Search results

  1. L

    Live on TBC: Hotuba ya Rais Kikwete kwa Taifa kufunga mwaka 2012

    Sasa kumbe shida iko wapi, ifanye Mtwara nayo ikusanye mapato hata 40 percent, then inufaishe nchi nzima, iwe hivyo kwa dhahabu ya Geita, Kahama, Tanzanite ya Arusha, Kahawa ya Kilimanjaro , Mahindi ya rukwa, Mkonge wa Tanga, Nazi za Bagamoyo etc
  2. L

    Ukweli wa gas Mtwara

    Acha kina prof Muhongo wachukulie isue kirahisi rahisi kwa kudanganywa na magazeti ya uhuru na mzalendo
  3. L

    Prof Muhongo asema Mtwara wamekuwa wakitumia umeme wa Kiihansi kwa muda mrefu. Ni kweli?

    Prof,,, elimu ya kumeza madesa hadi unakuwa prof, pole sa prof Muhongo, kama hujui hata hili basi huna nia mzuri na Mtwara
  4. L

    Hongera Vyama Vya Siasa kwa UBUNIFU wa Mtwara

    Mkuu usitake kupotosha, suala la gas kwetu sisi wa Mtwara halijalishi vyama vya siasa, ni la kimaslahi kwa watu wa Mtwara bila kujali itikadi zao, unaweza kulichukulia juu juu kimtazamo wako wa kipropaganda ila wananchi wameamka na wana ari kubwa kutetea maslahi yao
  5. L

    Mtwara kumekucha! Ujumbe katika mabango kuhusu gesi...Vipi Bagamoyo?

    Tunashukuru Jf kuonyesha maandamano haya, maana vyombo vyetu vingi vya habari wameyapotezea, labda ni kwa maelekezo maalum, ila waonyeshe wasionyeshe wananchi wamesema sasa bhaaas, gesi haitaondoka kirahisi kama walivyofikiria
  6. L

    CCM, gesi haiondoki Mtwara piga ua

    The Big show nakupongeza kwa kuendesha harakati kwenye mtandao wa jamii, jitahidi kusambaza elimu hii iwafikie wananchi waliowengi huko, si rahisi kwako kuwafikia wote, ila unaweza kuwapata watu wachache wenye ushawishi wasambaze harakati hizi kwa wengine
  7. L

    Ray C amtembelea Rais Kikwete Ikulu jijini Dar, amshukuru kwa msaada wa matibabu!

    Kwa jinsi vijana wa Bongo movie wanavyopigana 'dry' atasaidia wengi sana mwaka huu
  8. L

    Kamvua akoooo:-

    Haya katumieni vizuri, rais atagharamia matibabu
  9. L

    This week in Perspective: Kipindi kinamlenga nani?

    Tehe teh, kuna jamaa watu kama wewe anawaita 'BUSH LAWYER'
  10. L

    PICHA: JENGO la MAKUMBUSHO la BAYTIL AJAIB (House of Wonders) LAPOROMOKA na KUBOMOKA

    Tusubiri kesho, Shein ,seif idd nao wataenda kuangalia
  11. L

    Kikwete ambaye si rahisi kumuona leo kaonekana!

    Mbona anaelekea kufanana na mtoto wa mkulima?
  12. L

    Namshukuru sana Wema Sepetu, alishiriki kikamilifu kuandika mashairi ya 'Nataka kulewa' - Diamond

    Kama imeshafika stage ya kutungiwa mashairi na Wema Sepetu, basi mwisho wa kutamba kwenye fani umekaribia
  13. L

    Alex Ndeki (mzungu wetu) tumkumbuke

    Tukumbuke na majina haya, Mbarara, Nyangala, puli, unyuka, umwamba, mapeople, walezi, ant lea, wacheuzi, wafaraguzi, kuengua, kimungumungu
  14. L

    PICHA: Ziara ya Kinana Mtwara yafana

    Tutachotaka atatue tazizo la soko la korosho kama alivyoahidi, hapo ndio tutasema ziara imefana, zaidi ya hapo ni upuuzi tu
  15. L

    Philip Mangula: Wale wote walioshinda kwa Rushwa watashughulikiwa ndani ya Miezi 6 kuanzia sasa

    Alipo toa statement hii aliwasiliana kwanza na mwenyekiti wake au ameropoka tu!
  16. L

    UK yaikatia Uganda misaada kwa tuhuma za rushwa ?

    Mi nadhani kuna lingine, maana hapa TZ rushwa ipo hadi ofisi ya Rais, misaada ingekuwa imeshakatwa siku nyiingii
  17. L

    Matumizi ya "Dr" kwa wanasiasa wetu ni PhD au vumbi?

    Dr Salim Chicago,,,,khaaa elimu inadhalilishwa jamani
  18. L

    Mshana wa TBC akalia kuti kavu

    Kwahiyo Aisha Madinda nae awajibishwe kwa kukatika katika jukwaa la Twangapepeta?
  19. L

    TBC kuonyesha uchaguzi live kuanzia saa 5 usiku hadi kesho asubuhi

    Magamba wamelipia, hata wewe ukiwa na ubarikio wa mtoto wako kalipie tu airtime watarusha
Back
Top Bottom