asante sana..n vitu vingi navikosa na kwa kweli kuna wakati naweka hisia zingine ila anipa moyo na kuangalia mazingira ya livyo kimaadili..tunasubiri mda mchache kuapishwa na alhaji mw...ili tuanze utaratibu wa ndoa ndo nkawa nahitaji udheefu
nina mpenz wangu huu n mwaka wa tano sasa hataki kunitambulisha kwao wala kunizungumzia kwa marafiki zake.na ikitokea tuenda sehemu anataka tukutane huko huko.kibaya zaidi tupo hostel moja kwa miaka yote hiyo kuja chumban n usiku sana au kuonana sehemu za giza tu.hatujawah kula pamoja kantini...
m nakumbuka mtihan wa kwanza darasa la kwanza..mwalimu akatuelekeza huku akitoa mfano sehemu ya jina kama ni jina lako ni fimbo andika fimbo.. kama ako anaitwa simba andika simba..sehemu unayoish kama n mtoni andika mtoni karibia maswali yote akayotolea mfano..m nkajibu vile alivyokuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.