Search results

  1. M

    Ushauri plz

    mwambie Mungu, muombe, ukiwa na imani dhabiti atakupa.
  2. M

    mganga wa kunifanyia dawa ili nifaulu interview

    imeandikwa amelaaniwa yeyote amtegemea binadamu mwenzake na miungu na kumuacha Baba yetu wa mbinguni. Tubu haraka la sivyo hutapita. Mkabidhi shida yako Mungu kwan akiamrisha hata mapepo hutiii
  3. M

    awa watu nishachoka kuwazungumzia,awabadiliki tu!!!

    dawa nikutoboa jicho na spoki ya baiskeli tu.
  4. M

    What is the worst idea you have ever thought of?

    mambo mengine tanayo waza kama wengine wangeweza kuona dah, cjui ingekuwaje mazee?
  5. M

    YESU amenipa kazi UN

    kwake yeye yote yawezekana, jina lake lihidiwe, ukimshirikisha kwa dhati utakunyanyua juu.
  6. M

    Tamko toka Tanzania International University kuhusu ajira walizotangaza

    tunajua wewe ni tapeli dr magumashi Mnzava, unatetea utapeli wako. Shukuru Mungu serikali yetu imelala. Mnachukulia tatizo la ajiro kujinufaisha. Muogopeni Mungu
  7. M

    Tamko toka Tanzania International University kuhusu ajira walizotangaza

    msisapoti huo utumbo, hata kama ingekuwa elfu tano, huo utamaduni na utapeli tukiukubali ndo utakuwa utaratibu wa makampuni ya Tanzania. Chuo gan hakiwez hata kugharamia interview. Mishahara wataweza? Huu ni uhun wa ku take advantage ya unemployment. Sema tu serikali yetu imelala.
  8. M

    serikali kuna chuo kinaitwa TIU wanachangisha waomba ajira pesa, wakamatwe ni wezi

    wakamatwe, wezi, tukiwanyamazia hawa utakuwa ndo utamaduni wa mashirika ya Tanzania, wasome employment and labour relation Act 2004.
  9. M

    nimeitwa kazini afisa tarafa.

    goma, usiende kazin mpaka watoe majina kwenye web dada ehe.
  10. M

    serikali kuna chuo kinaitwa TIU wanachangisha waomba ajira pesa, wakamatwe ni wezi

    eti chuo kila anayeomba kazi anatozwa 20000, jamani TCU nnasajili chuo ambacho hakina uwezo wa kujigharamia recruitment. Huu ni wiz
  11. M

    Mashirika yanayo Ajii Bila Kuomba Vyeti vya Avademic, kwa wasailiwa,

    au mwambie aangalie reputable company kama PWC kuwa kama wanachukua gpa za kitoto.
  12. M

    Mashirika yanayo Ajii Bila Kuomba Vyeti vya Avademic, kwa wasailiwa,

    usipoteshe umma, adui yetu sio kuwa na vyeti, chamsingi kile cheti kionyeshe maarifa ya kweli ya mtu. Tukumbuke kuwa njia pekee ya kumtambua mtu uwezo wake ni kwa kuangalia utendaji wake amboa huwezi kuutambua kwa kusikiliza porojo za mtu kwenye interview kwan wengine wamejaliwa ufundi wa...
  13. M

    Mashirika yanayo Ajii Bila Kuomba Vyeti vya Avademic, kwa wasailiwa,

    hawa ndo hawa waliofeli form 4 anatetea ujinga.
  14. M

    Natafuta namba ya Nehemiah Mchechu

    hatuweza kutoa namba ya mtu bila idhini, pia ikiwa hatujui lengo lako.
  15. M

    Waziri Nchimbi alaaniwa na Wazanzibari! Maalim Seif amjia juu...

    Mungu yeye anawapiga tu na mapigo kuzama kwa meli zetu.
  16. M

    Matapeli wa tanzania international university

    ajira gani unachangia hela ya interview? Hawana hela kufanyia recruitment watalipaje mishahara. Tafakari, chukua hatua
  17. M

    King'amuzi kinauzwa

    dah, kwanini unauza?
Back
Top Bottom