

    mijitu ya jamiii forum mibishi hata haielewi sijui mpaka upasue mibichwa yaoo mxuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
  6. Will i.a.m

    my number one ya daimond aliunga unga vibwagizo hivi

    chiaiiiiiiiiii..... kutoka kwa j martin wimbo wa oyoyoo haipooo aghaaa haipo kutoka kwa juma nature wimbo haipotei style ya kucheza ya wimbo wa hakunaga wa sumalee
  7. Will i.a.m

    BILA SANAA INGEKUAJE; hawa ndio wasanii wa bongoflava ambao zamani walikua wezi

    1.NEY WA MITEGO huyu aliwahi kua mwizi wa mifukoni katika pilka zake za maisha maeneo ya manzese ila aliacha na kujikita kwenye muziki sasa anmudu maisha yake kw akazi ya halali SOURCE yeye mwenyewe katika interview ya redio 2.JUMA NATURE huyu kabla ya kujishugulisha na shuguli za upondaji...
  8. Will i.a.m

    Huyu ndio msanii pekee mwenye beef na Diamond hapa bongo

    yani hakuna hata post moja iliyomsifia
  9. Will i.a.m

    Tatizo la uume kupinda (Peyronie’s Disease): Fahamu chanzo na namna ya kutatua tatizo hili

    speaking of myself nilipokua mdogo uume wangu ilikua mrefu na ulionyooka ikla nilpoanza kudinda ndio uume ukaanza kupinda nikafanya uchunguzi nikagundua ni chupi iliyokua ikinibana sana ila dawa yake ni kutokuvaa chupi now unaanza kunyooka
  10. Will i.a.m

    WAKUBWA wa NCHI: Wengine wanafuata

    mwana halisi mbona limefungiwa kitambo na tundu lissu hapo na isi kuna siasa ndani yake na si ukweli
  11. Will i.a.m

    jinsi ya kujua kama una vvu bila kupima

    kweli kama un ushaidi wa kutosha
  12. Will i.a.m

    jinsi ya kujua kama una vvu bila kupima

    nimeifanyia muhimbili inapona kwa siku moja kama ni mkwaruzo na vidonda vikubwa vinapona kwa siku 5 mpaka saba inategemea na kinga ya mtu ndio maaana mtu mwingine mafua tu yanamfanaya alae wodini wakati mwingine anadunda mtaani
  13. Will i.a.m

    jinsi ya kujua kama una vvu bila kupima

    kinga ikiwa chini ndio magonjwa hayo yana aanza kujitokeza
  14. Will i.a.m

    jinsi ya kujua kama una vvu bila kupima

    hiii ni zaidi ya uhakiaka kwani nishafanya utafiti
  15. Will i.a.m

    jinsi ya kujua kama una vvu bila kupima

    hii ni rahisi zaidi ya kupima
Back
Top Bottom