Search results

  1. NORTHERN ROCK

    VIDEO: Mahojiano maalumu na Yericko Nyerere

    Amezungumza juu ya elimu, siasa, vitabu vyake na maisha yake.
  2. NORTHERN ROCK

    Mh Mbowe aunga mkono kitabu cha Yericko na kushauri vijana kuonyesha uthubutu kupitia vipaji vyao

    Katika ukurasa wa Yericko amelipoti kwamba: "Leo nimekutana na kaka mkubwa kamanda wa Anga, Mwenyekiti wa Chadema Taifa na Kiongozi wa Upinzani Bunge Mh Freeman Mbowe. Tumezungumza mengi kwa mapana yake, lakini kubwa yakigusa mambo ya kiusalama, siasa na mengineyo... Mh Mwenyekiti ameunga...
  3. NORTHERN ROCK

    Makada wa CCM Patrobas Katambi, David Kafulila na Heri James wamkimbia Yericko Nyerere Star Tv

    Leo asubuhi kulikuwa na kipindi cha Tuongee asubuhi ambapo awali tulitangaziwa kuwa wageni watakuwa ni Yericko Nyerere kutoka Chadema na makada wa CCM ambao ni Patrobas Katambi, David Kafulila na Heri James... Mpaka kipindi kinamalizika uwanja ulikuwa ni wa Yericko Nyerere tu kwanzi makada wa...
  4. NORTHERN ROCK

    Yericko Nyerere: Miezi 24, Rais Magufuli amefeli katika Uchumi

    Kuna tofauti kati ya kukua kwa uchumi (Economic Growth) na Maendeleo ya kiuchumi (Economic Development). Ukuaji Wa UCHUMI (Quantitative part) unamaanisha ukuaji na upanukaji Wa uzalishaji Wa bidhaa na au huduma za jamii ama kwa sababu ya kuongezeka kwa ubora Wa rasilimali (Elimu), wingi Wa...
  5. NORTHERN ROCK

    Yericko Nyerere: Si kila mamlaka inatoka kwa Mungu, Wananchi wa Kimara wanalijua hilo.

    ______________________________________ "Historia ya siasa duniani haitengani na historia ya dini. Vitu hivi vimekuwa sambamba na vyenye mafaa kwa jamii yoyote ile duniani, lakini vikileta matatizo makubwa sana katika baadhi ya nchi duniani, matharani ubaguzi wa kiimani umeleta machafuko na...
  6. NORTHERN ROCK

    Tamko la UVCCM Mkoa wa Geita kupinga kusimamishwa ziara za Mwigulu

    TAMKO KWA WANAHABARI UVCCM MKOA WA GEITA. 23/01/2015 Ndugu wanahabari, kwa masikitiko makubwa tumetoa taarifa hii kutokana na hali ya mambo ndani ya chama chetu, Tunatumia fursa hii ili tuweze kuzungumzia...
  7. NORTHERN ROCK

    Happy birthday arushaone.

    Mungu akupe miaka mingi duniani, uote mvi mpaka kwapani, sema ameen.
  8. NORTHERN ROCK

    Jamani hodi (sijui nimekosea?) Au nisemeje?

    Ningetamani niwe nimeingia kitambo ila 'kawia ufike' walinena wahenga. Nami najipa moyo kuwa mimi siyo wa mwisho kwani bado watakuja/watajiunga wengine humu baada yangu. Baada ya hayo sasa naomba niwaambie mimi nina aleji sana na ile kitu iitwayo CCM na kwa kweli ime2rudisha hatua nyingi sana...
Back
Top Bottom