Search results

  1. MWEN

    Mahakama ya Wilaya ya Temeke yavunja ndoa baada ya Bwana harusi kushindwa kushiriki tendo la ndoa kwa miaka 5. Bibi harusi kapotezewa fertility age

    Ndoa ya Kikristo (specifically RC dini yangu) inakamilika kwa tendo la ndoa, kama halijafanyika hiyo ndoa ni batili, hayo husemwa live kwenye semina za ndoa. Hakukuwa na haja hata ya kusubili miaka 5
  2. MWEN

    Breakup ya kwanza ilikuaje?

    Demu yeyote aliyeniacha kwa nyodo nilihakikisha namla halaf ndo nampotezea mazima
  3. MWEN

    Serikali kuondoa udhibiti wa sukari kutoka nje kisheria. Bashe adai anaenda kuwatikisa 'Big Boys'

    Bashe hayo ni maneno ty hana jeuri hiyo Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
  4. MWEN

    Mwanamke niliyemnunulia chupi 12 juzi leo kaniacha, nataka chupi zangu

    Hii ni division of labour, wewe unanunua chupi mwingine anamvua.
  5. MWEN

    Je, ni sahihi kwa waislamu kufunga barabara kisa wanaswali?

    Nyie walokole mnasumbua na mikelele yenu, watu mko 7 kwenye kibanda mmefunga sound ya watu mil 1. Bora hata waislam wanaswali saa 1 tu nyie usiku mzima mnatusumbua.
  6. MWEN

    Mkopaji aishtaki Akiba Commercial Bank (ACB) kwa upotevu wa hati ya nyumba

    Wengi hawajui, nyaraka kama Hati zilizowekwa dhamana zinatunzwa sehemu salama sana na mostly zinatunzwa strong rooms, sehemu ambayo access yake hata afisa mikopo aliyetoa mkopo hawezi kufika. Ili kuipata hati atamuomba boss wake tena kwa maandishi. Hati kupotea sio jambo rahisi ni chain ya watu...
  7. MWEN

    CUF-Chama Cha Wananchi, Taarifa kwa umma kuhusu mkutano wa hadhara kesho Magomeni Kanisani

    Hivi nani anayetoa vibali vya mikutano ya hadhara, unaruhuje mkutano wa chama cha siasa eneo lile la kanisani. Kesho jumamosi mchana kuna misa za ndoa na shughuli mbalimbali za kanisa, si kuleta makelele tu. Kwa nn wasingetafuta eneo lingine la wazi hata kule nyuma shuleni wafanye mkutano wao...
  8. MWEN

    Wanaume wa Dar! Mitaa mitatu Mnatekwa na Panya Road?

    Arusha na nyie kama Dar tu, teleza anawaweka roho juu wanabaka wake zenu na nyie mpo usikute na nyie marinda nina mashaka kama bado mnayo [emoji23][emoji1787]
  9. MWEN

    Haji Manara apigwa chini idara ya habari Simba

    Manara ataendelea kuwa msemaji wa club ila atakuwa chini ya Gift Macha. Inaonekana anawanyanyasa sana kwasukwasu maana si kwa kumuogopa hivi
  10. MWEN

    Hataki kutoa kipochi manyoya hadi ndoa

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  11. MWEN

    2019 Africa Cup of Nations Special Thread

    Mhindi ameshakutoa knockout Morocco ameshang'olewa
  12. MWEN

    Vodacom Hawajitambui.

    TTCL 2,500 ni 3gb, hizo mb500 wamezidiwa na kifurushi cha 500 cha ttcl ambacho unapata mb600
  13. MWEN

    Unatuhumu wewe, mwendesha mashtaka wewe, shahidi wewe &hakimu wewe mwenyewe kuna haki hapo?

    Bunge limemtuhumu CAG kuwa amelidharirisha, bunge hilo hilo linamhoji CAG na kutoa hukumu, iko wapi misingi ya haki. Kuna haja ya kuangalia sheria zetu na kuzifanyia magadiliko ili haki ionekane inatendeka. Kwa kesi kama hii ya CAG na kesi nyingine za bunge VS watu wa nje yabunge inafaa kuwe na...
  14. MWEN

    Kwanini jimbo Katoliki Moshi halijapandishwa kuwa Jimbo Kuu Katoliki?

    Angalia post ya juu umendika ngapi? Sent using Jamii Forums mobile app
  15. MWEN

    Kwanini jimbo Katoliki Moshi halijapandishwa kuwa Jimbo Kuu Katoliki?

    Mh! Sent using Jamii Forums mobile app
  16. MWEN

    Kwanini jimbo Katoliki Moshi halijapandishwa kuwa Jimbo Kuu Katoliki?

    Rekodi hizi za mwaka gani. Jimbo kuu la DSM mpaka leo lina Parokia 114 Sent using Jamii Forums mobile app
  17. MWEN

    Hospitali gani ya private ni nzuri kwa kujifungulia na gharama zake zikoje

    Nenda Edward Michaud iko Barabara ya Sam Nujoma inapakana na Kanisa la Kakobe kama unatokea round about ya Mliman City. Sent using Jamii Forums mobile app
  18. MWEN

    Tukumbushane zile "SCHOOL MOTTOS"

    AIM HIGH - Kantalamba Sec Sent using Jamii Forums mobile app
  19. MWEN

    TTCL INTRNET BOMU KABISA

    Baada ya wateja kuongezeka internet yao imekuwa kimeo kweli kweli, nilikuwa na line ya ttcl kwa sasa ina miezi 5 sijaitumia tena. Net inaonyesha 4G lakini ni mwendo wa kobe Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom