Search results

  1. A

    Mwalimu, mwanafunzi wakutwa wameuawa ndani ya nyumba

    Tuna Imani na polisi walau watakuja na majibu
  2. A

    Azam Media na hadaa za heri ya Christmas na mwaka mpya

    Kuna mchezaji wa Yanga anaitwa Jesus Moloko, kawasikilize wanavyotamka..jeziii moloko.
  3. A

    Mwanamke, kama hakugharamii achana naye, lazima ugharamiwe!

    Nikafikiri anayejiongelesha ni mwanamke kumbe ni mwanaume, usiishi kwa kukariri. Wenyewe hawajui hata unachosema..
  4. A

    Wake zetu msilalamike kuwa tunachepuka, ninyi ndio mnasababisha

    Wangu Ana degree yake saafi kabisa. Anawaza 50/50 Ukitoka kazini anakushangaa tu, totally no care, kujishusha hawataki kbsaaaa...mdomo sasa
  5. A

    Heshima kwa Brothers mliooa na mnaishi kwa upendo, amani na furaha katika ndoa zenu

    1/10. Kabla ya kuolewa ni malaika baada ya kula mkataba hakuna rangi utaacha kuiona. Kinacholeta shida sahizi wanataka 50/50 ndo mana wanapata shida sana. Dada poa wanajitahidi sana kuendelea kuokoa ndoa nyingi. Kwa sasa kuoa wengi wanawaza mara 100.
  6. A

    Witness from the front line: Hili zoezi la sensa mlioko juu msiporekebisha haya kwa haraka tegemeeni taarifa mbovu kuwahi kutokea

    Hongerq sana mzalendo. Yamkini umeuelewa mfumo huo kwa haraka sana na madhaifu yake. Kati ya sehemu ya kumulikwa haraka ni mfumo huo vinginevyo zoezi zima litachukua muda mrefu sana na lisiwe na majibu. Serikali yetu ni sikivu, nina imani wataliona hili
  7. A

    Wanafunzi wachoma moto pikipiki ya mwalimu, wafyeka shamba kisa adhabu ya kukutwa na simu shuleni

    Mobb psychology. watakuja kugundua hayo wakati wanatumikia kifungo, na wakati wazazi wao wanalipa mali zilizoharibika
  8. A

    Kumuoa binti msomi

    Jitahidi umzidi akili na fedha. Ukishindwa haya utalala na viatu. Sijui Kama umenielewa Sent from my G8 using JamiiForums mobile app
  9. A

    Siamini Mkuu wa Wilaya amejiuzia gari la Serikali la Milioni 180 kwa shilingi milioni 4

    Wakuu wa wilaya gari zao ni V8. Mathalani limefikia hizo km 250,000 ulizosema., We ungeuza shilingi ngapi? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. A

    Zuio la Watanzania kwenda Ng’ambo: Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani

    70% ya mil 45+ ni mashoga? Sijajua vigezo ulivyotumia, Nina wasiwasi na uelewa wako . Sina Imani Kama unajua maana ya 70% Sent using Jamii Forums mobile app
  11. A

    Harmonize Amgawia Q Chief Gari

    "Utoapo sadaka kwa mkono wa kulia, hata wa kushoto usijue"
  12. A

    Daladala za Dar zaruhusiwa kusafirisha abiria kwenda Moshi na Arusha

    Akijua maana yake nahisi atawahi central kutarifu
  13. A

    Bosi wangu anamtaka mchumba wangu na kaniahidi dau nono sana, nifanyeje?

    Thamani ya mtu haifananishwi na kitu chochote
  14. A

    Shule gani ya serikali nzuri ya bweni kwa o-level ?

    Shule ni utayari wa mtu. Hongera sana kwa kusaidia kizazi cha badae. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. A

    Shule gani ya serikali nzuri ya bweni kwa o-level ?

    Natumaini unaendlea vizuri. Naomba nikudokeze kitu, viwango vya elimu kwa shule nyingi za serikali kama si vinakaribiana basi viko sawa. Hata huko private hata wafundishe mpaka usiku wa manane bado mwanafunzi mwenyewe anatakiwa kusimama mwenyewe siku ya mwisho. wakati mwingine shule huwa...
  16. A

    Kampuni ya mabasi ya Machinga High Class imechoka,inatoa huduma kimazoea

    Hawasemi utaona konda kashuka linapigwa jeki mko ndani badae mnajiongeza. Bila hiyana nayapongeza makampuni ya ruti za kaskazini ..wanajali wateja kwa class yeyote utakayopanda Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom