Kuhusu mafunzo ya kijeshi ya CHADEMA

Kuhusu mafunzo ya kijeshi ya CHADEMA

Will i.a.m

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2012
Posts
347
Reaction score
49
Mimi kama mwana CHADEMA naulizia vp kuhusu yale mafunzo yetu mliosema yataanza wiki ijayo? Mbona kimya kirefu bila taaraifa yoyote?

Viongozi wetu mbona mnatudanganya hata kwa hili dogo je itakuaje kwa kubwa?
 
mimi kama mwana chadema naulizia vp kuhusu yale mafunzo yetu mliosema yataanza wiki ijayo mbona kimya kirefu bila taaraifa yoyote viongozi wetu mbona mnatudanganya hata kwa hili dogo je itakuaje kwa kubwa
Duh mbona nawe ni mwongo?? Kwani umejiunga lini chadema?? Wewe ni nyinyieme pure.
 
mimi kama mwana chadema naulizia vp kuhusu yale mafunzo yetu mliosema yataanza wiki ijayo mbona kimya kirefu bila taaraifa yoyote viongozi wetu mbona mnatudanganya hata kwa hili dogo je itakuaje kwa kubwa

Mafunzo yalishaanza na yanaendelea, wewe kama mwanaChadema uliza kwa uongozi wako watakupa maelezo kamili.

Kingine sio kila mwanachadema anapaswa kushiriki kwenye mafunzo, ni baadhi kwa ajili ya kazi maalum, onana na viongozi wako watakupa vigezo na masharti
 
mimi kama mwana chadema naulizia vp kuhusu yale mafunzo yetu mliosema yataanza wiki ijayo mbona kimya kirefu bila taaraifa yoyote viongozi wetu mbona mnatudanganya hata kwa hili dogo je itakuaje kwa kubwa
Kaulize usalama wa Taifa wanatangaza lini nafasi ujiunge nao? Hapo ndo utajiunga na mafunzo ya CDM.
 
Labda wiki ijayo haijafika.

Chadema ni chama cha matukio, Kinaendeshwa kiujanja ujanja tu.
 
Back
Top Bottom