Search results

  1. A

    Kipindi cha 'Wanawake Live' na madhara yake

    Duh kumbe kuna chama kinaitwa FFF? Hebu kisajilini aisee, kina wanachama wengi sana.
  2. A

    Sitta: Nafaa kuwa Rais wa Tanzania!

    Labda wewe ni division five, ila Dr. slaa kilichombeba kisiasa ni michango yake yakinifu bungeni na kuwataja hadharani mafisadi.
  3. A

    Mgimwa alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa gani?

    Si ngumu kama unavyofikiria. Yupo Mwigulu Nchemba, first class economist.. Hapo tatizo la uchumi si litakuwa limeisha mkuu??
  4. A

    Kipindi cha 'Wanawake Live' na madhara yake

    Wengi wanasema " wewe ni wa pili ukiacha yule wa kwanza aliyeniumiza sana"
  5. A

    Kipindi cha 'Wanawake Live' na madhara yake

    Anajitahidi kwa kweli na anavutia wanawake wengi. Ila kama mtoa mada alivyoongea, anatakiwa kujirekebisha. Mfano kuna siku alishauri wanawake wawashtaki polisi waume zao wanaowaomba kinyume na maumbile. Mi nadhani angesema wawashirikishe viongozi wa dini na wazee kuliko alivyoshauri kwani baba...
  6. A

    Mapozi ya kwenye simu yanayotumiwa na wanawake kuwanasa wanaume...!

    hilo pozi la kuangalia simu inayoita na kujiandaa kutunga uongo nimeli like.
  7. A

    Picha za ndani ya ndege,Bush,Obama,Clinton etc wakielekea south africa kwenye mazishi

    hiyo picha ya pili nadhani hao waliosimama ni wasaidizi wa rais. So relaxed na mmoja hapo mikono mifukoni. Ingekuwa ni huku ungeona kanyooka kama dereva wa kibajaj.
  8. A

    Joyce banda buys interceptor fighter boats to defend lake malawi!

    mi mwenyewe nimetoka mtupu na sina hiyo kitu.
  9. A

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza auwawa na wananchi wenye hasira kali kwa kupigwa mawe

    Aisee ni kweli. Hata gazeti la mwananchi na radio one wameandika kwenye kurasa zao fb.
  10. A

    Elections 2015 Zitto: Sitagombea Urais wala Ubunge 2015

    sasa mh. atakua mgeni wa nani? mana kila sehemu amekanwa.
  11. A

    Makubwa haya: Qatar's accidental vagina stadium is most gratifying

    hahahahahahah mbavu zangu jama!! keikwikwi pyuuuuuu!!!
  12. A

    Kuanguka chooni/bafuni na kufa, kuna uhusiano gani?

    hahahahahaha...... hapana aisee
  13. A

    tuzo za simu bora mwaka 2012 angalia simu uipendayo imeshinda?

    kitu tecno. yaani kalivyo katamu mpaka raha. hapana chezea tecno phantom
  14. A

    Winnie Madikizela-Mandela na tuhuma za mauaji ya kutisha...!

    Na ndo mana tunasaini mikataba mibovu kwa uvivu wa kuisoma na kuielewa.
Back
Top Bottom